Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Toto 2ndu

Member
May 6, 2015
60
95
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu
 

Ty_Vigilante

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
2,737
2,000
Toto 2ndu

Mmmmmhhhhhh..! Tukupe ushauri wataka uolewe au tukuchagulie yupi koz kiukweli hatuna guts hizo wala final say kwa moyo wako..! But kumbuka kuwa kosa nikuoa au kuolewa na mtu usiyempenda kwa dhati au ulishahisi kutakuwa na mikwaruzano mwanzoni itakuwa hivo hivo ukiolewa..

Maamuzi ni yako but maamuzi mema ya sasa ni maana ya maisha mema pia kwa umpendaye kwa dhati na hata kama anakasoro basii zinarekebshika sio zile ambazo ni cronic utajuta ndoa na kuomba bora ungeishi alone na usaliti hufuatia after such thoughts..! Got it eeh
 
Last edited by a moderator:
Apr 13, 2015
22
0
Upendo ni dawa ya kila tatizo,,,unayempenda ww ndie wakuolewa naye...palipo na upendo pana msamaha, ushauri, uvumilivu, furaha ya kweli! usiolewe kwa sababu ya kitu flan! UPENDO ndio dawa ...kwaio angalia moyo wako unampenda nan
 

Illovo

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,436
2,000
kwnz tayari umekwsha kosea kimungu, kuwa na waume wawili ebu fikiri ww ndo ungekuwa matara,???
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,533
2,000
Toto 2ndu

Wasubiri Wabobezi Wa Ukahaba Na Ukatili Huo Unaoufanya Kwa Hao Wanaume Wawili Watakuja Kukujibu Vizuri Sana Ila Waaminifu Sisi Tunajitoa.
 
Last edited by a moderator:

PesaNdogo

JF-Expert Member
Jun 19, 2013
1,996
2,000
Toto 2ndu

Mtazamo wangu unaona hapo wote wawili ni utata, mapenzi sio maneno ni vitendo. Huyo wa kumzalia anakuona incubator au, na wewe unasema nimezalie mtoto! Usijitege mwenyewe,

usizae bila mambo kueleweka kuna vijana wanataka watoto tu kuoa hawataki, amka. Huyo mfanya biashara hajiamini ndo maana anakuwa hivyo, labda mkiwa karibu atakuamini na kuacha kujihami kwa maneno
 
Last edited by a moderator:

salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,442
1,225
Toto 2ndu

Ushauri wangu ni kwamba ubadilike kwanza na kuwa mtu mwema; wewe ndie tatizo hata akuoe nani toka sayari za mbali maisha yako yatakuwa bado ya matatizo tu usipoamua kubadilika
 
Last edited by a moderator:

jingus

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
472
500
Mapenzi si msaada Wa pesa au mtoto, mapenzi ni hisia kutoka moyoni. Hivyo tafakari kwa kina nani ana mapenzi kutoka moyoni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom