Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Ukizoea kula vya watu vyako vikiliwa hutakiwi kununa au kuona watu wa chawi. wewe umeanza wengine wanamaliza.
 
hilo liko wazi.....ndiyo maana hata kwa mkapa mengi talivumishwa oooh mke ni wa mramba kapewa kutimiza sifa tu ili awe rais lakini sisi tulijua mambo ya ndoa yake hayatuhusu...

Dah! mkuu kweli bana, hii kitu ilivuma sana..
Hivi huyu mkulu wa sasa ana wake wangapi? Rasmi na wasio rasmi kama anao.. Na watoto anao wangapi?

Tiririka..
 
kwani mbowe nae amebaka????? au ndio umekua muathirika wa mfumo wetu wa elimu....
 
Suala la Uzinzi wa MBOWE sio binafsi linahusisha chama moja kwa moja.

Wakinadada/kinamama wanaotaka ubunge wa viti maalum CHADEMA hawana budi kutoa rushwa ya ngono kwa mh. ili wateuliwe.

Kutohusisha uzinzi huu na Chama, ni sawa na kusema ni sawa kwa bosi kutembea na wafanyakazi wake.
 
Ya kapuya ni ubakaji sio uzinzi!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

wote ni wazinzi maana wote wana wake zao nyumbani. kwa mujibu wa sheria za dini. sheria ya ndoa ya sasa inaruhusu kuowa binti wa miaka 15 na ndio inapigiwa kelele kubadilishwa.
 
Salaam wana JF.

Najaribu kujiuliza sana hili swala la mh. Mbowe na kashfa ya uzinzi. Hv Mbowe angekuwa Kapuya angekuwa huru?
 
Haha! Naona hawaoni tofauti ya Mtu aliyezaa na Mwanamke zaidi ya Miaka 18, Tena anamlea na kumtunza wanafananisha Na wabakaji wanao baka watoto Under 18 huku wakiwaambukiza Ukimwi na kuwatelekeza, Wengine wakipewa zawadi Nyumba Ndogo Mtoto wa Kiarabu.(Umeisahahu hii ya zakiha magji na zawadi ya Uwaziri kwa hisani ya SAS Iringa)
 
Mbowe walikubaliana na kapuya alibaka acha udivision 5.
 
Tofautisha Tuhuma za Mbowe na Ubakaji wa kapuya.

unauhakika huyo mbunge wa viti maalumu alikubali kwa kupenda au kulazimishwa kama fadhila ya kupewa ubunge?

Hapa mimi naongelea uzinzi ambayo ni dhambi yao wote maana wote wameacha wake zao nyumbani na kukimbizana na vimada
 
Kwa kweli siasa ni kitu cha ajabu sana. Gazeti la mtanzania daima liliandika ishu ya kapuya kwa muda wa wiki mbili ndio habari kuu front page.Leo hii wanatetea ya mbowe kukatisha safari ya mbunge wa viti maalum na kumuita dubai jiji la maburudani kwa kusema eti hayo ni "mambo binafsi na yanatakiwa kubaki huko huko chumbani".
Ama kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu.utabambwa tu

ama kweli heri ukawa masikini wa mali kuliko kuwa masikini wa mawazo
kuna vitu ambavyo ni muhimu kuliko mambo ya siasa kwenye jamii na vinatakiwa kukemewa mara moja ili iwe fundisho kwenye jamii endelea kukaa na kusapoti mambo ya ajabu huku mambo ya enzi za kikoloni ukiyaacha kama mambo ya kawaida
 
Mbowe walikubaliana na kapuya alibaka acha udivision 5.

kabla hatujafika kwenye ubakaji , tuanze kwenye uzinzi wote si wazinifu wameacha wake zao nyumbani. hakuna maandishi ya mlengwa wa mbowe kuwa walikubaliana
 
wote ni wazinzi maana wote wana wake zao nyumbani. kwa mujibu wa sheria za dini. sheria ya ndoa ya sasa inaruhusu kuowa binti wa miaka 15 na ndio inapigiwa kelele kubadilishwa.

Hakuna Sheria ya Jamuhuri inayokataza Uzinzi kama ipo Itaje.

Ila ipo inayokataza Kuambukiza watu Ukimwi na kuzuia Ubakaji.

Miaka 15 ni Kuoa na sio Kuzini. Kuzini ni Miaka 18. So Kapuya Ni Muuaji na Pia ni Mbakaji.
 
Kama Kapuya alionewa kwa tuhuma ya kubaka na akaandikwa kwenye hilo gazeti la Mtanzania Daima kwanini Kapuya hakulipeleka hilo gazeti Mahakamani?

Z
 
tpmazembe,
Huyo mbunge amelalamika? mimi nikielewana na dada yako kwenda kula mambo,hata kama nina mke wewe utapuliza panda ati nimezini? halafu sheria ya dini gani unaelezea?
 
Last edited by a moderator:
Magamba. .kuna tofauti kati ya ubakaji vibint vidogo na uzinzi...kapuya ni mbakaji..so muacheni kamanda wetu wa anga mh.mbowe
 
kwa sheria ya kislam: kwa sababu mbowe na kapuya wote wametoka nje ya ndoa adhabu yake ni kupigwa mawe mpaka kufa.
 
Nashangaa sana Watanzania badala ya kushughulikia maswala ya kupanda Kwa bei ya vitu kama umeme na mengineo wamekalia kuongea mambo binafsi ya watu

kaka umenena vema ndio tatizo la watanzani kujadili watu(persona attack)
badal ya kujadili hoja
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom