Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Ukienda upande wa logic pia unaprove kuwa clip hiyo is a descent simulation..Huyo aliekuwa anaelekezwa mbona hajachangia chochote?na hajaonyeshwa karibu dakika zote...intentionally alieonyeshwa ni rwakatale tuu ambae ndio walimtarget...mpango huo haukuwa na mshiriki mwingine yoyote?matukio yaliyozungumzwa ya igunga na morogoro...nashangaa jeshi zima la polisi kukurupukia ujinga kama huo wanaacha mambo ya msingi...
 
Mkuu wangu Patriote,
Waingereza wana msemo wao kwamba "A BLACK CAT MAY BE A BAD LUCKY ONLY IF YOU ARE MOUSE!" Chambilecho wewe sio panya, yanini kuingiwa taharuki pindi umwonapo paka?! Naona wapwa mmekazana sana kulikanusha hili jambo....pamoja na post kadhaa za kukanusha, bado hivi sasa kuna new threads za kukanusha...!! Hofu ya nini? I believe Lwakatare is smart enough ku-prove beyond reasonable doubt kwamba ile video is just a fabricated material; sasa nyie hofu yenu nini mkuu wangu Patriote? Mnatutia mashaka sie wengine; a black cat may be a bad luck only if you're mouse! Wewe majani, hofu yako nini kuingizwa kwenye banda la mbwa wakati unafahamu mbwa hali majani?! Unakumbuka pale Uhuru Kenyatta alipojipeleka mwenyewe ICC? Kenyatta alifahamu he's not a mouse so he'd no reason to get scared of a balck cat ICC!! Wewe kama ni majani, pigana kufa na kupona, ikibidi kanusha kwa nguvu zote kwamba wewe si majani ikiwa umegundua unataka kupelekwa zizi la mbuzi, lakini kwenye banda la mbwa; aaaargh, hofu ya nini!!!

Mkuu NasDaz kama ungekuwa umewasikia wakuu wa jeshi la polisi wanchokiongea kwenye vyombo vya habari juu ya sakata hili usingeandika huu utumbo uliouandika hapa.

Alichofanya Patriote ni kujaribu kuufahamisha umma juu ya ufirauni uliofanywa na ccm kwa kushirikiana na serikali yao kutaka kuionyesha Chadema mbele ya macho ya watanzania kwamba ni chama cha wauaji wakati ukweli ni kwamba matukio yote ya uhalifu yanayofanyika nchi hii yanaratibiwa na kusimamiwa na vyombo vya dola chini ya ccm.

Dr. Ulimboka alimtaja mtu aliyemteka kuwa ni Ramadhani Ighondu mbona hajawahi kukamatwa ama kuhojiwa? Membe ametajwa na vyombo vya habari kuhusika na tukio la kumteka na kumtesa Kibanda mbona hajakamatwa ama kuhojiwa? Sasa mtu kama wewe unaposhindwa kuona mambo kama haya yaliyo dhahiri kiasi hiki na kufuata mkumbo wa kupiga propaganda inaonyesha dhahiri jinsi waanaojiita wasomi katika nchi hii walivyogeuka kuwa wasaliti.

Badala ya kusimamia ukweli ninyi mmegeuka kuwa makuwadi wa viongozi wa ccm na serikali yake wanaotenda maovu ya kila namn alimuradi tu waendelee kukaa madarakani.
 
Last edited by a moderator:
from fb
MAPUNGUFU YA VIDEO ILIYOBEBA UMAARUFU KUHUSU LWAKATARE KUHUSIKA NA MIKAKATI YA MAUAJI.......WENYE UELEWA KARIBUNI

1. video imechukuliwa tarehe 28-12-2012 baada ya sikukuu ya krismasi bila shaka kama tulivyowasikia wahusika humo. kwanini video ije kutolewa saiv baada ya tukio la kuteswa ?

2. hii video imechukuliwa na camera yenye MEGA PIXEL zaidi ya 5, na secret cameras huwa hazina pixel kubwa kiasi hicho. hivyo wahusika walikua wanajua kabisa kuwa wanajirekodi..
...
3. kauli ya ridhiwan na nape kuhusu kuwa wanayo video ikiwaonesha viongozi wa chadema wakipanga mauaji ya watu, tangu chadema iseme pelekeni hiyo video kwenye vyombo vya dola hili wahusika wachukuliwe hatua ccm hawakupeleka inamaana hii video ilikua bado au ? na ikumbukwe hii video imechukuliwa 28-12-2012 na mwigulu alisema wanazo video ni tarehe hizo hizo.

4. mhusika kuweka hiyo video "BUKOBA BOY" amejiunga na youtube tarehe 11-03-2013, na tarehe hiyo hiyo akaweka hiyo video ambayo aliichukua tarehe 28-12-2012, je kama analipenda taifa hili kwanini hasingeweka tangu kabla ya tukio pengine kibanda angeepukana na hatari hii..?

5. kama kweli polisi inanguvu kwanini haijamkamata huyu mtu mpaka saiv kwakua ni threat kwa taifa ?

6. katika dakika ya 16 na sekunde ya 55 ya video hii, lwakatare anasema" either nilivyopewa na kuistudy hii homework" inamaana kuna mtu kamtuma kusema haya maneno ? swali je ni nani ?

7. katika dakika ya 17 sekunde ya 32 lwakatare anasema" kama huyu mtu anakua na sehemu nyingi sasa tutatrace ngapi, lazima hawe na sehemu moja specific kuwa hakosi" jamani tujuzane hivi mtu anaepanga mauaji anachagua sehemu kweli ? mbona mwangosi aliuliwa kwenye mikono ya polisi inamaana huwa ndio ilikua sehemu yake ? mbona kijana kwenye maandamano alikufa kwenye mkutano inamaana morogoro kila siku palikua na mikutano na marehemu alikua ndio sehemu yake ?

8 na mwisho kwanini video imekatiswa katikati ? je kuna matukio mengine yatafanyika alaf ndio waje na video ya 6 maana hiyo ni video ya 5 ?

9. mwanzo kabisa ya video wanarekebisha mic, na mchukua video anasema "tuta-note upya hapo" inamaana kuna marekebisho ya kubadiri camera yalifanyika hata video inavyoanza tunaona kabisa walikua kimya.

hayo ni baadhi ya mapungufu niliyoyaona humo

Jibu la swali Na. 1. Wasingeweza kuitoa kabla hawajapata mzito wa dunia, baada ya kushauriana ndipo akapatikana EFUBIYAYI kisha ikatafutwa namna ya kumuita - tukio Zanziba - swadakta! sasa tumeshapata cha kumuambia - kisha EFUBIYAYI akaitwa kiofisi achunguze, halafu - akapatiwa video, kisha wananchi nao wakatakiwa wajue kinachoendelea. Teheteheteheeeeee wneye akili kumkichwa tulishajua -- !!!!!!!
 
Hii video kweli imewachanganya sana CHADEMA, tuwaachie POLISI wafanye kazi yao na ukweli utajulikana hakuna haja ya kutukana humu JF, mbona hii video iko wazi jamani hata tukijifanya kumtetea LWAKATARE ni kazi bure, ni gumu sana kushindana na ushahidi.

Kwa wavivu wa kufikiri watajua hivyo na wapo wengi sana, ila fikiria zaidi utagundua hili ni janga la ccm walioandaa hiyo clip. jaribu kufikiri vizuri na utaugundua ukweli ila ukiwa na mawazo ya kwamba sasa Chadema wamepatikana hutakaa uone ukweli mkuu! na hili ni tatizo kubwa sana ndani ya ccm watu hawafanyi vitu kwa umakini mkubwa wanakurupuka, kitu kama hiki wangekipanga kwa umakini na kutumia akili wangefanikiwa kuichafua Chadema lakini kwa hiki tulichoona aliyechafuka hapa ni ccm, kusanya data hata huko mtaani utangundua waliobuni huu ujinga wamefail.
 
Nilitaka kuamini lakini thanks kwa mdogo wangu yuko UK, amenitonya kuwa kamchezo haka kamefanywa Marekani ni mtu wa karibu wa Riz1 mwenye birthday.

Kufuatia suala la Lwakatare kushika kasi humu jamvini, zimetokea hisia na mawazo tofauti sana baina ya wachangiaji mbalimbali juu ya mada hii ya kurecordiwa Lwakatare kupanga kumdhuru mwandishi. Wengi tulihoji sana uwezekano wa hii ishu kama ni halisi/si halisi. Kutokana na kuwa gizani kitechnologia, wengi hadi ninavyoongea hivi bado huwezi kuwabadilisha mawazo kuwa technolojia inaweza ikahusika katika kufake ile clip. Na kutokana na suala hili kugubikwa na propaganda za kisiasa, watu wamesahau hata technologia rahiti tu ya kuifanya midomo ya Cartoon icheze kulingana na maneno yanayotamkwa na cartoon/robot.

Kuweka kumbukumbu vizuri tarehe za mwanzon kabisa za mwaka huu mpya Mwigulu Nchemba alitueleza kuwa alikuwa na mkanda unaoonyesha viongoz (wengi) wa chadema kupanga mauaji. Mkanda umetoka tumeona kiongozi mmoja tu ndo anayepanga mauaji, kupungua kwa washiriki kutoka kwa viongoz hadi kiongozi, inahusishwa na ugumu uliopo wa kuinvolve watu wengi kwenye kufake/kulisha maneno watu wengi kwenye clip moja.

Aidha, baada ya tukio la utekwaji wa kibanda, wameibuka Nape na Ridhiwani hadharani na kuongea wakiwa na confinence ya 100% kuwa ''hawa wenzetu wa upinzani''/na ''safari hii pia mseme kuwa Ikulu/Rama/Magogoni ndio wanaohusika, kazi iliyopaswa kufanywa na vyombo vya dola. Siku chache baadaye Single ya Lwakatale ikatambulishwa rasmi kupitia Youtube na immediately ikatua jamvini na hata Polisi kuipata habari hii via Jamvini/Youtube na sio kwa Mwigulu. Sasa ukiconnect dots.......unaruhusiwa kabisa kufikiri kuwa tayari wenzetu wa upande wa pili walisha preview hii clip waliyoshiriki kuiandaa na ndo mana walikuwa na uhakika kuwa kwa level yetu ta technology, ni rahisi sana kushawishika kwa hii clip kuwa ni halisi.

Tulishasikia pia Wassira akitamka kuwa CDM lazima ife 2013, wengi hatukuelewa na hadi sasa hatujaelewa alikuwa anamaana gani kutamka maneno kama yale mtu wa makamo yulo. Sasa kauli za hivi za kumtamkia kifo mwenzio zinasignal kuwepo kwa mkakati wa maksudi wa kumuua mwenzio??Aidha, CCM katika vikao vyao vya CC/NEC, ccm walijadili kwa kina namna ya kudeal/kuisambaratisha CDM badala ya namna ya kutumikia umma wa watanzania waliowaweka madarakani. Hapa pia panazaa jambo.

Baada ya utanguliz huu naomba niimwage kwenu faked clip ya Barack Obama ili at least tujue tu kuwa suala la kulishwa maneno linawezekana. BOFYA A Bad Lip Reading of Barack Obama's Inauguration (Legendado PT-BR) - YouTube. Aidha, clip hii isikuzuie kuendelea kuamini unachokiamini, mimi nimeonelea tu niwafahamishe wale wote wenzangu ambao asubuh ya leo tulihisi sio kitu kinachowezekana hapa duniani.
 
7pyXi8n5f5QAAAABJRU5ErkJggg==


huyu mtu alikuwa anajua camera ilipo..watanzania tusifanywe wajinga hapa!! fake bongo movie
 
Polisi tena?Si unajua hata darasani wale waliopata FFFF ndio walikuwa wanakwenda huko.

Kwa wavivu wa kufikiri watajua hivyo na wapo wengi sana, ila fikiria zaidi utagundua hili ni janga la ccm walioandaa hiyo clip. jaribu kufikiri vizuri na utaugundua ukweli ila ukiwa na mawazo ya kwamba sasa Chadema wamepatikana hutakaa uone ukweli mkuu! na hili ni tatizo kubwa sana ndani ya ccm watu hawafanyi vitu kwa umakini mkubwa wanakurupuka, kitu kama hiki wangekipanga kwa umakini na kutumia akili wangefanikiwa kuichafua Chadema lakini kwa hiki tulichoona aliyechafuka hapa ni ccm, kusanya data hata huko mtaani utangundua waliobuni huu ujinga wamefail.
 
Mkuu NasDaz kama ungekuwa umewasikia wakuu wa jeshi la polisi wanchokiongea kwenye vyombo vya habari juu ya sakata hili usingeandika huu utumbo uliouandika hapa.

Alichofanya Patriote ni kujaribu kuufahamisha umma juu ya ufirauni uliofanywa na ccm kwa kushirikiana na serikali yao kutaka kuionyesha Chadema mbele ya macho ya watanzania kwamba ni chama cha wauaji wakati ukweli ni kwamba matukio yote ya uhalifu yanayofanyika nchi hii yanaratibiwa na kusimamiwa na vyombo vya dola chini ya ccm.

Dr. Ulimboka alimtaja mtu aliyemteka kuwa ni Ramadhani Ighondu mbona hajawahi kukamatwa ama kuhojiwa? Membe ametajwa na vyombo vya habari kuhusika na tukio la kumteka na kumtesa Kibanda mbona hajakamatwa ama kuhojiwa? Sasa mtu kama wewe unaposhindwa kuona mambo kama haya yaliyo dhahiri kiasi hiki na kufuata mkumbo wa kupiga propaganda inaonyesha dhahiri jinsi waanaojiita wasomi katika nchi hii walivyogeuka kuwa wasaliti.

Badala ya kusimamia ukweli ninyi mmegeuka kuwa makuwadi wa viongozi wa ccm na serikali yake wanaotenda maovu ya kila namn alimuradi tu waendelee kukaa madarakani.
Ndugu yangu umeongea kwa uchungu mkubwa sana, pole kiongozi! Hawa tuponao hadi kieleweke, tunataka 2015 wao wenyewe wasalimu amri kwa huu mpera mpera. Wao wakituinject poison, sisi tunajiinject antidote, na kusonga mbele kwa kasi ya ajabu na M4C yetu.
 
Kweli mkuu. Mfa maji haachi kutapatapa. CCM wanajaribu kutapatapa kwa kuleta video fake. Mwisho wao umefika ndo maana wanaendelea fikira za samaki
Wana mapinduzi wanaamini kuwa ukiona mambo kama haya tambua kuwa ukombozi upo karibu. Uhuru na Ruto walifanya kama haya na sasa wameingia ikulu, aibu kwa ICC na mafia wao. Nadhani ni muda wa kushangilia ushindi na mapinduzi ya kweli, watanzania wenye akili, na hasa hawa wanaotumia mitandao ya kijamii na forum makini kama JF watatumia akili zao kuchambua hili. Maana mengi yamesemwa kuhusu CHADEMA yameshindwa....walianza na ukanda ukashindwa, wakaja na dini wakashindwa, wakaja na kadi ya dokta Slaa wakashindwa, sasa wemeibuka na mauaji...hakika MUNGU ni yule yule jana, leo na hata milele, ataendelea kutupigania wana CHADEMA.

Tualianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU
Ikiwa MUNGU, yupo upande wetu, nani atanyanyuka kinyume chetu?
 
Nilitaka kuamini lakini thanks kwa mdogo wangu yuko UK, amenitonya kuwa kamchezo haka kamefanywa Marekani ni mtu wa karibu wa Riz1 mwenye birthday.
Mwambie atupe nondo kamili kaka, hii ishu inabid iwamalize kabisa magamba. Maana inaonekana hawataki kuachia nchi, hawa watatuingiza kwenye machafuko. Mchama haupendwi hiv unawezaje kulazimishia kujipendekezesha kwa watu???Wao wamalizie tu hii miezi 18 ilobaki tutemane nao.
 
Ni kweli mkuu aliye-record amechemka. Kwa mtu asiyefikiri vizuri ndo ataamini upuuzi huu. Kama kweli ni Great thinker utang'amua video ilivyo na makosa mengi ya kiufundi na kudhihirisha kuwa ni uwongo.

Ni vyema waandaaji wakajipanga kwa zile part wanazosema eti watazileta.

Mungu ni mwema sana na siku zote huwaumbua watu wenye nia mbaya. Hizi ni siasa za maji taka ambazo hazina tija na upepo utawapitia tu hata kama watatengeneza video mia moja na zaidi. Propaganda hizi ni za kitoto.

CCM na serikali yake wanapoteza muda badala ya kufikiri watawasaidiaje watanzania kuondokana na umaskini. Ni vigumu kuwadanganya na kuwaaminisha watanzania kwa video hii.

CHADEMA mtihani huu mtaushinda tu, mungu yuko nanyi na atawatia nguvu kuendelea na harakati za ukombozi.
tusiishie kusema Mungu Yuko Pamoja nasi..BALI TUKESHE KWA KUFUNGA NA KUOMBA ILI HAWA WADHALIMU WAONDOKE.
 
Hii video inaupungufu mmoja mkubwa sana; haionyeshi uhusiano wa moja kwa moja ya uhusika wa Mbowe, Slaa, Lissu, Mnyika, Lema au Zitto.

Ingelikuwa ni jambo la busara sana kama kwenye kikao hicho kama kweli ni kikao cha siri, viongozi waandamizi wa CDM wangekuwepo.
 
Nadhani rwakatare ndie pekee anayeweza kuondoa utatahuu, pamoja na vyombo vya usalama.tumeona picha za kichina zinawekwa sauti ya kiswahili sembuse na hili,angalia tamthiria zimeigizwa kivenezuera wanaongea english. Kweli technologia imekuwa bongo maendeleo ndio hakuna
 
CHADEMA wamekwaa kisiki...Kibanda kaumia kama alivyoumia Sungura alipokuwa akiandika makala za kuanika maovu ya Slaa katika gazeti la Rai!hilo lipo wazi sana hata Mh.Mbatia wakati wa kampeni alikoswa kuumizwa kwa ajali ya gari pale maeneo ya Bunju Basi haya na kikosi maalum cha CDM..Mkewe Kibanda(ni Mchaga,mwanachama wa CDM)kwa sasa anatumiwa na CDM hao hao kusambaza propaganda chafu dhidi ya mumewe ili kuficha ukweli!!!
CHADEMA NI CHUI ALIYEJIVUKA NGOZI YA MBUZI.....ushahidi upo
 
Jamani mmesahau na ile ujumbe wa sms Nchemba alizosema katumiwa na wabunge wa CDM. sijui iliishaje nayo

nakumbuka kusoma uzi mmoja humu jf mwaka jana uliokuwa na kichwa cha habari "usalama wa taifa wampa wakati mgumu jk kuhusu Chadema 2015.kwa hali ilivyo,tumeshaelewa alichagua option A.na kama ni hivyo,namshauri aachane nayo.kuiua Chadema hakutaisaidia CCM.Mwamko uliopo hivi sasa unatokana na wananchi wenyewe kuichoka serikali iliyopo madarakani.hivyo wanatafuta mlango wa kutokea.sasa ukifungwa mlango huo hapatakalika baada ya 2015.nawaambieni watawala HAYA MAJI HAYAZOLEKI TENA!kuweni na hekima.mkilazimisha sana,nyie na familia zenu mtaishia kuishi uhamishoni maisha yenu yote.kule hamtakuwa na vx,ofisi za ikulu,mashamba,majumba wala uhuru mlionao sasa.mtabaki kuwa na mabilioni uswisi yasiyowasaidia kitu manake hamko kwenu mlikozoea kutawala na kutanua tu na raia wapole watz wasiohoji mambo!
 
Hili ndio tatizo lenu Machadema. Hivi mtajenga taifa la namna gani ikiwa kila mwana CHADEMA hastahili kukosolewa?

Perfection ni ya muumba tu.

Msifia mvua immemnyea, wewe ulishawahi kutumikishwa nini? Naona unafikiri kila mtu aliye na mchango tofauti na wa kwako anatumiwa! Lol, kazi tunayo na hawa 'wakombozi' wachumia tumbo.


you made my day Bocho, sio kila mpinga hoja za chadema ni ccm , kila mpinga hoja ya chadema hana akili!!
demokrasia gani mnayo hubiri?? nchi huru hii kila mtu ana maamuzi yake, watu wote wawe chadema hivyo vyama vingine vya nini?? kuweni wastaarabu kidogo
,
 
Kama nilivyochangia katika thread inayohusu video ya Lwakatare
1.Anayerekodi anamuongoza mzungumzaji kwa kumwambia maneno "niweke? mmh hapoo? haya" . pia anamuelekeza arudie maneno.

2.Imerekodiwa bar, watu wanapitapita wanasalimia na kutaja majina yao. Kwa watu makini hawawezipanga mpango hatari kwenye eneo la wazi hivyo.

3.Sura ya muongeaji si halisi na tone yake si halisi.

4.Anayerekodi anachomeka jina la Zitto kuhalalisha mpango.
JIPANGENI UPYA KUHARIRI VIZURI NA ALIYEHARIRI AMECHEMKA
Hapo mumenasa kwenye "tope"... Badala ya kuendelea kujitetea humu jamvini, nobora kutoa ushirikiano wa kila namna Kwa vyombo vya usalama ili kujiridhisha kama mambo hayo hayakutokea kwali ndani ya CDM....! la sivyo hata yale ya wachungaji zanzibar Mtaongezewa pia....si mnajua jeshi lapolisi lilivyo juu kwa "investigesheni"....................
 
Binafsi sioni uhalisia ktk hiyo clip na kwa mtu alie timamu haiwez mwingia akilini. Hizo ni propaganda tu za akina Mwigulu kama walivyopanga ila mwisho wa siku ukweli utafahamika tu.
 
Back
Top Bottom