Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
alafu we moshdar mpuuuzi kwel, unahalalishaje mapungufu ya mbowe kwa kulinganisha na ya jk?! kosa halifutwi kwa kufanya kosa jingine mangi!
kwahiyo chadema ni kopi and pesti ya ccm?! tumia akili!!
 
alafu we moshdar mpuuuzi kwel, unahalalishaje mapungufu ya mbowe kwa kulinganisha na ya jk?! kosa halifutwi kwa kufanya kosa jingine mangi!
kwahiyo chadema ni kopi and pesti ya ccm?! tumia akili!!
Mkuu, kamchezo haka ka chadema kufuta kosa kwa kuangalia kosa la mtu mwingine kamezoeleka sana. Mara utasikia Zitto kachukua fedha kwa Mkono hata mate hayajakauka unasikia Mbowe naye kachukua mkwanja kwa Lowasa. Ndo maisha yao yalivyo
 
zito ni usaha ulioza na kunuka ule, tumeshautumbua, hatuwezi kuurudisha tena ndani ya donda...kalaghabaho mgoshi, ccm oyeeeee!!

kwa akili yako, ukiondoa mbowe mwingine anayefaa kuwa mwenyekt ndani ya chama ni zito tuu?!
 
Hivi Mbowe ni mchagga kweli? Au ndo yale maneno yanayosikika pembeni kuwa baba yake si Aikael Mbowe. Maana wachagga hawana tabia ya uzinifu. Ingekuwa wenzangu wangoni au wale wa Ishomile tusingemlaumu sana
 
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.

Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.

Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.

Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs

View attachment 132573

Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini

Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi

Kunavitu vingi sn vya kujadil umeme umepanda bei tembo wetu wanaisha, ww kwa ufaham wako mdogo unataka kufaham mambo ya private kama unataka kufaham mambo ya private na naomba uolewe na mboye ndo ujeu private nn?
 
Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.
Hao viongozi wa CHADEMA , pamoja na mwenyekiti wake Mbowe hawasafishiki.

Tundu Lissu kisha jipa majukumu ambayo yana mdhalilisha, ni kama msafisha mashuka wa danguroni, wengine wakisha yatumia.

Mbowe hana hadhi ya Clinton wala Mandela kwa hiyo hawezi kufananishwa na hao watu.
Mbowe hata kabla ya kupata umaarufu au madaraka ya kushika dola tayari ni mtata kingono, na huo si mtaji utakaomwezesha kuchaguliwa Ikulu.

Na pengine Lissu angemuuliza vile vile baba mkwe wa Mbowe, Mzee Mtei analichukuliaje suala la ngono la mkwe wake na mbunge wake!!!!!

Ati suala binafsi?

Kwa ujumla sasa ni dhahiri viongozi wengi CHADEMA ni wazinzi, wachota ruzuku na sasa chama kinaendeshwa kama saccos.

Kwa mtaji huo hata kuifikiria CHADEMA kama mbadala wa CCM inakuwa vigumu.
 
alafu we moshdar mpuuuzi kwel, unahalalishaje mapungufu ya mbowe kwa kulinganisha na ya jk?! kosa halifutwi kwa kufanya kosa jingine mangi!
kwahiyo chadema ni kopi and pesti ya ccm?! tumia akili!!

hapana mimi simtetei mboooo, mbowe kweli babaangu!! ila nataka tuansie kule kule kwa jk babaaangu!
sasa ni hifi babaangu, kwa kuwa nakubali kuwa mbowe amezini, jee upo tiyari kukubaliana na ukweli kuwa jk ni mzinzi, mwinyi ni mbakaji, kapuya ni mbakaji na kwamba makamba naye ni mbakaji? tukubaliane basi mkuu...au kama hutaki kukubaliana basi tukubaliane kutokubaliana.
 
Hivi ya kikwete tukiyaweka hapa mnapata picha itakuwaje? Yule mzee wa totoz. Bahati mbaya mtu km Mbowe amebeba matumaini ya waltz zaidi ya90%. Tuacheni mambo ya chumbani watayamaliza na mapadre wapo sisi tunataka kiongozi kimara km Mbowe na Dr.slaa waendelee kutuongoza ili kumuondoa mkoloni mweusi ccm
 
kwa hii post, lazma mtatukaniana had wazazi.
mi nnachojua au cha maana kabla haujamshutumu mtu kwanza anza na wewe mwenyewe. je hujawah kupiga uyenze nje ya mkeo au mpenz wako?
wala hili suala haliitaj mat*ko makubwa kufikiri.
Sh**zy type.
 
Hao viongozi wa CHADEMA , pamoja na mwenyekiti wake Mbowe hawasafishiki.

Tundu Lissu kisha jipa majukumu ambayo yana mdhalilisha, ni kama msafisha mashuka wa danguroni, wengine wakisha yatumia.

Mbowe hana hadhi ya Clinton wala Mandela kwa hiyo hawezi kufananishwa na hao watu.
Mbowe hata kabla ya kupata umaarufu au madaraka ya kushika dola tayari ni mtata kingono, na huo si mtaji utakaomwezesha kuchaguliwa Ikulu.

Na pengine Lissu angemuuliza vile vile baba mkwe wa Mbowe, Mzee Mtei analichukuliaje suala la ngono la mkwe wake na mbunge wake!!!!!

Ati suala binafsi?

Kwa ujumla sasa ni dhahiri viongozi wengi CHADEMA ni wazinzi, wachota ruzuku na sasa chama kinaendeshwa kama saccos.

Kwa mtaji huo hata kuifikiria CHADEMA kama mbadala wa CCM inakuwa vigumu.
Dah you made my day
 
Tatizo la Lissu haongei ukweli wote:

Angewaambia pia kuwa Clinton baada ya kutembea na Monica alikuwa impeached
Angewaambia pia kuwa mzee Mandela hakufanya yeye binafsi bali mke wake ndiye aliyefanya

Na angekuwa na Rekodi nzuri.
Angetueleza kuhusu Bob Livingston, mrepublican ambaye alitarajiwa kuwa Speaker of the house alipolazimika kujiuzulu baada ya ishu yake ya kuwa na kimada kuripotiwa

Angesema kuhusu Elion Spitzer gavana wa California aliyelazimika kujiuzulu kwa aibu baada ya kutembea na malaya

Angetueleza kuhusu Gary Hart mgombea uraisi wa Democrat aliyelazimika kujitoa kugombea uraisi mwaka 1988 baada ya picha kutoka akiwa katika style za kimahaba na msaidizi wa kampeni zake aitwaye Donna Rice.

Familia ni Unit kuu ya Taifa, Unapomuumiza mkeo kisaikolojia, Ukawaumiza watoto kisaikolojia, Wewe huwezi kuwa na uchungu kwa familia kubwa iitwayo "Taifa". MBOWE KWA JAMBO HILI HAFAI KUWA KIONGOZI

Msituletee habari, eti mbona fulani wa CCM naye anafanya. well kama CCM wanafanya basi CHADEMA si inabidi wajitofautishe nao?, au CHADEMA wanataka kuwa kama CCM?
 
kwa hii post, lazma mtatukaniana had wazazi.
mi nnachojua au cha maana kabla haujamshutumu mtu kwanza anza na wewe mwenyewe. je hujawah kupiga uyenze nje ya mkeo au mpenz wako?
wala hili suala haliitaj mat*ko makubwa kufikiri.
Sh**zy type.
Duh! Matendo hayo yapo chadema tu
 
Tatizo la Lissu haongei ukweli wote:

Angewaambia pia kuwa Clinton baada ya kutembea na Monica alikuwa impeached
Angewaambia pia kuwa mzee Mandela hakufanya yeye binafsi bali mke wake ndiye aliyefanya

Na angekuwa na Rekodi nzuri.
Angetueleza kuhusu Bob Livingston, mrepublican ambaye alitarajiwa kuwa Speaker of the house alipolazimika kujiuzulu baada ya ishu yake ya kuwa na kimada kuripotiwa

Angesema kuhusu Elion Spitzer gavana wa California aliyelazimika kujiuzulu kwa aibu baada ya kutembea na malaya

Angetueleza kuhusu Gary Hart mgombea uraisi wa Democrat aliyelazimika kujitoa kugombea uraisi mwaka 1988 baada ya picha kutoka akiwa katika style za kimahaba na msaidizi wa kampeni zake aitwaye Donna Rice.

Familia ni Unit kuu ya Taifa, Unapomuumiza mkeo kisaikolojia, Ukawaumiza watoto kisaikolojia, Wewe huwezi kuwa na uchungu kwa familia kubwa iitwayo "Taifa". MBOWE KWA JAMBO HILI HAFAI KUWA KIONGOZI
Tatizo la Lissu ni kuchanganya mambo. Ndo maana mkuu wa kaya alimpasulia alipomwambia kuwa anachanganya sheria na anawachanganya na wenzake kwa vile wanamwamini
 
Haya mambo ni makubwa si juzi tu yule Prof Kapuya naye., hiz issue zipo pande zote ingawa wengine hawajaja juu., tatizo ni lile lile tu Nyerere alisema hii nchi haina dini kwaiyo watu wanafanya watakavyo.,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom