Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
soma vzr historia ujue kwa nini mke wa kwanza wa Madiba alimuacha na kuondoka, ukikosa kitabu tafuta movie ya Idris Elba Long walk to freedom utajua usikurupuke kumshambulia Lissu hapa...
take note sitetei ujinga wa mwenyekiti wao nakusahihisha kwenye historia
Kwani Madiba baada ya kuwa mtu mzima alijivunia huo ujinga?,
kumbuka kwa wakati huo Madiba hakuwa mwenyekiti wa ANC na wala hakuwa na role kubwa sana katika siasa za south Africa kwa wakati huo.
Ninachofahamu ni kwamba baada ya kutoka jela madiba alikiri kwamba jela ilimfanya areflect maisha yake ya zamani na kujuta kwa yale aliyoyafanya yakaumiza watu wengine. bila shaka miongoni mwa walioumizwa naye ni mke wake wa kwanza. JE MWENYEKITI MBOWE ANAHUZUNISHWA NA MATENDO ANAYOYAFANYA YANAYOMUUMIZA MKE WAKE HIVI SASA?.
Ni heri tukamwambia Mwenyekiti ajirekebishe kuliko kudismiss matendo yake. KAMA HAJALI FEELINGS ZA MTU ALIYEONDOKA KWA BABA NA MAMA YAKE AKAJA KWAKE , JE ATAJALI VIPI FEELINGS ZA RAIA ASIOWAJUA WANAOISHI KWA MLO MMOJA TU?