Kabla ya kujikita katika ushabiki ni vyema kwanza tukajiuliza maswali kadhaa;
1. Mzee Mpakanjia ana ushahidi gani kuthibitisha madai yake?
2. Je masuala ya kulana "uroda" ambayo kwa kiasi kikubwa hufanywa kwa usiri Spika ana mamlaka ya aina gani nayo?
3. Kwa nini Mzee Mpakanjia asilipeleka suala hili kwa wazazi wa Bi Amina, kwani alipopeleka posa alipeleka kwa Spika?
Kama ushahidi ni "tetesi" mbona tumezisikia "tetesi" nyingi tu kuhusiana na Bi Amina sina haja ya kutaja majina kwani huwa mara nyingi sipendi kufanyia kazi udaku lakini nina majina ya wabunge wasiopungua 10 ambao naambiwa Bi Amina ameshawahudimia.
In that case where do we draw a line between private matters na public one?
Mtumwitu,
Nakubaliana na maadili yako. Lakini mbona ile picha yako si ya mwitu? (ha!ha!ha)
Wana Jambo,
Naomba wakati tunamjadili Zitto na Amina, mtambue kwanza kuwa Nchimbi ndie aliyemsaidia Amina kupata Ubunge. Inawezekana baada ya kutoa msaada malipo hayakufanywa.....
Issue: AC kumbukeni vilevile ni controversial figure. Angalieni na zingatieni kuwa kabla ya hapo alikuwa tayari na talaka mbili. Hii ni ya tatu ambayo ni talaka rejea, Mpakanjia akitaka kumuoa (kumrudia tena) inabidi kwanza aolewe na kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine. Kwanini alipewa hizo talaka 2 kabla?, ni swali hilo. La mwisho alipewa kwa kuhusishwa na Salimu Chicago yule kada wetu maarufu au salimu matelephone. Inadaiwa kuwa Mumewe aliiuza gari alilomnunulia (rav 4 milango mitatu), hiyo gari alinunua Fikirini madinda akampa mpenzi wake Aisha Madinda yule mnenguaji wa Twanga pepeta. AC akakasirika, yeye kuwa na gari isiyo na hadhi na lake kutumiwa na Mnenguaji. Talaka ya kwanza sijui alitembea na nani!!!?!!!.
FD
Sasa inawezekana mumewe ana wivu sana au ndio tabia yake au Dr Nchimbi amemsingizia kwa sababu AC alitaka kugombea UV CCM taifa!!!! fikirieni nini kingetokea kama huyu dada angepata uwenyekiti!!!!.
Nchimbi.... Nchimbi....