Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Huyu riz 1 kila kitu hajawahi kufanyaa..duuuh....kwa hiyo hata Dr slaah nae hakuwa mkweli...mi nadhani kuna mushikeli sehemu!...
 
Mpuuzi tu huyu kama dingi yake! Sote kama waTZ tunajua jinsi ambavyo wamekuwa na majibu ya kiswahiliswahili! Tushukuru Mungu we are safe to date! Riz,mbona ulisema unaenda mahakamani Dr. Slaa alipokutuhumu kuhusu utajiri wako? Na ukasema una kigari kidogodogo tu? Ninyi watu mmeipeleka nchi pabaya sana na mimi ni mmoja wa watu ambao walikuwa wanaipinga "serikali yenu" ktk jamiiforum kwa sana!!! Mliiweka TZ ktk himaya ya familia yenu!? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana! Anyway, ngoja tuone jitihada zinazoendelea ktk hii 5th regime ambayo ina-deal na haya madudu yenu if at all is sustainable though.
 
Hizi kelele zimetoka wapi leo?mbona hizi tuhuma ni za muda mrefu lakini Riz alikuwa kimya na hajawahi kukubali wala kukanusha ni kitu gani kimempata mtoto wa mfalme?.
Nadhani wameanza kuisoma namba. Ule mwaka alitishia nyau kumpeleka Slaa mahakamani akaishia njiani.
 
Riz bana eti ushahidi!!?? ulikuwa wapi muda wote huo kuulizia ushahidi? nyakati zile mdogo wako akikuandika kwenye ukurasa wako fb ''rich forever'' hivi ulikumbuka kumuomba ushahidi? hivi Riz mdogo wangu kumbe na wewe una maadui!!??
 
Ritz asitufanye watanzania watoto sisi tuna akili zetu huo upuuzi wake apeleke kwa baba yake mwizi mwenzake. Amejiharibia mwenyewe atitude yake kwa jamii kwa kujihusisha na wizi hivyo kumfanya watanzania tusimwamini na ameharibu future yake ya kiuongozi , hapa tz hawezi kupata cheo chochote cha juu zaidi ya huo ubunge aliopewa na wajinga wenzake wa chalinze
 
naona mh. umekanusha tu! mbona hujaeleza ukweli ni upi sasa? ina maana huna hata.... narudia huna hata.... zaidi ya huo unasheria wa kujitegemea na ubunge?.... mh. huna hata ile.......
 
Ritz asitufanye watanzania watoto sisi tuna akili zetu huo upuuzi wake apeleke kwa baba yake mwizi mwenzake. Amejiharibia mwenyewe atitude yake kwa jamii kwa kujihusisha na wizi hivyo kumfanya watanzania tusimwamini na ameharibu future yake ya kiuongozi , hapa tz hawezi kupata cheo chochote cha juu zaidi ya huo ubunge aliopewa na wajinga wenzake wa chalinze

huu uandishi wako tu unaonesha jinsi gani ulivyo na gere kwa Riz 1. kama unalo hata la kukaririshwa liseme, sio unatukana jamii ya watu bure tu kwa uG-nga wako na chuki binafsi ulizonazo.
 
Mwenye ushahidi apeleke na autoe hadharani acheni kupiga kelele...!
 
Mbuzi anajileta kwa muuza supu taratibu... Riz1 amekuwa jizi sana sanaa
 
Mpuuzi tu huyu kama dingi yake! Sote kama waTZ tunajua jinsi ambavyo wamekuwa na majibu ya kiswahiliswahili! Tushukuru Mungu we are safe to date! Riz,mbona ulisema unaenda mahakamani Dr. Slaa alipokutuhumu kuhusu utajiri wako? Na ukasema una kigari kidogodogo tu? Ninyi watu mmeipeleka nchi pabaya sana na mimi ni mmoja wa watu ambao walikuwa wanaipinga "serikali yenu" ktk jamiiforum kwa sana!!! Mliiweka TZ ktk himaya ya familia yenu!? Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana! Anyway, ngoja tuone jitihada zinazoendelea ktk hii 5th regime ambayo ina-deal na haya madudu yenu if at all is sustainable though.

Afadhali ww ulikuwa unaipinga serikali ya baba yake ridhwani tu.
Kuna watu wanampinga mungu alie waumba.
 
nisemeni mimi muacheni magufuli afanye kazi-by JK dec 9 2015
hata mkinisema sigombei tena, kwa hiyo mnapoteza muda wenu by JK
hizi ni dalili za walioshindwa by JK
sasa mmechanganyikiwa, by JK

ujumbe murua kabisa huu.

Ni juu ya utoroshaji wa Makontena.

Familia yake inasema mwenye ushahidi autoe.

Soure: magazeti.
MY TAKE.
Jamani toeni ushahidi hawa watu si wa kuwachekea kabisa. Tunajiskia hata ugua tukiskia majina yao.

kupotea tu,kwa hayo makontena huku serikali ikiwa kimya ni ushahidi tosha

Walikuwa na uswahili Swahili Fulani hivi acha waisome namba

Wameanza kuweweseka soon mambo yatakuwa wazi.

Mungu asaidie Familia hii iadhibiwe. Amin.

Hata yule mwana aliyefungiwa viatu naye ana kinga? Nauliza tu.

Hivi serikali yenye kila rasilimali kwaajili ya uchunguzi na utendaji inachezewa akili na familia ya watu wasiofikia kitongoji kwa idadi!

Mwana huyo huyo Jana alikuwa kashikwa maka....li. na MTU yule yule.

Kwa hisani ya gazeti la Mawio.
 
All in all uongozi wa mzee JK umeiingiza nchi pabaya. Amewachekea wezi na wakwepa kodi. watu wame fanya watakavyo na yeye anaangalia tu. Kwakweli hiyo tu inatosha kuwaona wao pia waliiba. Wametutesa sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom