Nani yupo Nyuma ya Wanahabari kwenye Sakata la Bandari? Au ni 'Uzalendo wao'?

Nyakijooga

Senior Member
Dec 9, 2018
123
202
MAULIDI KITENGE NA WENZAKE WANAVYOWAPENDA WATANZANIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela wakiwa nje ya Ofisi za makao makuu ya DP
World kutuhabarisha manufaa ya DP World.

Ni vijana wazalendo sana maana wametumia nauli zao, wamelipia hoteli kwa mishahara yao, na Gharama nyingine zote ni kutoka kwenye mishahara yao ili tu kufuatilia DP world na kutuletea faida za Kampuni hii. Kwa hesabu ya haraka haraka waliyotumia hadi sasa ni kama Ifuatavyo:-

Kwa daraja la uchumi ambalo ndilo daraja la chini kwa ndege kwenda Dubai kutokea Dar es Salaam kwa ndege ya Emirate ni USD 357.76 kwa mtu mmoja kwa hio kwa watangazaji wote 3 jumla kwenda tu ni USD 1, 365.42 (pamoja na garama za mizigo yao) kwa hio kwenda na kurudi ni USD 2,730.84 sawa na TZS 6,704,212.20 hio ni nauli peke yake.

Malazi na chakula tu assume tu kila mmoja kwa siku kula na kulala na kuzunguka hapo Dubai katumia USD 500 sawa na TZS 1,227,500 kwa wote wa tatu ni USD 1,500 sawa na TZS 3,682,500 hii milioni tatu na laki sita ni Gharama za kuishi pale Dubai kwa siku moja wote watatu itategemea sasa wameishi hapo siku ngapi.

Na kwenye Mifuko wamekataa kabisa Zawadi toka Dp World wameamua kujinunulia wenyewe zawadi ili wahabarishe watanzania kwa ukweli kabisa.

Kwa haraka haraka hii safari inaweza kufika hata milioni 50 kwa jinsi wanavyopakua minyama hapo Dubai. Kuna taarifa kuwa walioanda Busness class kwenye Ndege hivyo hiyo nauli hapi itapanda zaidi.

Huu ni upendo wa Agape kwa watanzania kwa mtamgazaji wa Redio tu kuteketeza milioni Karibia 50 kwa ajili ya kutuhabarisha. Tunawapongeza sana kina Kitenge.

Kuna watu walitaka kuanza Kampeni ya Ku unfollow accouny zao za Social Media ila mimi naona kama aidha wamechelewa kufanya hivyo au wameharakisha. Maana umaarufu wao unatoka kwetu hivyo tunaweza kuhamasishana tu kuwarudisha chini kwa kuunnfollow account zao ili wasitumie zaidi fedha zao wasije kufilisika kwa ajili yetu.

Ole Mushi
0712702602
 
Nimeshangaa yule mwandishi mahiri naye anatetea na kuunga mkono sakata la bandari. Hawa waandishi wakati mwingine hubebwa na upepo kirahisi ili waandike walichopewa takrima. Ni uandishi wa kinafiki
 
MAULIDI KITENGE NA WENZAKE WANAVYOWAPENDA WATANZANIA.

Na Thadei Ole Mushi.

Maulid Kitenge, Gerald Hando na Zembwela wakiwa nje ya Ofisi za makao makuu ya DP
World kutuhabarisha manufaa ya DP World.

Ni vijana wazalendo sana maana wametumia nauli zao, wamelipia hoteli kwa mishahara yao, na Gharama nyingine zote ni kutoka kwenye mishahara yao ili tu kufuatilia DP world na kutuletea faida za Kampuni hii. Kwa hesabu ya haraka haraka waliyotumia hadi sasa ni kama Ifuatavyo:-

Kwa daraja la uchumi ambalo ndilo daraja la chini kwa ndege kwenda Dubai kutokea Dar es Salaam kwa ndege ya Emirate ni USD 357.76 kwa mtu mmoja kwa hio kwa watangazaji wote 3 jumla kwenda tu ni USD 1, 365.42 (pamoja na garama za mizigo yao) kwa hio kwenda na kurudi ni USD 2,730.84 sawa na TZS 6,704,212.20 hio ni nauli peke yake.

Malazi na chakula tu assume tu kila mmoja kwa siku kula na kulala na kuzunguka hapo Dubai katumia USD 500 sawa na TZS 1,227,500 kwa wote wa tatu ni USD 1,500 sawa na TZS 3,682,500 hii milioni tatu na laki sita ni Gharama za kuishi pale Dubai kwa siku moja wote watatu itategemea sasa wameishi hapo siku ngapi.

Na kwenye Mifuko wamekataa kabisa Zawadi toka Dp World wameamua kujinunulia wenyewe zawadi ili wahabarishe watanzania kwa ukweli kabisa.

Kwa haraka haraka hii safari inaweza kufika hata milioni 50 kwa jinsi wanavyopakua minyama hapo Dubai. Kuna taarifa kuwa walioanda Busness class kwenye Ndege hivyo hiyo nauli hapi itapanda zaidi.

Huu ni upendo wa Agape kwa watanzania kwa mtamgazaji wa Redio tu kuteketeza milioni Karibia 50 kwa ajili ya kutuhabarisha. Tunawapongeza sana kina Kitenge…..

Kuna watu walitaka kuanza Kampeni ya Ku unfollow accouny zao za Social Media ila mimi naona kama aidha wamechelewa kufanya hivyo au wameharakisha. Maana umaarufu wao unatoka kwetu hivyo tunaweza kuhamasishana tu kuwarudisha chini kwa kuunnfollow account zao ili wasitumie zaidi fedha zao wasije kufilisika kwa ajili yetu.

Ole Mushi
0712702602
Pichani; Kitenge na wenzake
FB_IMG_1687520073149.jpg
 
Zembwela naye ni mwandishi wa habari? My foot.
Wanatuonyesha waziwazi kwamba wamehongwa. Utadhani Malaya wa buguruni.
 
Generation hii Ni wapumbavu na wajinga ukilinganisha na Generations za nyuma,especially ktk uzalendo!tumeuzwa!!na wapo wanaotetea uuzwaji wao!ridiculous
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom