Kwa nyongeza tu ni kwamba eneo salama kuishi binadamu kwa maana ya hali ya hewa ni Nyanda za juu kusini kwa ujumla wake, humo sasa ukianza na ukanda wa Njombe, Mufindi, Uporoto Mby,Kilolo. Nje ya hapo ni Lushoto, Rondo,klm na A town, sana sana ni Heru juu.Baadhi ya Mazao utayoweza kulima njombe
*Mahindi
*maharage
*viazi mviringo
*kabichi na jamii zote za mboga za majani
*maparachichi
*Maua ya Rose (uwemba)
*mashamba ya miti
* Ma Apple
*ma pinikesi
Alafu mpuuzi mmoja anafananisha njombe na ifakara hahahahaa alafu hajui njombe inaanzia wapi na kuishia wapi
Karibu sana Njombe.