Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Hapo hakuna anayekufaa kukuoa wewe, na pia wewe pia hufai kuolewa na yoyote katika hao. Nyinyi nyote mna matatizo.
Inavyoonekana mfanyabiashara unapenda pesa zake na huyo mwanachuo unapenda swaga zake, na hapo ndio pamekufanya uwe njia panda. Kifupi wote hao wanapenda penzi lako(wanakusex) lakini hawakupendi wewe kama wewe.
Ushauri wangu, achana na hao wote, tulia na jirekebishe kitabia(Acha tamaa), na baada ya hapo mtu wa kukuoa atatokea tu na wewe utamjua tu kama ndiye anayekufaa, na wala hautakuja humu kutuuliza kama anafaa ama la.