Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Halafu Mbowe inaonekana ni mchezo wake kuwapa watu ubunge wa viti maalum halafu anawageuza nyumba ndogo.

Tunaambiwa pia kuwa kazaa na Esther Matiku
 
Unajua aina ya watu kama akina TUNDU LISU, inawafanya watu wamuone ZZK kama mtu special sana. Na kwa kweli hata dharau aliyonayo ZZK kwa hawa wajinga kumbe anastahili kuwa nayo. kwa ujumla anastahili kuwadharau kabisa.

Unapomlinganisha MBOWE NA MANDELA wakati mandela yeye aliamua kuachana na mkewe mzinzi!!!!

Mbowe anastahili kulinganishwa na WINNIE kwani wote ni wazinzi. Na kama gharama ya uzinzi aliyokwisha ilipa WINNIE mpaka sasa ndio ailipe mbowe!!! basi ni wazi tutamsahau mbowe in no time.

Halafu mbona CLINTON hakubaki salama kwa uzinzi wake!!! hivi ni kweli hizi bangi za TUNDU LISU zimeshindwa kukumbusha kuw CLINTON alifanyiwa IMPEACHMENT ?????!!!!!

HUYU NI KIFARANGA ALIYEAMUA KUFA KWA AJILI YA MAMA YAKE.
NO WONDER ZZK HUWA ANAMTAKA MAMA YAO TU
 
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.

Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.

There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.

Ndoa ya Kikristu sio mkataba bali ni Agano kati ya watu wawili na ndio hao wanatakiwa kuwajibika katika siri kule chumbani kwao. Kama mmoja hawajibiki katika maswala yao ya siri ndipo inaweza kuvunjwa. Na wavunjaji ni wao wenyewe sio wengine.

Ni ajabu kusikia mtu anasema kuwa kuna public interest kwenye ndoa. Hapa unataka kuwaanganya watu bure. Umma unahusika na nini kk swala hili la binfasi?

Tutumie nguvu kubwa sana kujadili fundamental issues kama umeme na kusikia wadeni wakubwa ni taasisi a umma. Kwanini tuteseke kwasababu wadau wanaotumia koizetu ndio hawawajibiki. Hili ndilo linagusa umma na si la Mbowe na ndoa yake.
 
na mtaalam mwiguli pale alimtega tu angetoka mapovu jamaa alikuwa anatowa mpaka risiti ya gesti waliyolala na walipokuwa wakinywa vinywaji huko dubai
Tehetehetehe. Nasikia pia mpaka namba ya chumba cha hoteli waliyofikia amwigulu anayo na picha za chumbani pia zipo. Mwigulu balaa sana huyu.
 
Wewe ukioa mke au kumwacha kamwe jamii haina hasara wala faida yoyote kwani haina mkataba nanyi, lete hoja zenye mshiko utaeleweka bro na sio hizo za kubumba! nyie huko upande wenu mna mpaka kashfa za kubaka na mnalindana mpaka leo hata kupeleka kesi mahakamani mnashindwa, huyo Naibu spika wenu unazijua kashfa zake nyumbani kwake? mtu hajui hata idadi ya watoto wake mtaani?
Inategemea unamaanisha nini unaposema jamii. Na kwa sababu mtu fulani anakula kinyesi chake, hiyo haikupi ruhusa ya wewe kula kinyesi chako.
 
Ili kulinda hadhi ya jf kama home of great thinkers,kwanini tusijaribu kujadili tofauti za mishahara kati ya wanasiasa na watendaji kwamfano
1.kati ya madaktari na wabunge
2.maprof wa chuo kikuu na ma Rc
na kupanda kwa gharama ya maisha na kadhalika.naona inaweza leta maana kuliko kujadili rangi ya chupi ya mtu.

nchi inawabunge 300, madaktari zaidi ya 10,000. maRC nchi hii wako 25 maprof zaidi ya 2000.pamoja na hayo mshahara wa prof uko juu wa RC.
 
Ni wapi alipo lalamika kama ilivyokuwa kwa kapuya na yule under 18 wake?
Yule under 18? Yaani lile ni changu lililokubuhu. Lina mtoto mmoja ambaye hata baba yake hamjui. Pia linabadilisha majina kila mara. Mara Zahara, Salma, Mwajuma, Esther, Joyce.
 
kwa sheria ya kislam: kwa sababu mbowe na kapuya wote wametoka nje ya ndoa adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa.

hiyo sheria ni ya kiislam sasa inatuhusu vipi??? nani asiye toka nje ya ndoa bana au wewe ubwabwa!!!
 
LEADERSHIP ROLE MODELS

"Think global, but act local" is not just a phrase for sustainability; it also can be applied to how we behave as leaders. It turns out our most important role models are "local". They are the people with whom we interact and have contact with the most.

Dah! CDM from BAD to WORSE, Tundu Lissu anafikiri watz hawajasoma!Kiongozi ni lazima awe mfano role model.

CDM waache kukurupuka hakukuwa na sababu ya kwenda kwenye media kama sio kukanusha kuwa Mbowe sio mzinzi! Walichofanya ni ku-confirm kuwa ni Mzinzi!

Nadhani wazee wa CHADEMA hawafanyi kazi yao ipasavyo kuwashauri viongozi waache kukurupuka na mambo mfano: Sakata la Zitto lisingefikia lilipo kama wasingekurupuka na kumsimamisha uongozi ingewezekana kulimaliza ndani, Slaa kwenda KGM immediately baada ya kusimamishwa Zitto! Terrible decision. Hivi unaweza kumsimamisha Slaa halafu immediately ukaenda Karatu!?

Kwa hali ilivyo sasa ili CDM isonge mbele ni busara sana kwa viongozi wa juu kutogombea nafasi hizo, wagombee watu ambao ni Neutral. Pia hawa viongozi na wabunge wengine wabaki neutral na sio kuonesha wazi kuwa wapo upande upi.
 
Hivi Mbowe anavyolala na Joyce Mukya, ile pete ya ndoa na Lilian Mtei huwa anaivua?
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.

Weka evidence! Utalinganisha huu umbea na facts zilizomhusu Kapuya
 
wote ni wazinzi maana wote wana wake zao nyumbani. kwa mujibu wa sheria za dini. sheria ya ndoa ya sasa inaruhusu kuowa binti wa miaka 15 na ndio inapigiwa kelele kubadilishwa.

Naona wewe unaamini ule msemo maarufu wa "mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio".

Sheria inaruhusu kumwoa mtoto wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi au walezi wake. Hata hivyo hairuhusu kumuoa mtoto wa shule. Hapa kumbuka kuwa kapuya alimbaka mtoto wa shule. Hakumuoa kwa ridhaa ya wazazi wake!

Ya kapuya ni tofauti na ya Mbowe. Pia kumbuka kuwa ya mbowe hakuna alolalamika kama wewe unavyozini na hakuna anayejitokeza. Ila ikitokea ukatembea na mtoto wa shule au under 18 jamii tukijua tutaomba sheria ichukue mkondo wake. Na la zaidi tutakutangaza kwenye vyombo vya habari.
 
Yule under 18? Yaani lile ni changu lililokubuhu. Lina mtoto mmoja ambaye hata baba yake hamjui. Pia linabadilisha majina kila mara. Mara Zahara, Salma, Mwajuma, Esther, Joyce.
Hata kama kahaba mbona linalalamika limeambukizwa ukimwi na kapuya?
 
kwani huyo mlengwa wa mbowe alikuambia amekubali kwa hiari au kama fadhila ya kupewa ubunge? kwani umeshaenda kumpima na kumkuta hajaambukizwa vvu? hapa naongelea uzinzi ambayo ni dhambi wametenda wote kuwaacha wake zao nyumbani kuanza kuruka na njia

Haha! Sasa kwanini unajagua tu hao, Unaonaje Ukaongelea Uzinzi wa mkulu, Nchemba na wengineo au Uhujuhi ?
 
Tunavyojua uzinzi ni sawa na ulevi mwingine tu. Pia ulevi huu wa uzinzi una gharama nyingi tu. Hizo fedha na muda mwingi anaoutumia kwenye uzinzi bila shaka unatokana na mchango mkubwa wa fedha zinazotokana kwa ufisadi au michango ya wana CHADEMA na wale wote wapenda mapinduzi.

Achana na uzinzi ili utimize wajibu wako kwa jamii. Inaonekana utakapokuwa rais hapo utabadilisha wanawake kama nguo.
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.

Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".

Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu

we una akili kweli mambo aloyafanya kapuya na aloyafanya mbowe yanaendana kwel?? wewe umefanya uzinzi mara ngap hakuna kiongoz asiyefanya uzinzi ukitaka ujue haya nenda club maisha dodoma kipind cha bunge lakin huo uzinzi umefanya na nani?? we hujawahi fanya uzinzi mbona kijana unafikiria kutumia makalio KAPUYA SIO MZINZI NI KIBAKA.
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.

Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".

Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu


Hivi kwanini wana-CCM wengi HAWAFUNDISHIKI?! Nimeamini ule utafiti uliofanywa na kugundua kwamba wengi wanaoipenda na kuishabikia CCM ni wale wasiojua kusoma kuandika.

Ona sasa huyu mwana CCM anavyolinganisha DAFU na PAPAI! Masikini wana-CCM. Nitakupa shule ya bure.

Tanzania ni secular state haiongozwi kwa misingi ya dini. Hivyo katika reasoning yako toa hiyo miwani ya mbao ya dini jikite kwenye katiba ya JMT.

Mbowe hajavunja sheria yeyote ya nchi hii kuvinjari na Joyce. Lakini Prof. Kapuya amevunja sheria za nchi hii. Kwanza kwa kufanya mapenzi na minor (under age) ni kosa punishable before the court of law.

Pili Prof,. Kapuya amefanya kosa kwa kumuambukiza UKIMWI makusudi huyo mtoto under age. Yote hayo ni makosa kulingana na sheria za nchi yetu.

Challange kwako niambie Mbowe amevunja sheria gani za nchi hii?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom