Unataka Kongosho aue mtu? mi simo! hahahaha, but kwa kweli hapo pekundu ...
The Boss Mwenyewe kimyaaaaa...
Undugu wenu upi, leta vipimo vya DNA
AshaDii umeona hii warning haya sasa wewe na RR jaribuni kumgusa Boss muone...lol
Ngoja Kongosho aje akuulize vizuri huo undugu wa Boss...lol.
Next time nitaweka camera za kuwafuatilia...lol
Leo Kongosho kaamua sijui sweetie wako naye kaenda kwenye kale kanyumba ndogo kake maana ni siku ya 10 kama sio mwezi haonekani nyumbanihahahaha!!! Weee Kiboko! Much RESPECT...... Hata hivo i don't believe in incest even if mmoja wetu is adopted.....
PA now i know you meant good aiseee..... lol....
Wapi Sweetie aje anitetee kua roho yadundia kwake tu! Dah.... Lol
Wapi Sweetie aje anitetee kua roho yadundia kwake tu! Dah.... Lol
Lol....sasa Boss naye yuko wapi mbona kauchuna au anaogopa kesiTena wanazidi kunipandisha hasira, alikuwa stoo namlaza kwenye banda la ng'ombe hadi asubuhi
I am sorry mamaa, mi nilisema mapema tu, hawakuniskia... Kwanza AshaDii alinambia eti na wewe unakuja ndio nikakubali kuwasindikiza, tulipofika huko hata jinalako sikuruhusiwa kutaja tena. NIlipoona unamtafuta nikawakumbusha ila wakajifanya hawaskii... Mi simo kwa kweli...@AshaDii na RussuanRoulette
You are playing with fire, mkigusa hiyo kitu nahakikisha napoteza viungo vyenu vyote muhimu.
Heee, nimemuogesha kaanza kupendeza eti mwataka mfanyeje?
Namjua vituko huwa haviishi kwake lakini nikimfukuza anaanza kulia.
Keshanisimulia yoote mlofanya, leo analala stoo for 2hrs.
Leo Kongosho kaamua sijui sweetie wako naye kaenda kwenye kale kanyumba ndogo kake maana ni siku ya 10 kama sio mwezi haonekani nyumbani
Kwa kweli akutetee tu, mzaha mzaha hutumbuka usaha, nahangaika kulea, namwekea hadi mbolea ili astawi.
Ukorofi wake hutegemea kuandama kwa mwezi nishauzoea
I am sorry mamaa, mi nilisema mapema tu, hawakuniskia... Kwanza AshaDii alinambia eti na wewe unakuja ndio nikakubali kuwasindikiza, tulipofika huko hata jinalako sikuruhusiwa kutaja tena. NIlipoona unamtafuta nikawakumbusha ila wakajifanya hawaskii... Mi simo kwa kweli...
But in my capacity of "not dada yake" nilienjoy his company. niseme tu ukweli.
Anakurusha roho huyo, usichukulie. Ukute ni mpango wake na Kongosho kukuharibia siku!Dah!! Ulikua wapi siku zooooote hizi kuniambia? Dayme!!! Hii post ni tosha kabisa mie kutafuta sleeping pills zipo pande gani na kutangaza nia ya Mzungu wa nne.
Lol....sasa Boss naye yuko wapi mbona kauchuna au anaogopa kesi
Dah!! Ulikua wapi siku zooooote hizi kuniambia? Dayme!!! Hii post ni tosha kabisa mie kutafuta sleeping pills zipo pande gani na kutangaza nia ya Mzungu wa nne.
Sijakugeuka Alter ego. Ni kweli kabisa, na kama unataka nikuitie yule dada muhudumu alituamua wakati nilianza kukwambia kua Mr. anatafutwa. Nilikwambia mapema, kama ni vya kufichama tule kidogo turudi kesho. we ukataka tukae a whole week!Khaaa!! (with my face in an angry Frown...lolz):shock:
Roulette kigeu geu...
Roulette kigeu geu...
Endelea kukaza...lol...Ukimuona hapa analia eti nimsamehe kwanza, hawezi hata ongea.
Sijui nimsamehe?
Msamehe tu, ni vitu vinatokea. Ila mwambie kuna kitu nilisahau mfukoni mwake... please.Ukimuona hapa analia eti nimsamehe kwanza, hawezi hata ongea.
Sijui nimsamehe?
Huyu atakuwa kapata vile vitu kama vya Asprin..Uko sawa mkuu? Au ijumaa ishakaa mahali pake?
Tobaaaaa......Msamehe tu, ni vitu vinatokea. Ila mwambie kuna kitu nilisahau mfukoni mwake... please.