Korogwe ni kama haiendani na mkoa wa Tanga vile , korogwe wako kushoto ni watu wa kaskazini .Habari wakuu.
Hii taarifa imesemwa bungeni jana kama itafanikiwa itakuwa hatua nzuri sana kwa Wananchi wa Tanga na Maendeleo ya Tanga Korogwe
. Karibuni tunadili
Habari wakuu.
Hii taarifa imesemwa bungeni jana kama itafanikiwa itakuwa hatua nzuri sana kwa Wananchi wa Tanga na Maendeleo ya Tanga Korogwe
Karibuni tunadili
Umefika lushoto?Korogwe ni kama haiendani na mkoa wa Tanga vile , korogwe wako kushoto ni watu wa kaskazini .
Sahihi kabisaKorogwe ni kama haiendani na mkoa wa Tanga vile , korogwe wako kushoto ni watu wa kaskazini .
Nimefika na pia nimekaaUmefika lushoto?
Kule ndio kaskazini kabisa