Karibuni kula

Karibuni kula

Hahahaha na ile pilipili mbuzi je?
Mwenzio siku hizi mepata mtindo wa kupenda ugari hadi wananishangaa kumbe nafatia samaki tu lol
Ha ha ha we huachi unialike ukipika ile supu ya pweza nami nataka huo ugari sijui ukwaju!!!
 
Ha ha ha we huachi unialike ukipika ile supu ya pweza nami nataka huo ugari sijui ukwaju!!!

Haahaah UKALI shosti...ntakualika usijali ile supu hii hapa una bahati sijaifuta..nliitia ndimu ikakolea hasa..
 

Attachments

  • 1382185421451.jpg
    1382185421451.jpg
    43.1 KB · Views: 61
Urojo ni dawa ya kukuza makalio. Du kumbe na. Mkuyati majirani wataitani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom