Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
huo msosi wa kwanza ni mchanganyiko wa nini,maana kama naona nyama vile au?Hahahahaha mie tena mtoto wa kizanzibari mie nsijue kupika hivo?..labda kusonga ugari ndo sijui
huo msosi wa kwanza ni mchanganyiko wa nini,maana kama naona nyama vile au?Hahahahaha mie tena mtoto wa kizanzibari mie nsijue kupika hivo?..labda kusonga ugari ndo sijui
huo msosi wa kwanza ni mchanganyiko wa nini,maana kama naona nyama vile au?
lol kachori hata sijui,hiyo familia yako lazima kuna mwenye kitambiMishkaki.badia na kachori
lol kachori hata sijui,hiyo familia yako lazima kuna mwenye kitambi
Wala hatuna vitambi...
hujui kachori utaijua bajia ya kunde wewe?lol kachori hata sijui,hiyo familia yako lazima kuna mwenye kitambi
hujui kachori utaijua bajia ya kunde wewe?
Laah, udenda umentoka.
hahaaaaaaaaaa umenichekesha wewe
hahahaha lol!!! unakuchuruzika ushungi wote umejaa denda....chepechepe
sijui kweli,bajia au bagia?hujui kachori utaijua bajia ya kunde wewe?
mie naomba bajia na kachori tu kisha nipatie na glass ya togwa kama ipo au maji ya ukwaju 🙂🙂
mie naomba bajia na kachori tu kisha nipatie na glass ya togwa kama ipo au maji ya ukwaju 🙂🙂
Zote zote na badia pia.sijui kweli,bajia au bagia?
Hahahahaha wewe je? Au hupendi urojo wewe?
Huo unaenda kwa juice ya miwa au mabungo.
sijui kweli,bajia au bagia?
Hahahahaha kumbe wewe ni mpemba? Lol
Mhhhh! nitachagua baadhi tu hapo mbona sioni mikate ya maji!? hebu andika kila kitu kilichopo hapo.