tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,718
- 29,143
Jamaa alifumaniwa akatoka mbio uchi...kufika home wife anamuuliza kulikoni akasema amekutana na vibaka...wife kampa pole na kumuuliza na hiyo kondomu wamekuvalisha hao vibaka...jamaaa eti nimeinunua hapo dukani nijistili baada ya kuona niko uchi....sitarajii mtu atasimama asema ni kweli alishiriki kashfa ya makontena... Kama mtu kafumaniwa live lkn bado ana kataa huyo riz ndo atakubali
mkuu, kwa mfano huu kama kuna mtu hatakuelewa apelekwe milembe apate tiba.