Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Haha! Naona hawaoni tofauti ya Mtu aliyezaa na Mwanamke zaidi ya Miaka 18, Tena anamlea na kumtunza wanafananisha Na wabakaji wanao baka watoto Under 18 huku wakiwaambukiza Ukimwi na kuwatelekeza, Wengine wakipewa zawadi Nyumba Ndogo Mtoto wa Kiarabu.(Umeisahahu hii ya zakiha magji na zawadi ya Uwaziri kwa hisani ya SAS Iringa)

kwani huyo mlengwa wa mbowe alikuambia amekubali kwa hiari au kama fadhila ya kupewa ubunge? kwani umeshaenda kumpima na kumkuta hajaambukizwa vvu? hapa naongelea uzinzi ambayo ni dhambi wametenda wote kuwaacha wake zao nyumbani kuanza kuruka na njia
 
Mbowe kama ameweza kumsaliti mke wake waliyefunga ndoa kwa kiapo mbele za mungu, hashindwi kutusaliti watanzania ambao hata hatuna mkataba naye.
 
tpmazembe,
Huyo mbunge amelalamika? mimi nikielewana na dada yako kwenda kula mambo,hata kama nina mke wewe utapuliza panda ati nimezini? halafu sheria ya dini gani unaelezea?
sasa mtaongozaje nchi kama hamna hofu ya Mungu. eti hata kama nina mke hakuna sheria za kunibana
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".
Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu

Shirikisha ubomgo wako ndugu. Kapuya kalawiti kitoto cha miaka kumi na nne kwa kukadanganyia pesa ya ada tena ni ka yatima na Mbowe kapata mpenzi mtu mzima akiwa kaamua mwenyewe. Hapo kuna usawa?
 
Siamini kama ulifatilia ile ishu ya kapuya, na kama ulifatilia sitaki kuiamini kwamba huna akili ya kutofautisha matukio hayo mawili,labda niamini umeamua kujivua akili kwa muda kwa lengo lako binafsi,in short kapuya alibaka na bado anaendelea kumtishia maisha binti aliyembaka Pili amemwambukiza vvu, je Lucy alishawahi kulalamika? Hili ni swali ambalo halihitaji shule ili kujibu,
 
Ebu wekeni picha bhana, yule wa Mbowe kule dubai,na yule wa kapuya,tuthaminishe je nani alifaudu?,wanasiasa wa kiafrika bwana kazi kwelikweli.
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".
Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu

na wewe unafanya nini hichi unatambua kuwa umeme umepanda au unazomoka tu
 
Tatizo kwa kuwa sisi sio viongozi nakwakua hatujulikani tunaweza kunyooshea engine vidole.

Asilimia kubwa ya mwanaume ni malaya. Na si kwamba wakiweka ukomo wa viongozi na kumchagua mwanamme mwingine malaya kuwa mwenyekiti ataacha umalaya.

Tuache mambo ya kijinga. Tujadili ya msingi.
 
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.
unajua sababu ya mke wa kwanza wa nelson Mandela kuomba kuachana na Mumewe? hapa simzungumzii winnie.
 
Kama Kapuya alionewa kwa tuhuma ya kubaka na akaandikwa kwenye hilo gazeti la Mtanzania Daima kwanini Kapuya hakulipeleka hilo gazeti Mahakamani?

Z
kwa nini kama mbowe alionewa na mwigulu bungeni kwa nini hakumwambia afute kauli? kama ni uwongo?
 
Ya kapuya ni ubakaji sio uzinzi!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mkuu, suala la ubakaji kwa Kapuya limeandikwa na Tanzania Daima. Hakuna uthibitisho wowote. Hata watu wengine wanaweza sema kuwa Mbowe naye amebaka kwa kumtishia Joyce Mukya asipomkubalia atamfukuza ubunge wa viti maalum
 
Sheria inasemaje kwa mbakaji tena u.18 halafu yuko mtaani na anakatiza hata mitaa ya fatherhouse. Wakeupman ucttee uharo
 
kwa nini kama mbowe alionewa na mwigulu bungeni kwa nini hakumwambia afute kauli? kama ni uwongo?
Mkuu, kama ingekuwa ni uongo, najua Mbowe asingekaa kimya. Lazima povu lingemtoka tu. badala yake ametulia tuliii kwa vile yaliyosemwa ni ukweli mtupu
 
Siamini kama ulifatilia ile ishu ya kapuya, na kama ulifatilia sitaki kuiamini kwamba huna akili ya kutofautisha matukio hayo mawili,labda niamini umeamua kujivua akili kwa muda kwa lengo lako binafsi,in short kapuya alibaka na bado anaendelea kumtishia maisha binti aliyembaka Pili amemwambukiza vvu, je Lucy alishawahi kulalamika? Hili ni swali ambalo halihitaji shule ili kujibu,

kwani Lucy ameshapima vvu kujua kama kaambukizwa? wewe unafikiri Lucy angeweza kukataa hata kama hamtaki na kapewa ubunge, angekataa angekuwa kwenye mazingira ya kuchaguliwa tena 2015? hapa naongelea uzinzi hawa wote wanatumia vyeo vyao kufanya ufuska.
 
unauhakika huyo mbunge wa viti maalumu alikubali kwa kupenda au kulazimishwa kama fadhila ya kupewa ubunge? hapa mimi naongelea uzinzi ambayo ni dhambi yao wote maana wote wameacha wake zao nyumbani na kukimbizana na vimada
Ni wapi alipo lalamika kama ilivyokuwa kwa kapuya na yule under 18 wake?
 
Mkuu, kama ingekuwa ni uongo, najua Mbowe asingekaa kimya. Lazima povu lingemtoka tu. badala yake ametulia tuliii kwa vile yaliyosemwa ni ukweli mtupu

na mtaalam mwiguli pale alimtega tu angetoka mapovu jamaa alikuwa anatowa mpaka risiti ya gesti waliyolala na walipokuwa wakinywa vinywaji huko dubai
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom