Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Ndoa ni suala la umma? Najaribu kuangalia safu ya uongozi wa nchi hii katika muktadha huo, simuoni hata mmoja anaye qualify kuendelea kubaki ofisini. Hata Pinda!
 
kwani mbowe nae amebaka????? au ndio umekua muathirika wa mfumo wetu wa elimu....

unamaanisha ana division 5+
dada wa watu alivua nguo mwenyewe sasa kamada mbowe akala vitu kwa raha zake.
 
Mkuu lizabon hv una mtoto kweli wewe au hata mdogo wako tu uwe ht na uchungu kwa aliyoyafanya kapuya hlf unamtetea mbkj.
 
Sasa alizaliwa mwanaume Ili iwe je? Mbona watu wengine Mambulula. Tunataka kuijadili Tanzania Zaidi na Si tabia ya mtu na maamuzi yake. Mbona watu wengine wanapenda sana misemo ya kanga. Tanzania tulilie umaskini tulio nao sasa na tutatoka je na si nani kalala na nani.
 
Ya kapuya ni ubakaji sio uzinzi!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

We unajua ubakaji? Ulishamuona mtu aliebakwa? Nadhani hujawahi usingesema hivyo uliza kwanza! mtu ameenda kwa hiari yake na kavua nguo mwenyewe kabakwa? Aliebakwa kapigwa kachaniwa nguo nk. Usitete uzinzi, una ndoa na una zini nje huo ni uzinzi tu.
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.

Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".

Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu

Usitake kuaminisha watu kuwa usingizi na kifo ni sawa!!
 
suala la maisha ya viongozi sio binafsi kamwe, kiongozi anapaswa kuwa msafi na kuonekana Kuwa msafi...sio binafsi kamwe....
yawezekana una point lakin siyo applicable hapa Tanzania. Kwa Tanzania makatazo mengi ni kwa baadhi tu. mtindo unaotumika ni ule wa Kunya anye Kuku akinya bata......
 
Hata kama kahaba mbona linalalamika limeambukizwa ukimwi na kapuya?
Limelalamika wapi? Hayo yaliandikwa na gazeti la Udaku la Tanzania Daima. Nimesikiliza video clip wakati Global Publishers wakilihoji lile kahaba, yaanimutacheka mpaka mbavunzitetereke. Kahaba linakana mpaka jina lake. Oooh mie siye. Wamuulize Leyla mwenyewe!
 
Tumia akili unafikiri ukianza kufuatilia mambo ya familia za viongozi utafikia hapo tu, kuna mambo mengine ni personal affairs. Ukiona mtu anapenda sana kufuatilia personal affairs za watu mwisho wa siku ujue ni mmbeya na hana hoja.

Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.
 
Kapuya alishutumiwa kwa kesi ya ubakaji na kufanya mapenzi na mwanafunzi alie chini ya umri kisheria, haifanani na ishu ya Mbowe hata kidogo.
 
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.
Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.
There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.

Unachoongelea ni sahihi kabisa,na mara nyingi tunasema anayeweza kuishi kwenye ndoa yake vyama basi ni kiongozi mzuri.Lakini tukiangalia kwenye maisha ya kawaida ya Muafrika mwanaume kuwa na wake wengi ni suala la kwaida na la binafsi.Tukianza kuchunguza tutashangazwa na mengi.Kuna wengi ambao ndoa zao zinamushkeli na walizonazo sizo ndoa zao za halali,na kama ni ndoa ya halali basi huko nje kuna vimwana visvyohesabika.

Vinginevyo tukihitaji usafi wa viongozi wetu tuanze sisi wenyewe kwanza kujisafisha sababu waweza kuwa kiongozi wa kesho,pili iingie kwenye katiba ya nchi kama wenzetu,unapokutwa na scandle inayohusiana na mahusiano yasiyo rasmi au nje ya ndoa basi sheria ifanya kazi yake kwa kukuondoa mara moja madarakani bila kujali cheo,wala dhamana,hapo ndipo tutaweza wanyoshea wengine vidole.Vinginevyo tumefungwa kwenye haki binafsi na maisha binafsi ya ndani ya ndoa.
 
Mbona sijawahi ckia mtu anasema naenda kusoma China ila malekanu wingereza.......na china ina tisha kiuchumi na kisayani. so sahau kuhusu elim ndogo but upeo
 
Mkuu,

Kwani huyu mama alikwenda kushitaki bungeni kuwa amebakwa? Mbona hako katoto nasikia kalikwenda mpaka kwa spika kushitaki kuwa kamebakwa na kupewa zawadi ya virus!
 
Hivi kisa cha mbowe na kapuya vinafanana??? kwani mbowe alibaka under 18??? Tena kitoto cha shule?? ina maana hadi hujui kutofautisha mavi na mkojo??tena mbowe wala sio mzinzi sababu hakuna sheria inayomzuia yeye kuwa na wake wawili hata 10 akitaka ni huyari yake.

Na swala la mbowe ni binafsi coz kama ni kweli yule ni mtu mzima mwenzie,,sasa ukisema mzinzi basi wote wenye wake zaidi ya mmoja ni wazinzi hasahasa wenzangu wa dini fulan. Tumia akili wewe kapuya amebaka tena katoto wapi na wapi na inshu yambowe??

Tumia akili wewe uccm usikufanye uwe na mawazo butu
 
Kapuya alishutumiwa kwa kesi ya ubakaji na kufanya mapenzi na mwanafunzi alie chini ya umri kisheria, haifanani na ishu ya Mbowe hata kidogo. Acha utahira
CHADEMA, Tanzania Daima, wanaharakati na yule changudoa waliambiwa waende mahakamani. Mpaka sasa kimya. Sijui ndo wanawasiliana na wanasheria wao!
 
Shirikisha ubomgo wako ndugu. Kapuya kalawiti kitoto cha miaka kumi na nne kwa kukadanganyia pesa ya ada tena ni ka yatima na Mbowe kapata mpenzi mtu mzima akiwa kaamua mwenyewe. Hapo kuna usawa?

Usiongelee mada kwa kusikia au kusoma Tanzania Daima, mala Ana miaka 14 mara 18.

Huyo ni Malaya mzoefu, Ana Mtoto! Na nitapeli, kama huishi mjini ngoja nikuambie mchezo huu upo hasa kwa watu maarufu! Anakubari kwa hiali yake kisha wakimaliza anatishia kumharibia jina, Ana demand HeLa kibao, ukitoa nje ndiyo anaharibu, huu ndiyo mchezo wa town kama hujui! Huyo si mwanafunzi, na Ana Mtoto!

Haya amebakwa malaya kwanza kisha akarudi mara ya pili, inakuingia akilini kweli?
 
- Unajua hiki chama na washauri wasio na uwezo kabisa wa kusoma na kuielewa public matokeo yake siku zote wanawashauri namna ya kujimaliza wenyewe to the public, what is this? Hivi nyie Chadema mna washauri gani huko wasioelewa the timing National Politics maana wangekuwa wanajua Political Science wasingeigusa hii topic now,

- Niliandika kwenye Article yangu Jambo Leo, Jumapili mbili zilizopita kwamba Wananchi wa Tanzania hawako tayari kujadili wala hawataki kusikia this kind of ishuz yet na that was very clear wakati wa hii ishu Bungeni, wabunge wa Chadema na wa CCM walisema wzi kwamba hawako tayari na this kind of ishus sasa nani aliyewaambia Cchadema kuirudisha tena hii ishu to the Public badala ya kuongelea uchaguzi watafanya lini?

- Unajua ninasikitika sana jana usiku I had a long sit down na Mwenyekiti lakini nikasahau kumkumbusha this kwamba afukuze kazi mara moja washauri wake huko cause hawamsaidi kabisa wao ndio wanazidi kumdidimiza na this kind of foolish ushauri, Chadema mna only one knockout na shimo la bad publicity mliomo now nayo ni uchaguzi wa Taifa that is it and then you can resume mlipoachia na Taifa, until then wacheni kujitundika na kamba zenu wenyewe this Lissu thing is absolutely foolish and uncalled for, Supposedly Chama kikubwa cha Upinzani Tanzania kinawezaje kwenda kumsafisha Mwenyekiti wake kwenye magazeti ya Udaku na mambo ya uzinzi?

- I meaan foolish and stupid, nani anawashauri huu ujinga mambo yake na uzinzi yalishapita, wananchi walishasahau here you come and bring it back hivi nyie huko mna nini vichwani? Haya mambo waachieni wapambe mtaani Mwanasheria Mkuu wa Chama kikikubwa cha Upinzani Tanzania na Mbunge wa Chama hicho anakwenda kumsafisha MWenyekiti wake Magazeti ya Udaku, hivi kweli nyie ndio tuwape dola kweli? Badala ya kuwa-dscourage wananchi kutosoma magazeti ya udaku nyie mnaenda ku-promote udaku? Really?

- Yaani nasikia kutapika please ngoja nicahie hapa maana nasikia kichefu chefu na this nonsense!!

Le Mutuz
 
Limelalamika wapi? Hayo yaliandikwa na gazeti la Udaku la Tanzania Daima. Nimesikiliza video clip wakati Global Publishers wakilihoji lile kahaba, yaanimutacheka mpaka mbavunzitetereke. Kahaba linakana mpaka jina lake. Oooh mie siye. Wamuulize Leyla mwenyewe!
na vip kuhusu yule kikongwe wa lushoto? ishu yake ya kum mimba denti nayo ilikuwa uongo pia? na vip....na vip...yan ccm wapo wengi sana. endeleen kukashifu, orodha atatolewa hapa mda si mrefu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom