Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Mimi naungana na mboko,tujitahiji kufanya mambo yanayohusu uchui wa nch zaidi kulko mambo binafsi. hakuna aliye makamilifu,hta huku CCM na viongozi wote a serikaliu ndiyo kmeoza kabisa. Hata huyo aliyesema mwenyekii wake,yeye hajajiagalia mwenyewe,maana ameshindwa hata kuoa.
 
Nakubaliana kabisa na Tundu Lissu.

Mambo binafsi ni mambo binafsi na hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kuongoza.
kwa akili hizi ndio maana mnaibua wavuta bangi na kuwapa vyeo mbalimbali kwenye chama.sifa ya kiongozi inaanzia nyumbani kwake sasa kama anashindwa kuongoza familia ya watu letz say watano ataweza kweli kuongoza watanzania zaidi ya mil 45?think.jk watu wengi hasa akina mama ni wahanga wa tabia zake mbovu za kushurutisha mahusiano sasa unataka tuwapelekee janga lingine?think.kama huna uwezo wa kuhimili mihemuko yako ya kingono unaweza thibitisha kuwa utaweza kuhimili mihemuko mingine?ndio maana maamuzi yao mengi huwa ni ya pupa coz hawajazaliwa kuwa viongozi bali wanafosi kwa maslahi yao binafsi.fikiri kwanza kabla ya kubwabwaja hadharani,HUWEZI KUWA KIONGOZI KAMA HUNA UWEZO HATA WA KUJIONGOZA MWENYEWE!!!ni wenye akili pumba tu kama zako ndio utawakamata kwenye ----- wako huu.
 
hapana mkuu na la makamba na mwinyi na kapuya tuyachanganye mumo humo. hata ya mkulu pia. tupige zote kwa zote.
Mkuu, we kama unaona inafaa, changanya tu. ila mie najadili hili suala la Lissu ambaye ni mzinzi kumsafisha mzinifu mwenzake Freeman Mbowe
 
Muleta maada, nikukumbushe tu kuwa, unadharaulika sana na jamii ya watu waelewa, sababu watu hawahitaji upuuzi huu ulioleta hapa, wanahitaji hoja za kutatua kero zao, unataka kutuaminisha kuwa na mwigulu mnaakili moja, hizi ndio siasa mlizobakiwa nazo, poleni.

magamba hawataki hizo. wao wanachotaka ni mambo ya chupi tu kwa sababu hoja hawana tena na kutatua matatizo ya msingi ya nchi hawawezi, wameshashindwa. so kitu rahisi kwa gambaz ni kuzungumza ishuz za vinem.e tu. si unaona wanavoshabikia uzi?
 
Wana JF, angalieni sana hawa buku7 wa Lumumba wanavyojadili mambo huku jamvini. Wanatafuta kila njia kukwepesha mada ili kutuvuruga tu.
Hivi, huyo mkewe Mbowe angewauliza hao wanao mkebehi Mh. Mbowe kwa habari za vimada wake, hayo yanahusianaje na maisha haya magumu hivi kwa Mtanzania? Hawa Tembo wetu wanaokwisha? Hao Wachina wanaokamatwa kila uchao na meno ya Tembo? Hao vijana wetu wanaokamatwa na Sembe huko China? Hivi vitu vinahusianaje na maisha ya Mh. Mbowe, hawa buku 7 humu jamvini wangejibu nini?
Tuache kujadili upuuzi wa mtu mmoja mmoja tujikite kwenye mambo mazito yanayoliangamiza Taifa hili. CCM wangeacha kuvivuruga vyama vya upinzani kwa gharama kuubwa kama hizo walizompa huyo ZZK wakazitumia hata kwenye;
Kuongeza mikopo ya vyuo vikuu
Kuongeza ufanisi wa hospitali moja tu Muhumbili
Kutoa ruzuku kwenye Umeme bei isituunguze hivyo
Kutoa ruzuku kwenye gesi bei ikapungua

Hata kina Nape wangekuwa na uhodari wa kuja humu JF na kujinadi kwa vitu hivyo walivyo fanya. Lakini mwisho wa siku, ni viongozi wa ccm kujitapa wakiwa wameshalewa wisky za Ikulu kuwa CDM itakufa kabla ya Pasaka ya mwaka huu.
Hawana chochote cha kujivunia hata kuonesha baada ya miaka 50 ya uhuru? Just let pie as pie, 2015 is not far.
Mtabaki kuelezea uzinzi wa Mbowe kama kwamba sote tunalala kwa Mbowe. Tena mwanzilishi ati ni Naibu Katibu Mkuu wa lichama koongwe.
Tunahitaji tabibu si bure. CCM memkosa hoja kabisa. Wangapi tunamfahamu huyo Lilian Mbowe, wangapi tunamfahamu huyo Joyce, tuna shida gani nao hao? Watatusaidia nini katika haya maisha magumu hivi tunayopambana nayo kila siku?

Watanzania, tusivurugwe na hawa watu walioishiwa sera. Uzinzi wa Mbowe haukuniletea haya maisha magumu. Nawasilisha.
 
kwa akili hizi ndio maana mnaibua wavuta bangi na kuwapa vyeo mbalimbali kwenye chama.sifa ya kiongozi inaanzia nyumbani kwake sasa kama anashindwa kuongoza familia ya watu letz say watano ataweza kweli kuongoza watanzania zaidi ya mil 45?think.jk watu wengi hasa akina mama ni wahanga wa tabia zake mbovu za kushurutisha mahusiano sasa unataka tuwapelekee janga lingine?think.kama huna uwezo wa kuhimili mihemuko yako ya kingono unaweza thibitisha kuwa utaweza kuhimili mihemuko mingine?ndio maana maamuzi yao mengi huwa ni ya pupa coz hawajazaliwa kuwa viongozi bali wanafosi kwa maslahi yao binafsi.fikiri kwanza kabla ya kubwabwaja hadharani,HUWEZI KUWA KIONGOZI KAMA HUNA UWEZO HATA WA KUJIONGOZA MWENYEWE!!!ni wenye akili pumba tu kama zako ndio utawakamata kwenye ----- wako huu.
Mkuu, ndo maana CHADEMA inaenda halijojo chininya utawala wa Mbowe kwa vile hana uwezo wa kuongoza. Familia ya watu wanne imemshinda, ameshindwa chama chenye watu milioni mbili, ataweza taifa la watu milioni 45?
 
Tundu Lisu ndio maana kaitwa TUNDU. ----- kabisa.....😀😀😀😀😀😀
 
Mkuu, we kama unaona inafaa, changanya tu. ila mie najadili hili suala la Lissu ambaye ni mzinzi kumsafisha mzinifu mwenzake Freeman Mbowe

hapana mkuu wangu wangu. tafadhali sana, tuchanganye na lile la vizee vya ccm hasa makamba, mwinyi na kapuya kuwavulia chupi vijukuu vyao na kuvionesha vitako vilivyokunjamana kwa ukongwe.
 
Wana JF, angalieni sana hawa buku7 wa Lumumba wanavyojadili mambo huku jamvini. Wanatafuta kila njia kukwepesha mada ili kutuvuruga tu.
Hivi, huyo mkewe Mbowe angewauliza hao wanao mkebehi Mh. Mbowe kwa habari za vimada wake, hayo yanahusianaje na maisha haya magumu hivi kwa Mtanzania? Hawa Tembo wetu wanaokwisha? Hao Wachina wanaokamatwa kila uchao na meno ya Tembo? Hao vijana wetu wanaokamatwa na Sembe huko China? Hivi vitu vinahusianaje na maisha ya Mh. Mbowe, hawa buku 7 humu jamvini wangejibu nini?
Tuache kujadili upuuzi wa mtu mmoja mmoja tujikite kwenye mambo mazito yanayoliangamiza Taifa hili. CCM wangeacha kuvivuruga vyama vya upinzani kwa gharama kuubwa kama hizo walizompa huyo ZZK wakazitumia hata kwenye;
Kuongeza mikopo ya vyuo vikuu
Kuongeza ufanisi wa hospitali moja tu Muhumbili
Kutoa ruzuku kwenye Umeme bei isituunguze hivyo
Kutoa ruzuku kwenye gesi bei ikapungua

