Karibuni Wote Regia Mtema Day: Monday 14th Jan 2013; Peacock Hotel

Karibuni Wote Regia Mtema Day: Monday 14th Jan 2013; Peacock Hotel

yote ni ya kheri, kikubwa roho yake iwe pema peponi!! heri na baraka ziwe katika siku hiyo! jamani mjitokeze kwa wingi, ningekuwa dar ningehudhuria!

Umeenda wapi mamito. nilikutegemea mamy
 
umeenda wapi mamito. Nilikutegemea mamy
vimajukumu mamii nje ya dar! Lakini si neno, i knw watu wenye mapenzi mema wengi tu watakuja! Mi naiombea siku iwe ya kheri bila vikwazo, kila kitu kiende sawa! Tupo pamoja my dear!
 
Imepangiliwa vizuri sana!!! Wakubwa wa 2015 lazima wapigane vikumbo pale hata kusalimia tu wananchi!!!!
Pascal Mayalla usimpe mwaliko mtarajiwa wako bana!
 
Last edited by a moderator:
nimepokea the same email leo asubuhi nikawa naitumbulia macho tu:confused2:
 
vimajukumu mamii nje ya dar! Lakini si neno, i knw watu wenye mapenzi mema wengi tu watakuja! Mi naiombea siku iwe ya kheri bila vikwazo, kila kitu kiende sawa! Tupo pamoja my dear!.....

Asante mpenzi! Tunaamini tutaifanikisha.
 
Siku ya Jumatatu; tarehe 14 January 2013 ni siku ambayo Regia Mtema Foundation imeitenga maalumu kwa ajili ya kumbukumbu ya Regia Mtema. Katika siku hii maalumu wote mnakaribishwa Peacock Hotel ambako kutakuwa na maada mbalimbali zitakazowasilishwa na kujadiliwa kama alivyozisimamia Regia. Katika siku hii maalumu wageni na wadau mbalimbali wamethibitisha kushiriki.

Hafla hii maalumu itaanza saa 9.00 Alasiri na kumalizika 2.00 usiku na kisha kufuatiwa na chakula cha usiku. Ratiba kamili itahusisha matukio yafuatayo:


  1. Historia ya Regia itakayowasilishwa na Mh. David Kafulila
  2. Mada juu ya Rushwa itakayowakilishwa na Takukuru
  3. Ulemavu Siyo Kutoweza itakayowasilishwa na Bi Shida Salum - Mwenyekiti CHAWATA
  4. Nafasi ya Kijana katika kuchochea maendeleo na demokrasia - Mh. January Makamba
  5. Majadiliano
  6. Documentary za Regia Mtema
  7. Remarks kutoka kwa Mh. Zitto Kabwe; Mh. John Mnyika na Hussein Bashe na Mzee Mtema
  8. Chakula cha jioni
  9. Networking

Wasimamizi wa hafla hii watakuwa: Pascal Mayalla na Lara Williams

Thibitisha kuhudhuria kwako kwako kupitia number: 0713 694 820

CC: Pasco; lara 1; Mzee Mwanakijiji - Naomba msambaze mwaliko huu.

Wasalaam

Sanctus Mtsimbe
Mwenyekiti; Regia Mtema Foundation
Sokoine Drive/Pamba Road
Opposite Luther House or Life House/Tancot House;
2[SUP]nd[/SUP] Floor; Left Wing (3rd Floor including Mezanine)

........Regia ana historiaa !? ......na Documentary !? :confused2:
nahisi mnataka kuwa bize tuu !
 
........Regia ana historiaa !? ......na Documentary !? :confused2:
nahisi mnataka kuwa bize tuu !

You cant be serious........huyu Dada alizaliwa akaishi na hatimaye akafariki........unadhani hiyo haitoshi kuwa historia?.....BTW lazima uelewe alikuwa mbunge pia........na kulikuwa na kitu inaitwa K4C ambayo aliianzisha marehemu...haya hayatoshi kufanya documentary?
 
You cant be serious........huyu Dada alizaliwa akaishi na hatimaye akafariki........unadhani hiyo haitoshi kuwa historia?.....BTW lazima uelewe alikuwa mbunge pia........na kulikuwa na kitu inaitwa K4C ambayo aliianzisha marehemu...haya hayatoshi kufanya documentary?

........sioni athari yeyote aliyoacha, naamini huwezi kunishawishi kwa historia ya ubunge wa kuteuliwa !
mpo serious kuwa ana documentary, aiseeeh !?
........ni mtazamo tu ! 😱hwell:
 
........sioni athari yeyote aliyoacha, naamini huwezi kunishawishi kwa historia ya ubunge wa kuteuliwa !
........ni mtazamo tu ! 😱hwell:

Muhimu ni kipi? Namna mtu alivyopata ubunge (Lusinde?) au namna alivyotumikia umma au waliomteua au kumchagua? "Athari" gani unazozizungumzia?......BTW alikuwa mbunge kwa kama mwaka mmoja tu (Dec 2010-January 2012).....but she influenced many including myself...her physical challenges notwithstanding!
 
Back
Top Bottom