Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Mkuu,Kwani huyu mama alikwenda kushitaki bungeni kuwa amebakwa?Mbona hako katoto nasikia kalikwenda mpaka kwa spika kushitaki kuwa kamebakwa na kupewa zawadi ya virus!
Unajua wakati mwingine mbakaji na Mbakwaji kuna wakati hisia za ubinadamu zinawajia na wote hufurahia tendo la ubakaji na ubakwaji hasa kama ubakaji huo unafanyika kitandani kwenye majumba ya kifahari yenye kila aina ya uturi
 
na vip kuhusu yule kikongwe wa lushoto? ishu yake ya kum mimba denti nayo ilikuwa uongo pia? na vip....na vip...yan ccm wapo wengi sana. endeleen kukashifu, orodha atatolewa hapa mda si mrefu
Tehetehetehe. Anzisha uzi wa kwako kuhusu hizo kashfa. Hapa tunajadili kitendo cha chadema kukumbatia ubakaji wa Mbowe
 
Ndoa ya Kikristu sio mkataba bali ni Agano kati ya watu wawili na ndio hao wanatakiwa kuwajibika katika siri kule chumbani kwao. Kama mmoja hawajibiki katika maswala yao ya siri ndipo inaweza kuvunjwa. Na wavunjaji ni wao wenyewe sio wengine.

Ni ajabu kusikia mtu anasema kuwa kuna public interest kwenye ndoa. Hapa unataka kuwaanganya watu bure. Ummaunahusika na nini kk swala hili la binfasi.

PUBLIC interest kwenye ndoa ipo kuna washenga,wakwe,ndugu wa pande zote,viongozi wa dini,wachangiaji,waliohudhuria ndoa.Ndoa gani siri ambayo inafungwa hadharani mbele ya mashahidi? Mbele ya kadamnasi.

Fundamental issues unazosema tuongelee zinaweza athirika na uzinzi.Sekta ya Uzinzi imeangamiza mabilioni ya hela za walipa kodi.Vimada kujengewa majumba na kununuliwa magari ya kifahari kwa hela za ruzuku za vyama na hela za walipa kodi ambazo zingetumiwa kununua madawa na kuwekezwa kwenye umeme.Wengine wamebeba vimada kusafiri kwa gharama za serikali! Sekta ya uzinzi imeacha watoto wengi wa wake halali wakiwa bila elimu,afya bora,maisha mazuri n.k wakiishi nyumba zisizo na umeme pia sababu pesa kapelekewa kimada mzinzi au kaenda mtu kujirusha nazo na kimada.Lakini sekta ya Uzinzi imeleta stress kibao kwa waathirika na kuwasabishia magonjwa ya Pressure hivyo kuliongezea taifa Gharama za Matibabu.Hivi kimada akipora mume unafikiri mke akijua Pressure ukipima unafikiri iko normal?

Tunapokomalia Suala la Uzinzi usione tuko wajinga lina athari kwa uchumni wa nchi na usalama wa pesa za walipa kodi na vyama.Ndio maana Tundu Lisu anaposema ni kitu private hatukubali kabisa na hatuelewi.
 
- Unajua hiki chama na washauri wasio na uwezo kabisa wa kusoma na kuielewa public matokeo yake siku zote wanawashauri namna ya kujimaliza wenyewe to the public, what is this? Hivi nyie Chadema mna washauri gani huko wasioelewa the timing National Politics maana wangekuwa wanajua Political Science wasingeigusa hii topic now,

- Niliandika kwenye Article yangu Jambo Leo, Jumapili mbili zilizopita kwamba Wananchi wa Tanzania hawako tayari kujadili wala hawataki kusikia this kind of ishuz yet na that was very clear wakati wa hii ishu Bungeni, wabunge wa Chadema na wa CCM walisema wzi kwamba hawako tayari na this kind of ishus sasa nani aliyewaambia Cchadema kuirudisha tena hii ishu to the Public badala ya kuongelea uchaguzi watafanya lini?

- Unajua ninasikitika sana jana usiku I had a long sit down na Mwenyekiti lakini nikasahau kumkumbusha this kwamba afukuze kazi mara moja washauri wake huko cause hawamsaidi kabisa wao ndio wanazidi kumdidimiza na this kind of foolish ushauri, Chadema mna only one knockout na shimo la bad publicity mliomo now nayo ni uchaguzi wa Taifa that is it and then you can resume mlipoachia na Taifa, until then wacheni kujitundika na kamba zenu wenyewe this Lissu thing is absolutely foolish and uncalled for, Supposedly Chama kikubwa cha Upinzani Tanzania kinawezaje kwenda kumsafisha Mwenyekiti wake kwenye magazeti ya Udaku na mambo ya uzinzi?

- I meaan foolish and stupid, nani anawashauri huu ujinga mambo yake na uzinzi yalishapita, wananchi walishasahau here you come and bring it back hivi nyie huko mna nini vichwani? Haya mambo waachieni wapambe mtaani Mwanasheria Mkuu wa Chama kikikubwa cha Upinzani Tanzania na Mbunge wa Chama hicho anakwenda kumsafisha MWenyekiti wake Magazeti ya Udaku, hivi kweli nyie ndio tuwape dola kweli? Badala ya kuwa-dscourage wananchi kutosoma magazeti ya udaku nyie mnaenda ku-promote udaku? Really?

- Yaani nasikia kutapika please ngoja nicahie hapa maana nasikia kichefu chefu na this nonsense!!

Le Mutuz
Mkuu Le Mutuz, heshima kwako. Hivi MBOWE akiwafukuza washauri wake waliopo, atawapata wapi wengine. Wooooote wameoza
 
Bigaraone

Kujadili hayo unayoyataka kunahitaji watu wenye moral authority. Kama wewe unaiongopea jamii kuwa hutacheat, basi usicheat.

Pili, jamii ya kistaarabu huwa haina matatizo ya kusameheana kodi kiholela, kama wewe si mstaarabu utawapa wasio wastaarabu moyo wa kufanya yasiyo ya kistaarabu. Viongozi wengi wa CDM siyo wastaarabu(hata ubishe vipi).

Tatu, muhimu zaidi ni kuwa ndoa ni taasisi ya jamii. Utake usitake na kujaribu kuiondoa jamii kutoka kwenye taasisi hii tukufu hata mbele za mungu ni upuuzi na uchochezi wa uhuni .... shame on you!!!

Public determines who can marry, at what age and under what circumstances, Also public can object or allow a marriage under certain laws. Although private, in Tanzania even marital sex is governed by laws, termination of marriage can be deemed illegal by the court (which represents the public), women rights, taxation, child support and care, effects to in-laws, friends and enemies etc ...

Marriage is a matter of public interest. END OF THE STORY!!!!
 
Yesu aliinama chini na kusema "mtu yule ambaye anajijua kuwa hana zambi na awe wa kwanza kumpiga mawe mwanamke huyu" Baadaye alipoinuka akaona kuwa wote wameondoka na amebaki yule mwanamke aliye zini waliye mletea. Mhubiri mmoja alitafsiri kuwa watu wote waliondoka kwa sababu waliona kwamba watakaporusha mawe kwa yule mwanamke aliyezini, mawe yatageuka na kuwa vitenesi kwa hiyo yatakuwa yakimpiga yule mwanamke yanadunda na kuwarudia wao pia na kuwapiga.

TAFAKARI KWANZA WEWE NI MSAFI KIASI GANI KABLA HUJAMUUKUMU MWENZIO (Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako)

Tusipende kutazama maisha binafsi ya mtu, tuangalie utendaji wao katika ofisi zao. Ipo mifano ya tabia mbaya mbalimbali za watu lakini haziathiri kazi zao, jaribu kujitazama wewe au marafiki zako ambao wana wanawake kibao lakini wanasifa bora ya utendaji hapo ofisini kwenu au mahali pengine. Ni udhaifu tu wa kibinadamu.
 
yawezekana una point lakin siyo applicable hapa Tanzania. Kwa Tanzania makatazo mengi ni kwa baadhi tu. mtindo unaotumika ni ule wa Kunya anye Kuku akinya bata......
ni kweli, kwa kwetu hapa hakuna ustaarabu wa kujitambua kwa viongozi zaidi ya kuwaona wananchi ni wapuuzi wajinga na hawana uelewa wowote....
 
unashupalia mambo yasio kuhusu au ndo wivu wakike mkuu ?? kulalwa alalwe joyce na amekaa kimya sasa wewe unawashwa nini??kama mke aliyeibiwa ni lilian na amekaa kimya sasa wewe unawashwa nini?? mkuu ulitaka alale na wewe?? Kama unamihitaji sema tumpe taarifa kwamba kuna kijana huku anatamani yale uliyo mfanyia joyce na yeye anataka, sema tu mkuu usione haya hilo nalo ni hitaji.
Duh! Hii kali. Wewe ndo wakala wa kumtafutia wanawake Freeman Aikael Mbowe?
 
ukifuata mambo ya chadema lazima utachanganyikiwa, hawajui wanalolitaka katika siasa kama ni umaalufu mitaani, maisha bora kwa watanzania ama ni kusubiri pesa za ruzuku wahonge mahawala zao magari na vipodozi.

Hivi Mbowe kafumaniwa? Maana sina habari mwenzenu, lakini kama hana issue inayothibitika mtaani mtakuwa mnamkosea haki sana kama mnamfuata mpaka chumbani.

Mnaacha kupiga kelele kwa Prof Kapuya aliyeumbuliwa wazi kabisa! Mnaacha kulaani viongozi wa chama tawala wanaojiacha uchi ovyo mpaka ubakaji wanaufanya watu wanaona mko kimya. Kuna kiongozi wa juu kachoka wanawake wanaompapatikia analazimisha kwa wasio na tabia hiyo hadi kupelekea binti mmoja mikoa ya kaskazini kuwa chizi. Wapambe wamemdanganya binti wa hoteli kwenda kusevu kumbe anafikia kumbaka msichana na kumwachia mimba, msichana karukwa na akili ni chizi wa mtaani siku hizi mtoto aliyezaliwa wala huulizi, kopy na huyo kijogoo wa Tanzania, huo ufuska hamuuoni ila mnajua kuwafata watu hadi kwenye maficho yao.

Nyie mnaonyoosha vidole hivyo nyie mmetulia au mko kama mabosi wenu-uchafu kwa kwenda mbele?
 
Mkuu Le Mutuz, heshima kwako. Hivi MBOWE akiwafukuza washauri wake waliopo, atawapata wapi wengine. Wooooote wameoza

- I mean wapo washauri wanaoweza kumshauri vizuri tu wapo wengi hapa bongo waliosoma siasa, unajua tatizo ni kwamba anashauriwa na watu waliosoma masomo yote mtu mmoja I mean mtu amesoma Geographia, Hesabu, Historia, English, Physics, ndio maana hawezi kumshauri anything good, Majuu mtu anasoma somo moja tu maisha yake yote ndio unaweza kuwa expert na mshauri mzuri hawa kina Lissu ndio wamesoma kila kitu matokeo yake ndio haya, inasikitisha sana, washauri wa siasa wasiojua siasa kabisa!!

- As much as ishu ya uzinzi inatisha lakini ukweli wa kisiasa ni kwamba wananchi wa Tanzania bado hawako tayari kujadili hii kitu kama ishu ndani ya siasa zao, Janet Jackson alipovua sidiria pale New York kwenye concert akijifanya baahati mbaya kumbe ilikuwa makusudi tu kibiashara, watu wenye akili walimwambia kwamba ameshauriwa vibaya kwa sababu tatizo halikuwa kuvua isipokuwa wakati wa kuvua ulikuwa haujafika amefanya mapema sana, Chadema jifunzeni kwa kufuatilia matukio ya siasa nchini kwamba wananchi wa Tanzania bado hawako tayari kuingiza ishus za uzinzi kwenye siasa zao!1 Lakini kuna siku itakuja itakuwa ni ishu sio sasa yet!!

Le Mutuz
 
Watanzania tuache ushamba,tujadili suala la kupanda kwa umeme na tatizo linalomaliza vijana la madawa
ya kulevya,sisi hatuhitaji ulijali wa Mbowe ila tunahitaji ujasiri wake wa kupambana na ufisadi'
 
Duh! Hii kali. Wewe ndo wakala wa kumtafutia wanawake Freeman Aikael Mbowe?

wewe sema unamuhitaji??? Coz naona lnakuuma wewe kuliko hata mkewe ,sasa tukueleweje wewe?mkewe yupo kimyaaaaa! Wewe huku unawashwaaaaaa,, sema mkuu funguka.
 
Sio lazima wote tumfuatilie. Wewe kama unataka mfuatilie.

Binafsi sitaki kumfuatilia kuhusu analala na nani. Sina muda huo na sina raghba hata chembe ya kufuatilia mambo kama hayo. Hayanihusu.

Huyu jamaa kama anamwonea huruma mke wa Mbowe na ndoa yake basi ampe mama/dada ake achukue nafasi.
 
Yesu aliinama chini na kusema "mtu yule ambaye anajijua kuwa hana zambi na awe wa kwanza kumpiga mawe mwanamke huyu" Baadaye alipoinuka akaona kuwa wote wameondoka na amebaki yule mwanamke aliye zini waliye mletea. Muubiri mmoja alitafsiri kuwa watu wote waliondoka kwa sababu waliona kwamba watakaporusha mawe kwa yule mwanamke aliyezini, mawe yatageuka na kuwa vitenesi kwa hiyo yatakuwa yakimpiga yule mwanamke yanadunda na kuwarudia wao pia na kuwapiga. TAFAKARI KWANZA WEWE NI MSAFI KIASI GANI KABLA HUJAMUUKUMU MWENZIO (Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzako)

Tusipende kutazama maisha binafsi ya mtu, tuangalie utendaji wao katika ofisi zao. Ipo mifano ya tabia mbaya mbalimbali za watu lakini haziathiri kazi zao, jaribu kujitazama wewe au marafiki zako ambao wana wanawake kibao lakini wanasifa bora ya utendaji hapo ofisini kwenu au mahali pengine. Ni udhaifu tu wa kibinadamu.

Huyo mwanamke hakuwa kiongozi wa Siasa wala serikali na wala waliotaka kumpiga mawe hawakuwa wafuasi wa chama cha Siasa wala serikali. Usichanganye Mambo Hapa tunaongelea kiongozi wa Siasa ambaye anatakiwa kuwa muadilifu.
 
Limelalamika wapi? Hayo yaliandikwa na gazeti la Udaku la Tanzania Daima. Nimesikiliza video clip wakati Global Publishers wakilihoji lile kahaba, yaanimutacheka mpaka mbavunzitetereke. Kahaba linakana mpaka jina lake. Oooh mie siye. Wamuulize Leyla mwenyewe!
Global publisher si ndio wadaku wa kutupwa kama gazeti la uhuru wewe mama?
 
Wabakaji ni akina Kapuya,utabaka zee zima kama Joyce how comes'
Mkuu, ukienda in deep kwenye tafsiri ya ubakaji, utakubaliana nami kuwa hata Joyce Mukya anabakwa na Mbowe. Wataalam wa masuala ya ubakaji wanatuambia kuwa hata mke na mume wa ndoa huwa wanabakana kama mmoja hajaridhia tendo hilo la ndoa. Huyu Joyce Mukya ukweli ni kuwa anabakwa kila wakutanapo kwa vile Mbowe amemtishia kuwa akimkataa atamfanyia mizengwe ili atimuliwe kwenye ubunge wa viti maalum. Hana namna bali ni kukubaliana na ubakaji wa Mbowe kwa vile ubunge anauhitaji. Kama Mbowe anabisha ajitokeze humu kukanusha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom