Kucheza mziki ni kosa kisheria? Ingekuwa hivyo CLUB BILLICANNAS tungeshaifunga.
magamba bhana!
Kucheza mziki ni kosa kisheria? Ingekuwa hivyo CLUB BILLICANNAS tungeshaifunga.
hapana mimi simtetei mboooo, mbowe kweli babaangu!! ila nataka tuansie kule kule kwa jk babaaangu!
sasa ni hifi babaangu, kwa kuwa nakubali kuwa mbowe amezini, jee upo tiyari kukubaliana na ukweli kuwa jk ni mzinzi, mwinyi ni mbakaji, kapuya ni mbakaji na kwamba makamba naye ni mbakaji? tukubaliane basi mkuu...au kama hutaki kukubaliana basi tukubaliane kutokubaliana.
Mkuu, huwezi kutuchagulia mada za kujadili humu. Wewe kama unaona hayo yanafaa kujadiliwa, usilazimishe watu. Sisi tumejikita huku kwaninhili pia linapaswa kupewa nafasi. Tukiacha hili likapita hewani, tutakuja kutawaliwa na wabakaji mwisho wa siku wakahalalisha matendo ya ubakaji kwenye katiba yetu. Huwezi kutegemea mtu kama Lema wakapinga ubakaji kwa vile namyeye ni mbakaji
Kumbukeni watu wameichoka ccm kwa mabaya yanayotendwa na viongozi wake. Co sababu ya sera zake. Kwa maana hiyo wanaotetea tabia mbaya ya viongozi wa cdm kwa kivuli cha viongoz wa ccm MNAKOSEA SANA. Na hao tunaowaona viongoz wetu watarajiwa watatudharau coz washajua weakness zetu za kutete tabia mbaya binafsi.
Dah, hapo kwenye RED nakumbuka cku anaongea huku amekinga mgongo "mi ningekuwa na uwezo wa kuleta mvua, ningeenda pale Mtera, (kisha akakinga mgongo) nanyeeeesha weeeeee hadi bwawa linajaa....!" Aisee, nakumbuka nilitamani nimvamie nimtie vichwa halafu nikaozee jela.Rais alishasema mvua inaletwa na mungu ....
kiherehere cha vigoli ndiyo kinchowapa mimba
Huyo pia ni rais wako wewe na Lema, ila usimwamini kwa sababu rais haihitaji board certification, siyo kazi ya kitaalam.
si afadhali wangeishia kuwazia tu hivo? tatizo na kwenye kuwazia mikun.d. pia wapo. gamba ni gamba tu..no way.Lizaboni;
Leo siku yako isingeenda vizuri kama usingalimkumbuka Lema. Kwako mbakaji kiongozi ni Lema tu. Ka.pu.yaaa huyo sio kiongozi? Lema kabaka mtoto wa shule?
Unatutoa kwenye hoja zenye nguvu unatupeleka kwenye mambo yasiyo na uthibitisho? Kweli buku 7 zinawalewesha. Mko humu JF kusumbua muda wa Great Thinkers tu. Tusijadili mambo yawezayo kutuinua tubaki kuwajadili watu.
Huo ni udaku na udaku mahali pake sio hapa. Hata mfanyeje, bado tutawaumbua tu kwa hoja murua za mnavyoiangamiza nchi yetu Tanganyika.
Sintakuchagulia hoja za kujadili bali nitakufundisha hoja nzuri za kukimbilia kujadili. Lumumba guys mnawaza vine..e tuuuu? Unadhani ni rahisi hata huyo Joyce akusalimie?? Pu.ngu.ani tu weye.
kama mkulu wa nchi katekeleza kwani mbowe yeye nani?
samahani kamanda, mbona unatoa poor reasoning na unarekebishwa na bado huelewi?!
yaani kwa lugha rahisi kabisa unatuambia CHADEMA = CCM!!!!!!!!
Mbona hamumzungumzii mzee wa magogoni? kila siku kukicha anaoa na kuacha tena kwa kutumia kodi zetu....huku mtaani ana watoto kibao...Huyu ndiyo kiongozi wa kuzungumzia kwanza.Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.
Tundu Lissu amejishusha.
Vyovyote iwavyo uadilifu huanzia ndani.
Tundu huwezi kutuambia kuwa uache mke ulokabidhiwa kihalali toka kwa wazazi wake, uende ukatomba malaya huko nje kuwa ni jambo la kawaida na eti mtu huyo ni muadilifu?
Mungu asingekataza uzinzi km hilo lingekuwa jambo la kawaida. Bill Clinton alikiri mbele ya Hillary na mbele ya wamarekani kuwa aliteleza mbona Mbowe hafanyi hivyo, leo Mbove anatomba mbunge mwenziwe ki-chadema hiyo ni sawa, kesho akitomba mtoto wa shule....! sasa kiongozi mkuu wa chama anauroho wa uchi hatosheki na mke wake wa halali.
Tundu mbona husemi yule waziri mdogo wa Uingereza aliyejiuzulu kwa kutembea na changudoa? hv Tundu wewe ni muumini wa dini gani? je dini yako ama ya mwenyekiti wako inaruhusu kutombatomba nje? siku alipooa aliapa mbele ya padre na wazazi wa mwanamke kuwa atakuwa muadilifu hadi kifo kiwatenge leo anavunja kiapo cha imani kwa kuendekeza umalaya..!
Vp katiba yetu itakaa salama mbele yake km kiapo cha mungu amekivunja je itakuwa katiba iloandikwa na binadamu
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.
Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.
Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.
Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs
View attachment 132573
Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini
Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi
nkuulize weye gambaz.
Dah, hapo kwenye RED nakumbuka cku anaongea huku amekinga mgongo "mi ningekuwa na uwezo wa kuleta mvua, ningeenda pale Mtera, (kisha akakinga mgongo) nanyeeeesha weeeeee hadi bwawa linajaa....!" Aisee, nakumbuka nilitamani nimvamie nimtie vichwa halafu nikaozee jela.
ukifuata mambo ya chadema lazima utachanganyikiwa, hawajui wanalolitaka katika siasa kama ni umaalufu mitaani, maisha bora kwa watanzania ama ni kusubiri pesa za ruzuku wahonge mahawala zao magari na vipodozi.
kidanha, sina maana hiyo uliyosema kwamba leo akilala na dada au dadangu aseme hadharani... wajua uzinzi sio jambo la sifa japo sasa linaoneka lakujisifia saana!we kabanga unataka kiongoz akilala na mwanamke awaambie wananchi wangu leo nmelala na huyu na kesho ntalala na yule hiv unayajua ayafanyayo Komba?? Tumia akili hiv kwenye suala la uzinzi nan atapona?? kuanzia ikulu mpaka huku mtaani hata wewe ni mzinzi vilevile.
Acheni kutaja wakubwa walioko madarakani,mwee shauri yenu.Mie simooooooooooooooooKwan bwana mkubwa ana nyumba ndogo ngapi?watoto wa nje ya ndoa je?hahaaa