Kati ya Maulidi Kitenge na Masoud Kipanya nani zaidi kwenye yafuatayo...

Maulidi Kitenge ni Mwanausalama wa TISS ambaye miaka ya hivi karibuni alibadilishwa kitengo na kuwa anahusika upelelezi wa mataifa ya nchi za nje kwa mwamvuli wa Journalist

Anafanya journalist for leisure and hobby and not his work, ukija PM nitakupa force number yake
 
Pia anapeleleza diaspora huko, si mchezo!
 
Yaah hata ile issue ya Oscar Oscar kuoa mwanamke wa kizungu kutoka Marekani ile ni special mission, sema small minded hawawezi kuelewa hapa

Hamna uoaji pale...
Kuna wanaoamini, nawacheki nasema hiii!!!
 
Mfumo aliouasisi Hayati Nyerere wa kusimika maafisa Tiss kila kona bado upo na una nguvu kubwa. Media hses zote kuanzia channel ten, Clouds, Tbc,ITV etc kote wamejaa maafisa Kipenyo. 94% ya wapiga picha unapoona viongozi wapo labda airport au National stadium huwa ni maafisa vipenyo kwa ajili ya kuimarisha usalama. Tuchukulie mfano msigwa alikuwa ITV akireport kutoka Songea na rukwa baadae kitu gani lilitokea mpaka akaja kuwa msemajj wa raisi. Hata wasafi wapo hao wakina Kitenge hata yule bonge wa power breakfast amekaa kinjagunjagu anaweza akatambaa ukashangaa huyu hapa.
 
Back
Top Bottom