- Thread starter
- #81
usije ukanisingizia tu
Kisa na mkasa...sitoi sadaka hii naniliu so alienipa namjua tu..
usije ukanisingizia tu
Umenipatia haswa shost tena ule ulotiwa pilipili kwa mbali mhhhh😛op2:Ubuyu...haahahahah hapa mimi49 humtoi na Heaven on earth
Umenipatia haswa shost tena ule ulotiwa pilipili kwa mbali mhhhh😛op2:
We leo unaplan wengine tushibie hapahapa maana wanikumbusha mwezi wa ramadhani na kaimati za shira hizo ukiitafuna sukari inatoka pufff....dahhhhhhKaimati pia zipo hapa BAK
Wabara wanaita kalimati na wewe!!Hahahahaa ni kaimati not kalimati
We leo unaplan wengine tushibie hapahapa maana wanikumbusha mwezi wa ramadhani na kaimati za shira hizo ukiitafuna sukari inatoka pufff....dahhhhhh
haya nataka na rosti la maini na mafigo lile kavukavu lilowekwa pilipili hoho sio chururu!Mikate ya maji hii hapa...
Aisee mabungo na vitoria ukitia pilipili masala na chumvi...utamu wake utausikilizia mpaka kwenye kichogo..kisha ukoroge kwa kidole cha shahada halafu unakula tumba moja moja kwa staha uwiiiiiiHapo umeniacha hoi, mabungo nimekula sana shule ya msingi na sekondari lakini sikuwahi kunywa juice yake.
Eti mikate ya maji inatiwa kitunguu swaumu??ninavyojua mm mikate ya maji ya chumvi inaweza kutiwa kitunguu maji kwa mbali kuongeza ladha na kukata harufu ya mayai kama hupendezwi nayo lakini ile mikate ya maji ya kunyunyuiziwa sukari juu huweki kikorombwezo chochote ni main ingredients tu unga,maji,mayai then unauchoma kisha ukiuepua unanyunyuizia sukari kwa juu inayeyukia hapoo:hungry:Nilikuwa na jirani Mzenj yeye alidai mikate ya maji bila kitunguu swaumu huwa hainogi nilimshangaa sana, lakini mapishi hutofautiana hapa na pale huyu anatia hiki na yule anakwambia hiki sitii. Nimewahi kuila hiyo yenye kitunguu swaumu, sikuipenda sana kama isiyokuwa na kitunguu swaumu.
ukipewa ugali hapo utakula na nini?Eheee, sasa UKALI uko wapi?
Hahahaha unakulaje mikate ya maji? Me natia asali ndio kama mchuzi wake
rMie napenda ile ya mayai tu haijawekwa kingine chochote once in while naweza kutumia pia asali. Hiyo ya kuweka carrot ndio nasikia kwa mara ya kwanza leo.
i'm sorry mkuu sijui UKALI ndo mana nikadhani ugali
Ukali nimesaga na pilipili pamoja
Katlesi