Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

Naomba kuuliza....hivi yule jamaa aliyemuonesha hadharani bastota Nape ni jasusi au commando?!
 
Swali lako limekaa kiujumla zaidi ila in short kila mmoja ni hatari kwenye nyanja zake japo kwa kutaka kulinganisha iko hivi kwa upande wa vita ambapo kivita cha kwanza ni information za adui yako na unaambiwa ukishapata secret information za adui yako na ukafanikiwa kuhide za kwako hiyo vita utakuwa umeshaishinda kwa zaidi ya 50% mpaka hapo tunagundua kua jasusi ni pri-important kwa ajili ya information ila makomando mara nyingi hutumwa wachache na ni kwa ajil ya kuokoa mara nyingi mateka mfano ni mission ya Israel Entebe Uganda.
Kuusu matumizi ya Nguvu na akili
Ni yako hivi
Makomando mda wao mwingi unakuwa ni kwenye mazoezi wakati
Jasusi ni kupeleleza ila kwenye mission Jasusi kitakachomfanya atumie nguvu ni kwenye kama amehisiwa ama amegundulika na ni kwenye threashold uvumilivu wa mateso otherwise wanaishi kikawaida tu kama Raia wa kawaida wakati wakifanya kazi zai kisiri hivyo basi ukisema upambanishe kwa sanaa ya mapigano martial art komando yupo mbali na kwa uhitaji jasusi ni zaidi kwa sababu hana altenative wakatu komando unaweza usimtumienukatumia wanajeshi wengine kama snipers(walenga shabaha n.k)
 
Kuongezea kidogo tu.
Majasusi hupitia mafunzo magumu si kama watu wanavyodhani, hupitia mafunzo ya defense, silaha, uvumilivi (kulinda siri hata aki haribu kazi), mambo mengine mengi sana kama uzandiki n. K

Sema kuna wasaidizi wa ujasusi, hawa unaweza kuta si jasusi kamili bali hutumika kusapoti kazi za kijasusi (unakuta anatumika kwa sababu ya special kitu alicho nacho)

Kila kazi ya kijasusi huwekwa mtu atakaye fit hiyo profile, kuna muda au kazi inataka jasusi aonekana mtu wa dini, mrembo, basi atawekwa mtu wa hivyo ili kutake cover. Huwezi jua uhalisia wake haswa ni nani au nini, hapa KGB walitumiaga sana, majasusi wao warembo kuchukua taarifa nyeti kwa viongozi wa nchi adui zao..

Lakini, Komando mweny mafunzo meeng ya kivita, mapigano bila silaha, ramani, mbinu za porini, kuna muda anatumika kama Jasusi, kulingana hali iliyopo inataka mtu anayeilewa na kujua kusoma vita kiasi gani.
 

Jasusi ni hatari sana kwa maisha yako
 
Unaota mchana
Haoti mchana, jamaa yupo sahihi, Jasus walio wengi hupitia mafunzo ya Comandoo, Na Jasus ni mzuri zaidi kwa maana ya kwamba anapata mafunzo ya aina mbili moja depo la 92 kisha anaenda kupata mafunzo yao mengine huko kwao TISS.
 
Haoti mchana, jamaa yupo sahihi, Jasus walio wengi hupitia mafunzo ya Comandoo, Na Jasus ni mzuri zaidi kwa maana ya kwamba anapata mafunzo ya aina mbili moja depo la 92 kisha anaenda kupata mafunzo yao mengine huko kwao TISS.
Noted no way maana naona theory nyingi inabidi nikubali kuacha malumbano
 
Tukiacha ushabiki..my friend.. komandoo aliyefuzu si mtu wa kawaida hata kidogo... ndio maana watu wengi humu wanasema komando aliyeenda depo la ujasusi...niseme tu kwa mtoa mada kwamba yule anayepewa task ngumu ndio mtu hatari. Wewe ni rahisi kua jasusi lakini sio komandoo, fanya reference angalia baada ya mossad kufanya investigations zao katika operation Wrath of God waliona target ngumu hapo beirut...wakawatumia wanaume fulani wanaitwa Sayeret na Shayetet 13 commandos kuraid lebanon coast kwa speed boat .....my friend fuatilia huo mziki utasikia mwili wako ukisisimka na kukubali. Jasusi ni mtu hatari ila Komando ni shida nyingine..tambua komando anasoma ujasusi na ikitokea anachukuliwa kusoma ujasusi pekee anaenda kuongeza tu material flaniflani...
Ukifanikiwa kufika mbinguni kamuulize Lt. Col Yonatan Netanyau nini walikifanya katika operation Thunderbolt entebbe ndio utajua nini maana ya cdo....kunashughuli zitabaki kuwa za watu wasio wa kawaida...
 
Hatari sana
 
Mosi, wote wanapaswa kuogopwa. Hata kuruta aliyehitimu JKT majuzi muogope.

Swali lako la pili...jibu ni commando. Hii ni kutokana na ukweli kwamba Jasusi anaweza kuwa na uwezo wa kawaida sana. Hata Lemutuz anaweza kuwa Jasusi.

NB: Nimetumia mfano wa Lemutuz kwa kulenga sifa yake ya uwezo wa kujichanganya na watu na kupata habari na sio vinginevyo
 
Ingekuwa 'Thunderbolt Beijing' ama 'Thunderbolt Pyongyang' ama 'Thunderbolt Havana' au hata 'thunderbolt Teheran' ningewapa 'credit' za kutosha. Hata hivyo, R.I.P Yonatan.
Hahaha.. ok..fuatilia execution ya operation wrath of God mwanzo mwisho..utaona hizo pande watu wamekanyaga sana. Na ndio ilizaa sub operation ''spring of youth ''itafute uisome vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…