Mzee Mugongo mugongo, heshima mbele bro kwa kuweza kuongeza heshima ya forum, maana yako sio mawe ila ni kokoto, na keep it up bro!
Mzee TZ njema,
Mugongox2 has nothing to do na any gazeti wala media outlet za bongo, ninamfahamu in the real life ndio maana ninashangaa ninapoona anpachikwa majina na maneno kibao ambayo wala hahusiani nayo, nafikiri tuache tabia ya kusema hapa kwenye forum bila ya kuwa na ukweli kuhusu watu tusiowajua,
I am amazed na jinsi watu wanavyoweza ku-create maneno yasiyokuwa na ukweli kuhusu wengine, na baadhi yetu wakaamini, I mean Mugongo au kwa jina lake maarufu Songombwingo, anahusiana nini na magazeti na Zitto? Pleaseee!
Kuhusu hii ishu ninasema kwamba ni halali kuizungumzia hapa na popote pale Tanzania, maana ni lazima tujue kesho na kesho kutwa, tutawapaje hawa wabunge wa wawili madaraka ya kuamua mambo muhimu ya taifa letu, wakati tayari tunajua kuwa ni wadhaifu, kwa mfano Tanzania tumeamua kumpa ac au Zeeee madaraka ya kutuamulia kama taifa kama tujiunge na EAC au tusijiunge nayo, sasa ni wazi kabisaa kuwa kama Kenya wanaitaka zaidi EAC, watampa ac mwanaume ili aamue kwa kuwapendelea, au kama ni Zeee watampa kimwana aaamue kwa upendeleo wa nchi hiyo, huku sisi tukiumia,
I mean wewe kweli ngono iliyomfanya Mungu amfukuze Bin-Adam na Eva kule Paradise, unasema ni ishu ya binafsi? Then why the creator wa life na dunia hakusema hivyo, kuwa hii ishu ni ya binafsi? Yes, kwa maneno yenu hayo munamuita the creator, yaani God kuwa ni mjinga kwa kuisambaratisha Sodoma na Gomora, si wote tunajua kuwa chanzo chake kilikuwa ni nini kama sio ngono? Kwa nini hakusema hiii ni ishu ya binafsi kwa hiyo Noah tengeneza boti kila mtu aingie, no wale mabingwa wa ngono hawakuingia kwenye ile boti bro! Ninasema hii ishu ni valid na ni yetu as a nation, we are not about ku-create taifa la wazinzi, anayetaka kuendelea na huo uzinzi ni lazima aufanye kwa siri, lakini tukijua na ni kiongozi wetu wa taifa, tutamvua nguo hapa hapa, msituambie kuwa waziri wa Liberia aliyejiuzulu majuzi baada ya picha zake kuwekwa nje alikuwa mjinga, na huyu naibu wa Condoleeeza-Rice, aliyejiuzulu majuzi kwa kutuhumiwa kupewa massage tu naye ni mjinga je angekula kama huyu Zeee ingekuwaje? Rais wa benki ya dunia antaka kuuwekwa nje kwa sababu tu ya kumpandisha cheo kimada wake leo mnasema eti ni ishu binafsi?
Huyu ac anapenda sana ujiko, mimi ninamlinganisha na Paris Hilton celebrity for nothing, na pia ni lazima nii-question system ya ccm ya kuwachagua wagombea wake wa ubunge, how in the world unaweza kumpitisha huyu denish ambaye toka aingie imekuwa ni aibu tupu, kwanza akadai kuwa bendi ya academia ni bora kuliko Twanga, mbunge mzima wa taifa, next ikawa wauza unga, halafu mbunge mzima wa taifa haelewi dressing code ya bunge la taifa, sasa ngono na mtu ambaye si mumewe mbunge mzima wa taifa, what the hell is going on na hili taifa?
I mean this en thing, yaani total waste, the guy is a big joke to the point alishafikia mahali akadhani anaweza kuwa Veeep wa ccm, mikono yake imejaa damu kwa ajili ya madaraka, sasa ungetegemea kuwa baaada ya kupewa makali yake na Muuungwana, kwamba atabadilika, kumbe bureee waziri wa nchi anafanya nini na kuwaandikia wananchi talaka kwa wake zao ambao ni wabunge? angekuwa Spika ningeelewa kuwa kwa sababu ni mkuuu wa kazi wa mke, Muuungwaana it is about time ukaanza kuwapumzisha mapema hawa nanga ambao tunajua kuwa unataka kuwatema kabla ya uchaguzi, WHy not now?
Mpakanjia ni mtoto wa kunyumba, lakini damn what is this?