Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Mimi umeniacha hoi kwenye maandishi, mistari sita hakuna nukta wala koma! hata waimba rap wanakuaga na nukta.

Tukirudi kwenye mada, naomba uni PM
 
Ushauri wangu ni kwamba ubadilike kwanza na kuwa mtu mwema; wewe ndie tatizo hata akuoe nani toka sayari za mbali maisha yako yatakuwa bado ya matatizo tu usipoamua kubadilika

Kitendo chako cha kuwa na mabwana wawili kwa wakati mmoja ni ushahidi tosha kuwa wewe ndiye tatizo na uko kimaslahi zaidi na sio kimapendo ndio maana unadai huyo wa kwanza anakusaidia sana kana vile kusaidiwa kipesa ni kigezo halali cha ndoa.

kama ungelelewa katika maadili ingawa hujaolewa kwa wakati mmoja ungekuwa na mwanaume mmoja tu. Na kama ungeona hafai kuwa mume ndipo ungemuacha na kuanza upya kutafuta mwanaume mwingine.

Kupanga ni kuchagua; ila kumbuka unaweza kuchagua nini cha kufanya lakini huwezi kuchagua matokeo.
 
Hahahaha acha ncheke kwanza... ujinga wakati wa kwenda tuu sasa naona ww mpaka wakati wa kurudi bado u mjinga
 
ukiacha huo UMALAYA wako, then katubu na kumuomba MUNGU akupe mema, utampata anaekufaa,,,,. hapo mmekutana vicheche wa3......kila mmoja ana windo lake.....
 
Wa KWANZA MFANYABIASHARA lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana
Wa PILI anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home.

Hapo wote watatu ( Wewe, Mfanyabiashara na Mwanachuo) ni walaghai tu
 
Sijaona mme bora kati yao mwanafunzi angekua anakupenda kweli asinge kuzalisha ndoakuoe ukimzalia imekula kwako,mfanya biashara hakupendi ila anapo kuhitaji ndoanajirudi akikuoa utajuta kuzaliwa kilasiku atakua anakuambia umeniibia wawe masikini nk
 
duh wanawake bhana. shida tupu. hapo hakuna unaempenda. endelea kutafuta. angekuwepo wala usingekuja kuuliza uku.
 
Una bahati eeeh. wachumba wawili at per. kwa vile umechumbiwa na wawili olewa na wote ili muradi wasijuane. Mfanyabiashara wa kukupa mshiko. teachers wakukupatia mtoto na mapenzi. si itakuwa poa?
 
kila kitu maandalizi mapenz huundwa n wasiwasi sikiliza nin moyo wako unataka
 
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu

umalaya unakusumbua, huna lolote
 
You are really in trouble. kwamba unapenda vitu viwili yaani pesa na mtu ambavyo vimetengana. ingefaa kumpata mwenye pesa na vigezo vyako.
Wote hao wana matatizo. mfanyabiashara kaanza kuonyesha makucha mapema mno. akikuoa itakuwa kasheshe. mwalimu mashariti yanakupeleka dhambini. Sasa amua kusuka au kunyoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom