Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Upendo ni dawa ya kila tatizo,,,unayempenda ww ndie wakuolewa naye...palipo na upendo pana msamaha, ushauri, uvumilivu, furaha ya kweli! usiolewe kwa sababu ya kitu flan! UPENDO ndio dawa ...kwaio angalia moyo wako unampenda nan

umemaliza mkuu kula tano za nguvu
 
Mm ni msichana nna wachumba wawil mmoja n mfanyabiashara dar na mwngne ni mwanafunz wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nkiwa na shida anansaidia sana lkn tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjib na kaa kmya baadae ananpgia cmu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lkn kutokana kejeli zake nahsi hata nkiishi nae naweza kupata shda sana badae huyu mwanafunz wa chuo kanambia anakuja next week ndo anamalza chuo anataka n mzalie mtoto kwanza ndo aje ajtamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia nko njia panda sasa cjui n yupi ambae n sahihi naomben ushauri wana jf wenzangu
Khaa!! Wataalam kuna mtu kaona njia panda hapo?
Ushauri kwa serikali: Lianzishwe somo la mapenzi kuanzia madarasa ya chekechea :glasses-nerdy:
 
Mtazamo wangu unaona hapo wote wawili ni utata, mapenzi sio maneno ni vitendo. Huyo wa kumzalia anakuona incubator au, na wewe unasema nimezalie mtoto! Usijitege mwenyewe, usizae bila mambo kueleweka kuna vijana wanataka watoto tu kuoa hawataki, amka. Huyo mfanya biashara hajiamini ndo maana anakuwa hivyo, labda mkiwa karibu atakuamini na kuacha kujihami kwa maneno

ushaur mzuri sana ntaufanyia kazi
 
hapo kinachomtesa ni hela za mfanyabiashara hakuna kingine.

kama ngekua naangalia ela alizonazo mtu ncngetaka kuomba ushaur ila ngeenda mojakwamoja cko kmacrah kama unavofklia ww icpokua nataka njue yup anaefaa na atakae weza kujenga familia
 
kula kwa mangi zaa kwa mwanafunz iv unajisikia je unavo tumika uko na kule du! wanwake bwana acha uliwe mpaka ukoaee upo

cjawah kuduu nao mpaka pale ntakapopata muafaka kujua n yup anaefaa kujenga familia na mm
 
Olewa na wote maana unawapenda wote wawili.

Mm ni msichana nna wachumba wawil mmoja n mfanyabiashara dar na mwngne ni mwanafunz wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nkiwa na shida anansaidia sana lkn tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjib na kaa kmya baadae ananpgia cmu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lkn kutokana kejeli zake nahsi hata nkiishi nae naweza kupata shda sana badae huyu mwanafunz wa chuo kanambia anakuja next week ndo anamalza chuo anataka n mzalie mtoto kwanza ndo aje ajtamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia nko njia panda sasa cjui n yupi ambae n sahihi naomben ushauri wana jf wenzangu
 
unawezaje kua na wapenzi wawili wote wanakufunua lakini daah...
sijui yaani!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom