ukifuata mambo ya chadema lazima utachanganyikiwa, hawajui wanalolitaka katika siasa kama ni umaalufu mitaani, maisha bora kwa watanzania ama ni kusubiri pesa za ruzuku wahonge mahawala zao magari na vipodozi.
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.
Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.
There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.
kamanda acha kupanic, muda wote kumuwaza zito tu hata pale asipohusika - turudi kwenye mjadala, mbowe ni mzinzi na imethibitishwa hivyo na tundu lissu kwa kauli zake kwamba hayo ni masuala binafsi!!
teh, mkuu japo buku7 ndo wachokozi lakini nakuomba utumie tafsida kwa heshima ya Ikulu ya Tanzania. TUNAJUA KULE IKULU UCHAFU UPO MWINGI TU. Ila tukisema hapa utaskia tunakashifu viongozi. yale yale ya kunya anye kuku lakini si bata.
Kiongozi Mwema ni YESU PEKE YAKE.
Ndoa siyo jambo binafsi.
mkuu tunatambua kwamba jk kaivunjia heshima ikulu kwa kuhusishwa na tuhuma za uzinzi pia, hivyo kwa kuwa hatutaki hayo yajirudie tena ktk cku za usoni tunaanzia hapa kwa mbowe!!
Sote tunakubaliana maccm hayafai tena hususani matendo ya ufisadi, uzinzi (kapuya na wengine) na mengine kama hayo, sasa mbowe anaturudisha kule kule na nyie kwa upofu wenu mnataka tuunge mkono?!
Mimi nimeoa? Unanijua sana eehHow did you know that ? CDM HAITAFUTI MALAIKA TUNACHOKITAKA NI UONGOZI BORA , HATUTAFUTI UONGOZI WA KIROHO , MMECHEMSHA KWA KISIKI SLAA MNAMUANDAMA MBOWE , HAMTASHINDA ! MARA NGAPI WEWE UMESALITI NDOA YAKO , MBONA SISI TUMEKUANGALIA TU , POOR YOU NA HIYO MIMAJITAKA YAKO !
How did you know that ? CDM HAITAFUTI MALAIKA TUNACHOKITAKA NI UONGOZI BORA , HATUTAFUTI UONGOZI WA KIROHO , MMECHEMSHA KWA KISIKI SLAA MNAMUANDAMA MBOWE , HAMTASHINDA ! MARA NGAPI WEWE UMESALITI NDOA YAKO , MBONA SISI TUMEKUANGALIA TU , POOR YOU NA HIYO MIMAJITAKA YAKO !
Asafishike kwa ccm?mbowe hasafishiki hata kwa jiki. Madoa yake yashakuwa sugu sana
mkuu tunatambua kwamba jk kaivunjia heshima ikulu kwa kuhusishwa na tuhuma za uzinzi pia, hivyo kwa kuwa hatutaki hayo yajirudie tena ktk cku za usoni tunaanzia hapa kwa mbowe!!
sote tunakubaliana maccm hayafai tena hususani matendo ya ufisadi, uzinzi (kapuya na wengine) na mengine kama hayo, sasa mbowe anaturudisha kule kule na nyie kwa upofu wenu mnataka tuunge mkono?!
kamanda, kwani kobelo ni nani hapa tz, as far as we all know yeye ni nobody tu - ila mbowe ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani hapa tz! huoni tofauti yao?!
uongozi bora upi unaouzungumzia usiokuwa na maadili?!