Hata kina Nape wangekuwa na uhodari wa kuja humu JF na kujinadi kwa vitu hivyo walivyo fanya. Lakini mwisho wa siku, ni viongozi wa ccm kujitapa wakiwa wameshalewa wisky za Ikulu kuwa CDM itakufa kabla ya Pasaka ya mwaka huu.
Hawana chochote cha kujivunia hata kuonesha baada ya miaka 50 ya uhuru? Just let pie as pie, 2015 is not far.
Mtabaki kuelezea uzinzi wa Mbowe kama kwamba sote tunalala kwa Mbowe. Tena mwanzilishi ati ni Naibu Katibu Mkuu wa lichama koongwe.
Tunahitaji tabibu si bure. CCM memkosa hoja kabisa. Wangapi tunamfahamu huyo Lilian Mbowe, wangapi tunamfahamu huyo Joyce, tuna shida gani nao hao? Watatusaidia nini katika haya maisha magumu hivi tunayopambana nayo kila siku?

Watanzania, tusivurugwe na hawa watu walioishiwa sera. Uzinzi wa Mbowe haukuniletea haya maisha magumu. Nawasilisha.
Mkuu, huwezi kutuchagulia mada za kujadili humu. Wewe kama unaona hayo yanafaa kujadiliwa, usilazimishe watu. Sisi tumejikita huku kwaninhili pia linapaswa kupewa nafasi. Tukiacha hili likapita hewani, tutakuja kutawaliwa na wabakaji mwisho wa siku wakahalalisha matendo ya ubakaji kwenye katiba yetu. Huwezi kutegemea mtu kama Lema wakapinga ubakaji kwa vile namyeye ni mbakaji
 
watanzania tusikalie ushabiki tu wa maneno ya Mwigulu akufanye ulete maada hapa na kuanza kujadiliwa na watu wengi wakitoa yao ya moyoni. JIULIZE HIVI MBUNGE WA VITI MAALUM ANAENDA NJE KWENYE ZIARA KIKAZI, KAZI IPI NA YA AKINA NAN?? Baada ya kupata majibu juu ya hili ndio uanze kuleta uzi hapa kuhusu Mbowe na Joyce kuwa na mahusiano sio maada ya kujadili hapa akajadili yeye na mke wake kwani tukianza kufatilia wenye mahusiano nje ya ndoa zao hakuna atakaepona hata aliyeropoka bungeni mwenyewe haponi na kama ni kosa basi hata kikwete hafai kuwa rais wa nchi na wafuasi wake wote.
ishu ya kujadili ni mfumo ulivyo kuwa mbunge wa viti maalum anaenda nje ziara kikazi then waziri nae aende nje ziara kikazi bado wabunge ambao sio wa viti maalum nao waende nje ziara kikazi bado manaibu waziri na makatibu wao hatujajumlisha na madiwani nao huwa wanasema n"likuwa nje ya nchi kikazi"
Nkionacho hapa kila mtu alikuwa na mishe zake nje sasa wakawasiana waonane wale raha kitu ambacho sio maada ya kujadili hapa sababu hata mnaopinga hili inawezekana mmefanya uzinzi mara nyingi wengine hata mnapopost mko na vimada vyumbani NAOMBA TUJADILI MAMBO YA MSINGI SIO HUU UPUUZI... HIVI TUNAELEWA MAANA YA GREAT THINKERS??

HALAFU JIULIZE MWIGULU NAE NI GREAT THINKER??
 
hapana mkuu wangu wangu. tafadhali sana, tuchanganye na lile la vizee vya ccm hasa makamba, mwinyi na kapuya kuwavulia chupi vijukuu vyao na kuvionesha vitako vilivyokunjamana kwa ukongwe.
Usinilazimishe nijadili masuala nisiyoyajua. Wewe kama umeaminishwa hapo Kinondoni, jadilimtu. Hapa Lumumba tunatema facts tu
 
watanzania tusikalie ushabiki tu wa maneno ya Mwigulu akufanye ulete maada hapa na kuanza kujadiliwa na watu wengi wakitoa yao ya moyoni. JIULIZE HIVI MBUNGE WA VITI MAALUM ANAENDA NJE KWENYE ZIARA KIKAZI, KAZI IPI NA YA AKINA NAN?? Baada ya kupata majibu juu ya hili ndio uanze kuleta uzi hapa kuhusu Mbowe na Joyce kuwa na mahusiano sio maada ya kujadili hapa akajadili yeye na mke wake kwani tukianza kufatilia wenye mahusiano nje ya ndoa zao hakuna atakaepona hata aliyeropoka bungeni mwenyewe haponi na kama ni kosa basi hata kikwete hafai kuwa rais wa nchi na wafuasi wake wote.
ishu ya kujadili ni mfumo ulivyo kuwa mbunge wa viti maalum anaenda nje ziara kikazi then waziri nae aende nje ziara kikazi bado wabunge ambao sio wa viti maalum nao waende nje ziara kikazi bado manaibu waziri na makatibu wao hatujajumlisha na madiwani nao huwa wanasema n"likuwa nje ya nchi kikazi"
Nkionacho hapa kila mtu alikuwa na mishe zake nje sasa wakawasiana waonane wale raha kitu ambacho sio maada ya kujadili hapa sababu hata mnaopinga hili inawezekana mmefanya uzinzi mara nyingi wengine hata mnapopost mko na vimada vyumbani NAOMBA TUJADILI MAMBO YA MSINGI SIO HUU UPUUZI... HIVI TUNAELEWA MAANA YA GREAT THINKERS??

HALAFU JIULIZE MWIGULU NAE NI GREAT THINKER??
Yaani pamoja na kutumia space kubwa hapa jf, sijakusoma hata kidogo.
 
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.

Wewe hujui chochote! Mke wa kwanza wa mandela, waliachana kwa sababu alimtuhumu mandela kuwa ana mahusiano nje.....
 
Mkuu, ndo maana CHADEMA inaenda halijojo chininya utawala wa Mbowe kwa vile hana uwezo wa kuongoza. Familia ya watu wanne imemshinda, ameshindwa chama chenye watu milioni mbili, ataweza taifa la watu milioni 45?

Kweli CCM ni watu wenye div 5 we na akil zako ukachukulie mambo ya chumbani na uongoz wa mtu akili hauna kama hujaenda shule nenda mda huu elimu haina mwisho kapate elimu juu ya uongozi halafu uangalie sehemu gani wanafundisha mambo ya ndoa na uaminifu wa mapenzi. Shule inasaidia sana ungesoma usingepost upuuzi huu.
 
kwa akili hizi ndio maana mnaibua wavuta bangi na kuwapa vyeo mbalimbali kwenye chama.sifa ya kiongozi inaanzia nyumbani kwake sasa kama anashindwa kuongoza familia ya watu letz say watano ataweza kweli kuongoza watanzania zaidi ya mil 45?think.jk watu wengi hasa akina mama ni wahanga wa tabia zake mbovu za kushurutisha mahusiano sasa unataka tuwapelekee janga lingine?think.kama huna uwezo wa kuhimili mihemuko yako ya kingono unaweza thibitisha kuwa utaweza kuhimili mihemuko mingine?ndio maana maamuzi yao mengi huwa ni ya pupa coz hawajazaliwa kuwa viongozi bali wanafosi kwa maslahi yao binafsi.fikiri kwanza kabla ya kubwabwaja hadharani,HUWEZI KUWA KIONGOZI KAMA HUNA UWEZO HATA WA KUJIONGOZA MWENYEWE!!!ni wenye akili pumba tu kama zako ndio utawakamata kwenye ----- wako huu.

Mbona kikwete mlimpa uongozi au kwa kuwa hakuwepo wa kumlipua?? elimu inasaidia sana ungesoma ungefikiri katika hili ungejifunza kitu sio kujadili mambo ya ndan ya watu na kama ni hivyo hata wewe hufai kuwa kiongozi jichunguze,
 
Mkuu, kama unavyojua kuna orodha ya wabunge wa viti maalum ambao CHADEMA imewaweka kwenye hatari ya kuwafukuza kutokana na kumuunga mkono Zitto. Joyce Mukya ni mkojawapo. Huyu Joyce si tu anampenda Zitto kisiasa, bali pia ni mpenzi wake. Mbowe analijua hilo. Na inaelezwa kuwa moja ya sababu ya Mbowe kuendeleza ubakaji kwa Joyce ni kutaka kumkomoa Zitto. Hivyo hivi vita kati ya mbowe na Zitto ni zaidi ya uenyekiti wa chadema. Inaelezwa pia kuwa wakati Joyce aliposhiba mimba ya ambiwe, Zitto Kabwe alimtorosha nchini Uingereza ambako aliishi mpaka kajifungua mtoto.

tukirudi kwenye hoja, ili kumlaghai Joyce asitimuliwe, Mbowe akatumia ulaghai wake kuwa hatamfukuza Joyce ikiwa atakubali kuendelea kulala naye hasa kwenye jumba lake la kifahari huko Dubai.mtena kamdanganya eti ndoa yake na Lilian Mtei ikisanbaratika, yeye ndo atamilikishwa majumba hayo ya Dubai. Pia Joyce Mukya amehadaiwa kuwa ikiwa Mbowe atakuwa Rais wa nchi, yeye Joyce ndo anastahili kuwa First Lady na si Lilian Mtei ambaye hana mvuto

Mkuu,
Nyie vijana ni noma!Hizo story zote mmezitoa wapi?Mbona unaongea kwa details kama wewe ndio Mbowe mwenyewe!Au na wewe ndo walewale warithi wa Shigongo?

Hivi taratibu za kuchagua wabunge wa viti maalum vikoje?Yaani mtu anaweza akakutana na mdada barabarani akamchagua kuwa mbunge wa viti maalum?Bila background yoyote,bila particulars zozote?Halafu akala nae uroda na kumtimua!

Je mwenyekiti wa chama ndiye anayeteua wabunge wa viti maalum au kamati kuu ndio inahusika?
Unataka kusema Joyce Mukya hana historia yoyote ndani ya Chadema?

Mbona mie nimekuwa nikimsikia kitambo akijihusisha na siasa za Chadema?

Na mbaya zaidi unapomwongelea Mbowe "kumbaka" Joyce Mukya kama "anabaka" kuku au bata!Au mtu ambaye hajitambui na kipofu!Huyu ni mama mtu mzima for god's sake!Tofauti kabisa na kale katoto ka Kapuya!

Hayo uliyoandika hapo juu HAYAWEZEKANI na UZUSHI!
 
Usinilazimishe nijadili masuala nisiyoyajua. Wewe kama umeaminishwa hapo Kinondoni, jadilimtu. Hapa Lumumba tunatema facts tu

mkuu tafadali sana, nijibu tu hili moja. kwa nini makamba, tena akiwa mwalimu, alibaka mwanafunzi na akapona? nijibu hili mkuu then tuishie hapo
 
yaani pamoja na kutumia space kubwa hapa jf, sijakusoma hata kidogo.

ungekuwa na akili ungenielewa maskini aliyekuzaa ndo kapata mtoto anaeshindwa kuelewa lugha mama yake sa kwanini ulikimbia shule umeona hasara zake dada lizaboni
 
Mkuu, huwezi kutuchagulia mada za kujadili humu. Wewe kama unaona hayo yanafaa kujadiliwa, usilazimishe watu. Sisi tumejikita huku kwaninhili pia linapaswa kupewa nafasi. Tukiacha hili likapita hewani, tutakuja kutawaliwa na wabakaji mwisho wa siku wakahalalisha matendo ya ubakaji kwenye katiba yetu. Huwezi kutegemea mtu kama Lema wakapinga ubakaji kwa vile namyeye ni mbakaji

makamba, mwinyi na kapuya walivobaka wanafunzi mkawaacha bila kuwachukulia hatua, je hiyo haikuwa kuhalalisha ubakaji? sasa ngoja mimi nendabaka sasa hivi halafu mtu analetee fyoko aone. makamba anabaka anaachwa mimi nikibaka niandamwe kwa nini? ni kwa nini kunya anye kuku tu jamani? kwani uharo wa bata siyo uharo?!!
 
Usinilazimishe nijadili masuala nisiyoyajua. Wewe kama umeaminishwa hapo Kinondoni, jadilimtu. Hapa Lumumba tunatema facts tu

mnafact ngap mnazotakiwa kuzijadili lumumba mpaka mchukue hii ndo fact yenu ya muhimu?? ndio maana nakushauri nenda shule ukasome ujue major na minor tatizo la Lumumba mna major minor na mna minor major hebu kaa tafakari mna mambo mangap ya kujadili hapa JF??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom