Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Kati ya hawa yupi sahihi wa kunioa?

Nobody is perfect na kumpata MTU anaekufaa maishan jaribu pia Kumshirikisha Mungu akuongoze.angalia anaekupenda kwa dhati na unaempenda pia.kila la kheri
 
Unataka ushauri gan cjui?!tafuta wa tatu.
 
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu

-unafiki si mzuri! umekiri kumpenda sana mwanachuo....sasa kama kwenye moyo wako kajaa mwanachuo, huyo mfanyabiashara umemweka wapi? au unamchuna? Coz umesema anakusaidia sana! Nyie ndo ambao mkiolewa mnakuwa na michepuko kwa ajili ya tamaa! maana si kwamba ukiolewa ndo utaacha kucheat! ukimsaliti BF, hata mume utamsaliti tu.

-siku hizi hadi mtu unamruhusu kwenda hm kukuposa, hata wazazi wanakuwa wanajua mshaelewana. Sasa mfanyabiashara ulishampeleka hm, mara uwapelekee na teacher mtarajiwa! hudhan kwamba utawachanganya wazazi? na kujishushia CV?

inshort...huna manners! badilika, usicheze na mioyo ya watu! wakati wa kulipia ukifika, trust me...hutapenda. Nyie ndo wanawake mnaotutukanisha!
 
Hakunaga wachumba wawili hata siku moja... Mchumba ni mmoja. HAPO HAKUNA MUME. Uzae kwanza ndio aje kwenu hayo maadili ya wapi? Ni kinyume na tamaduni na Dini pia. Mwanaume anaye kupenda hawezi kukutumia ma message ya kashfa na wewe upo tuuu au pesa zake zimekuroga.?
 
Endelea kuchakazwa Mume wa kweli atakuja usijali. Halafu huyo anae kuambia eti akuti..e uzae kwanza ndio mwehu sana, Jua ukizaa nje ya ndoa umejiweka DOA. Mtoto kwa mwanamke ni DOA lisilo futika. Wanaume tunakawaida ya kuchange any time. So take care Dada usijaribu kuzaa nje ya Ndoa.
 
Kifupi wewe hufai kuolewa sio mwaminifu hao jamaa imekula kwao.
 
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu

We ni malaya kabisa
 
Mungu ana kazi sana, kama binadamu ndio sisi basi huwa anaona mengi na kuumia sana
 
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu

Bila shaka umpendaye kutoka moyoni mwako unamjua na ndio huyo huyo umkubalie. Sina hakika kama unawapenda wote kwa usawa. Katika maisha yangu sijawahi kupenda watu wawili kwa wakati mmoja, ninapompenda mmoja huwa sina nafasi ya kuwafikiria wengine
 
Mimi ni msichana nna wachumba wawil mmoja ni mfanyabiashara Dar na mwingine ni mwanafunzi wa chuo anasomea Education Kigoma huyu mfanyabiashara nikiwa na shida anansaidia sana, lakini tukikwaruzana tu kidogo anatuma sms za kejeli sana mpaka mimi naumia sana na simjibu na kaa kimya.

Baadae ananipigia simu ana niomba msamaha na ameshakuja kujtamblisha home kama anataka kunioa lakini kutokana kejeli zake nahisi hata nikiishi nae naweza kupata shida sana, badae huyu mwanafunzi wa chuo kanambia anakuja next week ndio anamaliza chuo anataka ni mzalie mtoto kwanza ndo aje ajitamblshe home na pia nampenda sana na yeye ana nipenda pia niko njia panda sasa sijui ni yupi ambae ni sahihi.

Naomben ushauri wana JF wenzangu

kwani wewe unampenda yupi, olewa na yule umpendaye bila shaka kati ya hao wawili kuna mmoja ambaye unampenda. sidhani kama wote unawapenda kwa mpigo!
 
Yaani umegonganisha magari kisha unakuja kutaka ushauri!kwanza mwenyewe huna maadili mema una tamaa na pesa.Hao wajasiria papuchi watafanya yao kisha wataondoka.Mtu anakuwekea sharti mpaka umzalie mtoto ndo akuoe?je usipopata mtoto na muda unakwenda?kuolewa ni sheria na kuzaa ni majaaliwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom