Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

Kashfa ya makontena yamuibua Ridhiwan Kikwete!

huu uandishi wako tu unaonesha jinsi gani ulivyo na gere kwa Riz 1. kama unalo hata la kukaririshwa liseme, sio unatukana jamii ya watu bure tu kwa uG-nga wako na chuki binafsi ulizonazo.

sasa wewe nyumbu mbona huyo mumeo riz unayemtetea hajatoa ushahidi wowote ule? kama huna ushahidi ni bora ukae kimya badala ya kutetea mafisadi yanayoiba rasilimali za umma kila kukicha.
 
Mwenye ushahidi kuhusu Riziwani apeleke mahakamani

kama yeye ana ushahidi wa kutohusika katika skandali zote za ufisadi zinazomhusu mbona alishindwa kutoa ushahidi. na kama unadhani unafahamu zaidi usafi wa mwanamfalme kuliko yeye anavyoufahamu, tangulia mahakamani na ushahidi ukamtetee.
 
All in all uongozi wa mzee JK umeiingiza nchi pabaya. Amewachekea wezi na wakwepa kodi. watu wame fanya watakavyo na yeye anaangalia tu. Kwakweli hiyo tu inatosha kuwaona wao pia waliiba. Wametutesa sana hawa jamaa

na alishirikiana na wezi wa EPA kuliibia taifa kisha wakampelekea fedha kupitia mlango wa nyuma. asidhani watanzania ni nyumbu.
 
kinachofanyika hapa ni majungu na kujadili mtu bila facts...

the so called wasomi mnajadili watu badala ya facts aha?

kwani hela za umma wanazoiba sio FACTS? ni facts gani unazotaka wewe nyumbu?
 
Sisi wananchi wa kawaida hatuna uwezo wa kutoa ushahid wa wazi kwa familia hii,tunaogopa rungu la kichwa
 
ENYI BAVICHA, KAMA HAMNA USHAHIDI NA MSEMACHO HUMU, ningewashauri MFUNGE matundu yenu yote ya miili yenu na mjikite kukijenga chama! Nionacho humu ni WIVU WA WATU WAZIMA. Mnasikitisha!

hivi BAVICHA tu ndio wana uchungu na nchi hii? tulia sindano ziwaingie nyie genge la wezi.
 
Hawa wakweree wanajidai wajanja kwa kukataa kuwa hawana mali walizowekeza kwa waarabu na wahindi; hawajui kwa kufanya hivyo wanawapa nafasi wakina Subash kuweza kuwadhulumu mali hizo na wao kushindwa kudai mahala popote kwani wamekana kuwa hawana mali!!! Mkae mkijua kuwa hao partners wenu wanangojea muda muafaka tu kabla ya kuwaliza.

wawalize mara ngapi mkuu? home shopping tayari wameishawaliza matrilioni ya shilingi.
 
Kama wanakuzushia mambo ya makontena yapeleke hayo magazeti mahakamani ili jamii ielewe ukweli. Pia huyo bwana Makonda kavunjiwa heshima naye ayashitaki hayo magazeti.

makonda kavunjiwa heshima au kajivunjia mwenyewe? ni nani alomtuma amfungie mwanamfalme kamba za viatu?
 
Nchi hii kweli ni ya watu wenye uelewa mdogo sana na waamini uzushi na majungu.Kila issue yenye utata ni lazima isukumiwe kwa Kikwete na familia yake.Watu wanatumia vyombo vya habari
kueneza chuki zao nna wivu kwa wananchi dhidi ya Mh.Kikwete na familia yake bila sababu za msingi.Ifike wakati hii hali ikome maana haina tija kwetu sisi wananchi wa kawaida.

habari hii haiwezi kuwa na tija kwako kwa kuwa wewe na genge lako mmezoea kuiba rasimali za taifa huku mkitaka wananchi tukae kimya. tulia sindano ziwaingie nyie mafisadi.
 
Nimesikia furaha sana kujitokeza kwa Ridhiwani Watanzania tunaka mtu kama Ridhiwani kasema ukweli kama kunaushahidi, wajitokeze kama kweli si majungu nakupongeza sana Ridhiwani
 
Riz kaanza, mwenye ushahidi atoe, ni vzr tuanzie hapo badala ya kuendelea kuishi kwa kutuhumiana

mbona yeye riz hakutoa ushahidi wakati anajitetea? acha kutetea upumbaFU mkuu.
 
nipeleke ushahidi gani kama haupo?. nyumbu ni nyumbu tu wanazaliana mara 2 kwa mwaka

mkuu, hata kama HUNA akili unapaswa ku-ACT kuwa nayo ili kuficha upumbaFU wako mbele ya kadamnasi.
 
We are tired. Marumbano hayana tija mh. Fuata nyayo za diamond usijibizane na news au kamata shitataki. Uchaguzi umekwisha. Rais wetu kasema kwenye salam za Christmas tupendane tupige kaz[/URL]

mkuu, utamfananishaje MWIZI (riz) na mjasiriamali (platinamz) anayetumia maarifa na akili zake kuvuna fedha kihalali? muombe radhi diamond na mashabiki wake. mbona una mawazo ya kike hivi?
 
Sijaona mpaka sasa aliekuja japo na punje ya ushahidi dhidi ya Ridhwan nnachokiona ni manyumbu yanahaha, yanahororoja na kubwabwaja bila mpango.

je, yeye riz amekuja na ushahidi gani zaidi ya makaratasi yaliyochafuka wino? fikiri kabla ya kuandika huu upuuzy wako.
 
Back
Top Bottom