Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.

tpmazembe

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
2,470
1,225
we una akili kweli mambo aloyafanya kapuya na aloyafanya mbowe yanaendana kwel?? wewe umefanya uzinzi mara ngap hakuna kiongoz asiyefanya uzinzi ukitaka ujue haya nenda club maisha dodoma kipind cha bunge lakin huo uzinzi umefanya na nani?? we hujawahi fanya uzinzi mbona kijana unafikiria kutumia makalio KAPUYA SIO MZINZI NI KIBAKA.

Yaani hata viongozi wa upinzania tunaowategemea waibane serikali kila kona kwenye maadili ,matumizi na utekelezaji nao hawatosheki na wake zao? maana yake hawatatosheka na mishahara yao nao pia watapokea rushwa kwa ukubwa wa familia zao na majukumu.Je tutafika.
 

kidanha

Senior Member
Dec 21, 2012
188
0
suala la maisha ya viongozi sio binafsi kamwe, kiongozi anapaswa kuwa msafi na kuonekana Kuwa msafi...sio binafsi kamwe....

we kabanga unataka kiongoz akilala na mwanamke awaambie wananchi wangu leo nmelala na huyu na kesho ntalala na yule hiv unayajua ayafanyayo Komba?? Tumia akili hiv kwenye suala la uzinzi nan atapona?? kuanzia ikulu mpaka huku mtaani hata wewe ni mzinzi vilevile.
 

moshdar

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
2,072
2,000
Halafu mbona CLINTON hakubaki salama kwa uzinzi wake!!! hivi ni kweli hizi bangi za TUNDU LISU zimeshindwa kukumbusha kuw CLINTON alifanyiwa IMPEACHMENT ?????!!!!!

Kama clinton hakubaki salama mbona makamba (na hata mwinyi) na kapuya walibaka wanafunzi na wakabaki salama? usalama wewe unautaka usiwepo wakati anazini mbowe tu, lakini akibaka makamba aaaaa!! au kubaka si kosa bali kuzini?!!
 

kajirita

JF-Expert Member
Jul 27, 2013
1,575
1,225
Unajua wakati mwingine mbakaji na Mbakwaji kuna wakati hisia za ubinadamu zinawajia na wote hufurahia tendo la ubakaji na ubakwaji hasa kama ubakaji huo unafanyika kitandani kwenye majumba ya kifahari yenye kila aina ya uturi

Teh teh teh!Wewe mbaya wewe!

Yaani unamaanisha kale katoto kalikuwa kalikuwa kanafurahia kubakwa?Sasa kwa nini kalienda kushitaki bungeni?
Halafu kumbuka kaliambiwa kaende pale hotelini kapewe karo ya shule,kakaambulia kubakwa ati!?Sasa huyo Joyce Mukya aliambiwa na Mbowe wakutane Dubai akapewe nini mpaka afikie "kubakwa",maana tayari ni Mbunge ati!

Teh teh teh!
 

kidanha

Senior Member
Dec 21, 2012
188
0
Yaani hata viongozi wa upinzania tunaowategemea waibane serikali kila kona kwenye maadili ,matumizi na utekelezaji nao hawatosheki na wake zao? maana yake hawatatosheka na mishahara yao nao pia watapokea rushwa kwa ukubwa wa familia zao na majukumu.Je tutafika.

hivi kiongoz gani wa nchi kuanzia duniani, africa mpaka Tanzania atapona kwenye suala la uzinzi?? majukumu ya mtu hayaingilian na personal ishu ko we ukiwa kiongoz ukilala na mtu nje ya ndoa yako inaathiri vip maendeleo ya uongozi wako tumia akili??
 

Bocho

JF-Expert Member
Jan 6, 2013
1,489
1,195
CHADEMA ndio zao hizo, hakuna kinachoshangaza.

Maji hayapandi mlima! Alianza katibu mkuu na sasa mwenyekiti duh!
 

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,905
2,000
Global publisher si ndio wadaku wa kutupwa kama gazeti la uhuru wewe mama?
Mkuu, hata huu uzi tunaojadili sasa umetoka Global Publishers. Sasa utapima mwenyewe kama ni udaku au la. Lissu yupo na kama huamini mpigie akufafanulie
 

kimo_mcharo

Member
May 30, 2012
45
95
Siasa za namna hii zinaonyesha kutokukomaa kwa wanasiasa wetu,personal interest ndio kipaumbele cha wanasiasa wetu hapa nchini.Hovyo.
 

mka

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
318
195
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.

Acha uongo. Clinton hakuwa impeached.
 

Mahanjam

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
377
250
Nakubaliana kabisa na Tundu Lissu.

Mambo binafsi ni mambo binafsi na hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kuongoza.

Your character defines what kind of a person you are. Kama uadilifu wa nyumbani kwako umekushinda vp utaweza kuwa Kiongozi muadilifu?
 

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
1,225
Clinton alikuwa impeached,
Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya
Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala
(conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu
kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na
waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.

mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon
 

W. J. Malecela

Verified Member
Mar 15, 2009
14,046
2,000
mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon

- Clinto alikuwa impeached na Congress, lakini akasamehewa na kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na kupoteza leseni yake ya Sheria na Senate!!

Le Mutuz
 

stata mzuka

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
4,837
1,250
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.
Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.
There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.

Uko sahihi kabisa mkuu.
 

donimuya

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
272
195
Ha ha haa! Tanzania, siufurahii uzinzi lakini hebu tujitathmini kuanzia kwa Rais wetu hadi kwetu kina yakhe je maisha na nyendo zetu zikoje? tukiingia kiundani katika maisha yetu tutabaki wachache mno wenye sifa ya kuwa kiongozi na labda itabidi tuitishe uchaguzi haraka iwezekanavyo, But all in all say no to adultery
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom