Karibuni kula

Karibuni kula

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,922

Attachments

  • 1382121169409.jpg
    1382121169409.jpg
    9.2 KB · Views: 701
  • 1382121184289.jpg
    1382121184289.jpg
    94.5 KB · Views: 650
  • 1382121204070.jpg
    1382121204070.jpg
    16.2 KB · Views: 567
Last edited by a moderator:
vyakula kama hivi vyenye visupu vitamu balaa...........mke nitakayekuja kumwoa nitampima kwanza kwa mapishi,maana warembo wa siku hizi vitandani noma ila mapishi ziro.

huo mchuzi unatakiwa uchovye na chapati...........kudadeki nikiona visupu kama hivo natamani mungu ashushe gunia la chapati hapo pembeni
 
Hahahahaha na huyo mkeo ataota vigimbi kwa kukanda chapati lol..
 
Urojo hauliwi na chapati, weye vipi? Utajan'tia shida n'keo kwa kuchanganya mambo!
vyakula kama hivi vyenye visupu vitamu balaa...........mke nitakayekuja kumwoa nitampima kwanza kwa mapishi,maana warembo wa siku hizi vitandani noma ila mapishi ziro.

huo mchuzi unatakiwa uchovye na chapati...........kudadeki nikiona visupu kama hivo natamani mungu ashushe gunia la chapati hapo pembeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom