Aristidi selestin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 384
- 59
Kwaaa akili yako ww inakutuma uolewe na nan????
ndo nipopata waswas na uwezo wa kufikiri wa wanawake
Kwa sababu mwanamke ndio changu ila ingekua mwanaume ufahari. Hebu mtuache wanawake na sisi tuishi tutakavyo, akitembeza, akituliza wewe inakuuma nini?Sizani kama ni sifa kusema kuwa una wachumba bhax huna tofauti na machangu wengine wanaojiuza ,,,,hufai hata kuolewa
una wachumba wawili au mabwana???
Shika adabu yako, usifananishe akili ya wanawake zako na wanawake wengine.
Utakua mgeni jf hujajua bado kuna wanawake weeengi wenye akili kukuzidi.
Uspoteze mda chagua anaekupenda co unaempenda. Na huyo anae malza kusoma huwa wana changamoto kali staki kuzkumbk.
Mimi nina mambo matatu
1. Chagua yule ambaye unaona dushe inakutosheleza, ukitoka kugegedana awe na uwezo wa kukata kiu yako maana isije tokea siku za usoni ukataman dushe lingine na kusababisha utoke nje ya ndoa
2. Ndoa silaha kubwa ni upendo, mtu unayetarajia kuwa naye maisha yote, siyo ndugu, siyo mtoto na sio mzazi, utagundua huyo si mtu wa kawaida huitaji kukurupuka
3. Nitarudi malizia[/QUOTE
ushaur wako mzur sana
Sijui ka huwa mnafuatilia mashauri haya munayopewa lakini. Kama utafuatilia vizuri, wengi wamekuambia kuwa hapo hakuna mume. Ila nakuonea huruma tu. Unasema ati weye ni msichana, tayari una njemba mbili zinajilia kiulainiiiii.
Mfanyibiashara akijisikia anakuja shamba kula kuku wa kienyejiiii akidhani ni wake peke yake tuuu unavyo mpokea kwa hishima. Mwanachuo akija kalikizo hata ka wiki moja anakuja kujipoozeshaaaaa akiomba kutokee mafuriko chuo siku ziendelee kabla hakijafunguliwa. Anapiga kaz kweli kweli akitamani akuangue kitoto aone kitafananaje.
Hapo, nasema, hakuna mume wala hakuna wife material. Wooote, HASARA TUPU wanaume wako na weye pia. Dah! Sijui tutapata wapi wanawake wa kuoa tena kama mpo hivi
mi nko mkoa tofaut kabsa na hao wanaume wote tunaongea tu kwenye cmu uyo mfanyabiashara alimishwa kikaz uku nnapoish mm tangu aondoke na hata kabla ya kuondoka tulkua hatujaanza ako kamchezo coz nlimuambia kama anataka anioe kwanza ndo 2anze ako kamchezo
mi nko mkoa tofaut kabsa na hao wanaume wote tunaongea tu kwenye cmu uyo mfanyabiashara alimishwa kikaz uku nnapoish mm tangu aondoke na hata kabla ya kuondoka tulkua hatujaanza ako kamchezo coz nlimuambia kama anataka anioe kwanza ndo 2anze ako kamchezo
kula kwa mangi zaa kwa mwanafunz iv unajisikia je unavo tumika uko na kule du! wanwake bwana acha uliwe mpaka ukoaee upo