Karibu Njombe,Virgin Southern land

Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
Safi mkuu, mwisho wa mwaka ninapita huko kusini ngoja niiweke kwenye ratiba yangu aisee
Naomba kujua ABCs kuhusu miundombinu ya barabara na umeme kama ni mizuri
 
Miundo mbinu haijawahi kuwa changamoto...sehemu zote za huu mkoa zinafikika,kwa kiasi kikubwa mkuu...pia nia mkoa mpya una fursa nyingi...nimezunguka baadhi ya mikoà hata ile mikongwe maisha ya hapa hayajanifukuza kwakweli...
 
Nikamee pande hzo wakati nasoma chuo Agafiro... kitu ambacho kinanisumbua huko ni baridi ya milele...
 
Hiyo no pack house ya avocado tayari kwa kwenda nchi za ulaya na hapo Gari hiyo ndio inapakia kutoka kwenye cold room kwenda kwenye refrigerated truck kwenda bandarini.
 
IMG_20170614_115729.jpeg
 
Kwasasa hivi bei ya parachichi aina ya hass ni kati tsh 1000-1225 kwa kilo kwa daraja 1-6
 
Miundo mbinu haijawahi kuwa changamoto...sehemu zote za huu mkoa zinafikika,kwa kiasi kikubwa mkuu...pia nia mkoa mpya una fursa nyingi...nimezunguka baadhi ya mikoà hata ile mikongwe maisha ya hapa hayajanifukuza kwakweli...
asante mkuu nitafika huko mwisho wa mwaka nije kuona fursa aisee
nilime apples
 
Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
usinikumbushe, ni sehemu zenye wanawake wenye visimi vikubwa hahaaha. hadi raha. ila wako busy kuoga shida, wanatafuta maisha kama wanaume vile.
 
Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
Naja mkuu
 
Back
Top Bottom