Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

Maulidi Kitenge ni Mwanausalama wa TISS ambaye miaka ya hivi karibuni alibadilishwa kitengo na kuwa anahusika upelelezi wa mataifa ya nchi za nje kwa mwamvuli wa Journalist

Anafanya journalist for leisure and hobby and not his work, ukija PM nitakupa force number yake
Kidogo umenishawishi,,..
Mimi namfaham kitenge kama kijana wa kikwete..
Kikwete ni baba mlezi wa maulid..
Kikwete na mzee baraka kitenge alikua mchezaji wa zamani wa yanga walikua marafiki sana enz za ukariakoo..
So inawezekana mzee kikwete ndio alomuimgiza huko ndugu maulid..
 
Yaah hata ile issue ya Oscar Oscar kuoa mwanamke wa kizungu kutoka Marekani ile ni special mission, sema small minded hawawezi kuelewa hapa
Huyu ndo namfaham vizuri sna
100% tiss people..
Hata kugombea urais tff alikua kazini kumsafishia njia mwana kitengo mwenzie kutoka tanga.
 
Mfumo aliouasisi Hayati Nyerere wa kusimika maafisa Tiss kila kona bado upo na una nguvu kubwa. Media hses zote kuanzia channel ten, Clouds, Tbc,ITV etc kote wamejaa maafisa Kipenyo. 94% ya wapiga picha unapoona viongozi wapo labda airport au National stadium huwa ni maafisa vipenyo kwa ajili ya kuimarisha usalama. Tuchukulie mfano msigwa alikuwa ITV akireport kutoka Songea na rukwa baadae kitu gani lilitokea mpaka akaja kuwa msemajj wa raisi. Hata wasafi wapo hao wakina Kitenge hata yule bonge wa power breakfast amekaa kinjagunjagu anaweza akatambaa ukashangaa huyu hapa.
Very true mkuu,,..
 
Mi nimeanza kumsikia KP wakati tuko shule na maulidi kitenge pale Al-Haramain
Nalog off
 
Yaani ningekuwa public figure ningekuwa najiandaa endapo nina mahojiano na KP, Lakini wanahabari wote waliobaki hata uniamshe saa nane usiku siogopi kufanya nao mahojiano, Masudi alinibananishia prof lipumba hadi nikahisi masudi ndio prof
 
Hivi unaijua story ya masoud kipanya enzi zile utawala wa hayati Benjamin William Mkapa?, acha kumfananisha Kipanya na TISS Kitenge.....Nitakuja na uzi hapa kumuhusu Kipanya acha kwanza mwananzengo mwenzetu atulie kipindi hiki cha majonzi ya msiba wa Malcom
 
Hivi unaijua story ya masoud kipanya enzi zile utawala wa hayati Benjamin William Mkapa?, acha kumfananisha Kipanya na TISS Kitenge.....Nitakuja na uzi hapa kumuhusu Kipanya acha kwanza mwananzengo mwenzetu atulie kipindi hiki cha majonzi ya msiba wa Malcom
Teeth kitenge kamaliza kazi alotumwa wasafi,,..
Kashachonga brbr na kuchimba mahandaki.
 
Back
Top Bottom