Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Toleo jipya inaonekana mwana mfalme kabebwa juu juu kama asante ya kumuwezesha kijana kuingizwa kundini...
Itapita karne nzima,yaani miaka 1000 bado mnaongelea jk
Toleo jipya inaonekana mwana mfalme kabebwa juu juu kama asante ya kumuwezesha kijana kuingizwa kundini...
karne moja ni sawa na miaka 100. Watu wameshaanza kuacha kuzungumzia mambo ya JK. Ila kama JPJM atapata sababu ya kumsweka lupango basi tutazungumza ya JK kwa muda mrefu ujao; ikifika zamu riz1 kuswekwa lupango habari za JK atazungumzwa tena kwa muda murefu ila haitafika miaka 100. Mtu fulani anaweza kuandika kitabu kuhusu JK lakini hakitamfanya JK Kusemwa sana. Sababu ni kwamba awamu ya nne ndiyo inayotakiwa kusahauliwa zaidi katika awamu zote!Itapita karne nzima,yaani miaka 1000 bado mnaongelea jk
jamaa kila kitu amekanusha!
Mungu asaidie Familia hii iadhibiwe. Amin.
Hata yule mwana aliyefungiwa viatu naye ana kinga? Nauliza tu.
Kwa inavyoonekana wewe ni mtumwa wa fikra,na ni mtu mwoga kupindukia kwani raisi mstaafu ndo kitu gani? Na si ni binadamu km wewe? Inapooneka alikusea
Usijifanye kama huifahamu Tanzania nchi ya wenye Sheria zao mifukoni.Ndugu zangu mnaopenda kuropoka.Ridhwani amewa 'dare' kama kuna yoyote mwenye ushahidi wowote ule autoe. 'Vinginevyo ni wivu na chuki zetu tu' [hayo ni maneno yangu]
Itapita karne nzima,yaani miaka 1000 bado mnaongelea jk
tatizo lako unataka ukimuona riz1 akilima shamba ndo utajua kafanya kazi ngumu??? in economics we believe that "people get wealthy in different ways some inherit as riz1 acquire" so grow up Nigga, ulitaka u compete na mwenzako aliyetengenezewa????? lets me and you hustle lonely.
Mkapa aliiba sana na wizi wake uko wazi lakini hakuandamishwa kama JK.
Watanzania tuache kushadadia vitu hewa...hatuwezi kuwa taifa la uvumi na uzushi...
Chuki inayojengwa dhidi ya familia ya Kikwete ni kulipiza kisasi tu kutokana na the so called majina ya mfukoni...lakini tujiulize asingekuja na majina hayo kama ni kweli Magufuli tungempata wapi?
Kikwete amekuwa akisema kwamba zama zake zimepita na ametuletea Magufuli kwa hilo tu ni zawadi ametuachia...tumpongeze na tuache kumsakama kupitia nyuma ya keybord...kama unaushahidi na unajiamini jitokeze hadharani na uoneshe ushahidi huo kuwa Kikwete na familia yake wanahusika kujilimbikizia mali kwa njia za hila...
.....tuache uswahili na majungu na wivu
Magufuli hakuwa katika majina ya mfukoni. Magufuli ni jina lililochomekwa na Philip Mangula huku lile la Balozi Amina likiingizwa kama kuwaridhisha Wazanzibari. Majina ya Mfukoni ni yale matatu aliyotoka nayo chumbani kwake. Lisemwalo lipo, na kamwe hakuna Siri ya watu wawili, ukifanya jambo na kudhani halitakaa lifahamike wajidanganya mwenyewe. Wapo wenye Data za huyo dogo zote,wewe na yeye endeleeni kujifariji eti leteni Ushahidi!
LENDEYSON waambie hao wenye data waziweke hapa jukwaani basi kama wanaogopa kujitokeza hadharani.
yani ushahidi wa kuokoteleza wa kuwa anavalishwa viatu na makonda?. hivi kweli hio chuki ya kiwango gani. tusishabikie upuuuzi