Karibuni kula

Karibuni kula

Ile pili pili uliyoniambia namna ya kuitengeneza inafanana hivi hivi tamu sana aisee!!! next time nataka nitumie ukwaju badala ya embe I hope nayo itakuwa bomba. Niliwahi kula mahali yenye ukwaju niliipenda sana.


Ukali nimesaga na pilipili pamoja.... Excellent huo ndio UKALI
 
Hahaahha usijali..karibu

Honestly sitanii, sasa hivi naelekea pale Exim bank, mlandege karibu na msikiti kuna sehem wanatengeneza urojo. Nimeitaza hiyo picha inanichanganya. Ukiona niko offline kuanzia sasa hivi jua najiliwaza na Urojo. Mtu asinitilie wivu jamani..............
 
Mkate wa ufuta...
 

Attachments

  • 1382182950839.jpg
    1382182950839.jpg
    43.4 KB · Views: 33
Hahahahah lol!!!! udenda unakuchuruzika kwa kutamani urojo LOL!!!! Haya enjoy urojo wako 🙂🙂

Honestly sitanii, sasa hivi naelekea pale Exim bank, mlandege karibu na msikiti kuna sehem wanatengeneza urojo. Nimeitaza hiyo picha inanichanganya. Ukiona niko offline kuanzia sasa hivi jua najiliwaza na Urojo. Mtu asinitilie wivu jamani..............
 
Honestly sitanii, sasa hivi naelekea pale Exim bank, mlandege karibu na msikiti kuna sehem wanatengeneza urojo. Nimeitaza hiyo picha inanichanganya. Ukiona niko offline kuanzia sasa hivi jua najiliwaza na Urojo. Mtu asinitilie wivu jamani..............

Haaahhahha na mie najaaa pale napafahamu sana brother wangu alikua ananipeleka pale nakua mpaka wana urojo mzuri sana pale si karibu na kwality supermarket na judaz mbele kidogo kama unaenda bwawani pana ofisi ya emmirates
 
Honestly sitanii, sasa hivi naelekea pale Exim bank, mlandege karibu na msikiti kuna sehem wanatengeneza urojo. Nimeitaza hiyo picha inanichanganya. Ukiona niko offline kuanzia sasa hivi jua najiliwaza na Urojo. Mtu asinitilie wivu jamani..............
Haya kula na part yangu mie pia!!!
 
Ile pili pili uliyoniambia namna ya kuitengeneza inafanana hivi hivi tamu sana aisee!!! next time nataka nitumie ukwaju badala ya embe I hope nayo itakuwa bomba. Niliwahi kula mahali yenye ukwaju niliipenda sana.

Jaribu ila ya ile ya embe ni best....
Alafu ukwaju utakupa shida kutoa makokwa..
 
Mhhhh!!! 🙂🙂 Halafu uje hapa kulalama unatafuta namna ya kuondoa kitambi...Cheza mbali na kitambi banaaaa kinaharibu kabisa shape ya mdada.
Sasa jamani mahanjumati yote haya!!mhhhh ndio maana namezea mate tu :eyeroll1:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah vitu adimu vinavyotia nguvu sana ya heshma ya nyumba kwa wanaume.
 
Honestly sitanii, sasa hivi naelekea pale Exim bank, mlandege karibu na msikiti kuna sehem wanatengeneza urojo. Nimeitaza hiyo picha inanichanganya. Ukiona niko offline kuanzia sasa hivi jua najiliwaza na Urojo. Mtu asinitilie wivu jamani..............

Alafu unapafaham pale gongoni pana urojo mzuri kule forodhani karibu na hoteli ya mercury..
 
Ngoja nitaulizia kwa huyo niliyekula hiyo pilipili makokwa alitoa vipi. Hiyo niliyotengeneza inayofanana na hiyo ya kwako hapo juu nilitumia embe, bomba sana kwa kila kitu. Last weekend nilitengeneza nyama ya kuchoma na hiyo pilipili weeeee!!! unaweza ukatafuna vidole vyako 🙂🙂

Jaribu ila ya ile ya embe ni best....
Alafu ukwaju utakupa shida kutoa makokwa..
 
Ngoja nitaulizia kwa huyo niliyekula hiyo pilipili makokwa alitoa vipi. Hiyo niliyotengeneza inayofanana na hiyo ya kwako hapo juu nilitumia embe, bomba sana kwa kila kitu. Last weekend nilitengeneza nyama ya kuchoma na hiyo pilipili weeeee!!! unaweza ukatafuna vidole vyako 🙂🙂

Hahahaha mie ndo mana nakupenda ndugu BAK yaani unaelewaaa ukielekezwa mapishi...sasa ile recipe nlokupa ya bagia za dengu ulipika?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nitaulizia kwa huyo niliyekula hiyo pilipili makokwa alitoa vipi. Hiyo niliyotengeneza inayofanana na hiyo ya kwako hapo juu nilitumia embe, bomba sana kwa kila kitu. Last weekend nilitengeneza nyama ya kuchoma na hiyo pilipili weeeee!!! unaweza ukatafuna vidole vyako 🙂🙂

Au uroeke ukwaje na maji kwa mda kidogo...alafu itakua rahisi kutoa makokwa coz utalainika.maji yasiwe mengi weka thomu,chumvi,pilipili na kotmiri then unasaga kwa blenda hiyo sana hutaarisha kwa ajili ya mishkaki nkitaka kula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom