Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Kashfa ya Uzinzi: Lissu amsafisha Mbowe

Status
Not open for further replies.
Wewe kweli mtoto wa Mjomba,

Clinton was impeached coz of what? dadavua hilo kabla ya kulinganisha nyanga na upuuzi wako ulioutundika hapa, pili Mandela ni sawa na nyundo, Nyundo kabla kugonga hugongwa kijana wangu....Mandela kabla ya Winnie unajua alikuwa ana mke ambaye bdie bibi yake Mandla; Winnie alimchomoa Mandela kwa bibi yake Mandla. Sasa tuje kwa Mbowe, sikubaliani na viongozi wanaotumia nafasi zao kulaghai wanawake lakini nawachukia sana wanawake tena mabint wadogo kama Mukya kuwa na hulka za akina Llewinsky/Winnie na wengi wengineo. Kama Mbowe ametumia uenyekiti wake kwa Mbunge wake ili apate access ya ngono basi amepoteza moral authorities lakini kama bibie alivamia ndoa ya M/kiti ilihali akijua anavunja nyumba kuu huyo ni laana.

Ni mpaka hapo tutakapjiridhisha kuwa kuna ku abuse mamlaka za org wanaoitumikia na kuhatarisha usalama wa Org. wote hawa watakuwa impeached kwa mujibu wa CDM constitution.

Ndoa na iheshimiwe, wanaokosea wanapaswa kutubu na Mungu atawakarimia rehema ya msamaha juu yao.

Clinton alikuwa impeached, Mandela alichapiwa kwa hiyo hakufanya jambo la kipuuzi kama alilofanya Mbowe.
Kama katiba ya CDM inatilia mkazo famili kama ndiyo kiini cha utawala (conservatives pillar) basi waonyeshe mfano na siyo kuweka vifungu kwenye katiba yao ili wapte wafadhili ilhali ni chma cha wasiooa na waasherati.

Tundu Lissu amejishusha.
 
Haya mambo ni makubwa si juzi tu yule Prof Kapuya naye., hiz issue zipo pande zote ingawa wengine hawajaja juu., tatizo ni lile lile tu Nyerere alisema hii nchi haina dini kwaiyo watu wanafanya watakavyo.,
Lile la Kapuya lilitengenezwa na Tanzania Daima.
 
kwa akili yako, ukiondoa mbowe mwingine anayefaa kuwa mwenyekt ndani ya chama ni zito tuu?!

hayakuhusu, wana-CDM tutajua nani na nani.
wee pilipili usoila yakuwashiani? (teh teh-kitanga hiko babueee!!! halllloooooo!)
 
Wewe kweli mtoto wa Mjomba,

Clinton was impeached coz of what? dadavua hilo kabla ya kulinganisha nyanga na upuuzi wako ulioutundika hapa, pili Mandela ni sawa na nyundo, Nyundo kabla kugonga hugongwa kijana wangu....Mandela kabla ya Winnie unajua alikuwa ana mke ambaye bdie bibi yake Mandla; Winnie alimchomoa Mandela kwa bibi yake Mandla. Sasa tuje kwa Mbowe, sikubaliani na viongozi wanaotumia nafasi zao kulaghai wanawake lakini nawachukia sana wanawake tena mabint wadogo kama Mukya kuwa na hulka za akina Llewinsky/Winnie na wengi wengineo. Kama Mbowe ametumia uenyekiti wake kwa Mbunge wake ili apate access ya ngono basi amepoteza moral authorities lakini kama bibie alivamia ndoa ya M/kiti ilihali akijua anavunja nyumba kuu huyo ni laana.

Ni mpaka hapo tutakapjiridhisha kuwa kuna ku abuse mamlaka za org wanaoitumikia na kuhatarisha usalama wa Org. wote hawa watakuwa impeached kwa mujibu wa CDM constitution.

Ndoa na iheshimiwe, wanaokosea wanapaswa kutubu na Mungu atawakarimia rehema ya msamaha juu yao.
Mbowe ameomba Rushwa ya ngono kwa Joyce Mukya
 
hayakuhusu, wana-CDM tutajua nani na nani.
wee pilipili usoila yakuwashiani? (teh teh-kitanga hiko babueee!!! halllloooooo!)
Kwani chadema mnawaza? Nyie si misukule tu. anayewaza ni Mtei tu
 
Kwahiyo kwa ajili MANDELA aliacha Mke, ni vyema pia kwa MBOWE kutelekeza familia?
 
Bora waishe panya kuliko kumaliza wake zetu

ni heri tu hao panya wabaki na hao wake zetu wamalizwe kuliko tubakizwe nao, tuzae nao mabinti wazuri tu halafu kapuya na makamba wanakuja kuwabikiri kabla hata hawajamaliza la saba!! then kazi yooooote inafanywa ziro na magamba.
 
kwa hiyo wewe ni mwakilishi wa Mrs Mbowe ktkhili au? Remember Bill Clinton wife Hillary commmet? Fanya research wa haya mambo kabla kushambulia kwa nahau. Ni mambo yenye uhusiano na jamii lakini mwisho wa siku ni kati ya wana ndoa wenyewe na siyo public.

Mandela alihitimisha kwa taraka , Hillary alihitimisha kwa kusema kama vile alivyompenda mumewe tangu ujana wake anadumu ktk hali hiyo ila aliwasihi wanawake wenzake watambue mchango wake unaomfanya Bill kuwa target kwao; waheshimu hilo.

Kobelo wewe unalala uopande upi wa hekima hapo?

Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.
Ndoa is public, ni mkataba unaotakiwa uwe published in public records.
There's always a public interest in any marriage .... a wedding can be private.
 
Kikwete kazaa na Wanawake wengi.hata yeye ni Mzinzi ila kwako yupo sahihi na anafaa kuwa kiongozi.
Haya ndiyo nimekuwa nikiyaogopa.Tunapoanzisha thread tuwe waangalifu,mambo mengine yanakwenda nje ya miiko na tamaduni zetu!!!
 
acha tutwangane tu mkulu, kaachi kenyewe kameshauzwa haka, tutajua huko mbele kwa mbele
 
Wewe kweli mtoto wa Mjomba,

Clinton was impeached coz of what? dadavua hilo kabla ya kulinganisha nyanga na upuuzi wako ulioutundika hapa, pili Mandela ni sawa na nyundo, Nyundo kabla kugonga hugongwa kijana wangu....Mandela kabla ya Winnie unajua alikuwa ana mke ambaye bdie bibi yake Mandla; Winnie alimchomoa Mandela kwa bibi yake Mandla. Sasa tuje kwa Mbowe, sikubaliani na viongozi wanaotumia nafasi zao kulaghai wanawake lakini nawachukia sana wanawake tena mabint wadogo kama Mukya kuwa na hulka za akina Llewinsky/Winnie na wengi wengineo. Kama Mbowe ametumia uenyekiti wake kwa Mbunge wake ili apate access ya ngono basi amepoteza moral authorities lakini kama bibie alivamia ndoa ya M/kiti ilihali akijua anavunja nyumba kuu huyo ni laana.

Ni mpaka hapo tutakapjiridhisha kuwa kuna ku abuse mamlaka za org wanaoitumikia na kuhatarisha usalama wa Org. wote hawa watakuwa impeached kwa mujibu wa CDM constitution.

Ndoa na iheshimiwe, wanaokosea wanapaswa kutubu na Mungu atawakarimia rehema ya msamaha juu yao.
Google it, halafu punguza kutumia sana mata..ko kufikiri.
Ooops!
 
Kwan bwana mkubwa ana nyumba ndogo ngapi?watoto wa nje ya ndoa je?hahaaa
 
Kumbukeni watu wameichoka ccm kwa mabaya yanayotendwa na viongozi wake. Co sababu ya sera zake. Kwa maana hiyo wanaotetea tabia mbaya ya viongozi wa cdm kwa kivuli cha viongoz wa ccm MNAKOSEA SANA. Na hao tunaowaona viongoz wetu watarajiwa watatudharau coz washajua weakness zetu za kutete tabia mbaya binafsi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom