Karibu Njombe,Virgin Southern land

Karibu Njombe,Virgin Southern land

Ntakaribia kupanda shamba la miti ili liwe penshen yangu ya uzeen,maana miaka inazd kusonga sina asset ya uzeen mkuu
 
Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
Njombe wanawake wananunua mapazia ya dirishani na kuyashona kuwa nguo za kuvaa ikiwemo skirts na magauni,Njombe ambako muda wote wanawake wanavaa viatu vya raba(aina ya Nike) kutonana na ukosefu wa viatu vya kisasa na uchumi duni,Njombe ambako wananchi wake hawali chakula aina ya wali hadi krismas,Njombe ambako Guest house ni nyingi kuliko nyumba za makazi(pale mjini)
Kule Ludewa huwa na njaa hadi watu wanaishi kwa kunywa ulanzi tu kutokana na upungufu wa chakula.
Njombe ukilima miti kisha wazawa wanaichoma moto kwasababu ya wivu wa kijinga.Wapi pale Njombe sipajua??
 
Njombe hahahahhahahaaa Nimefika hadi Lujewa, dah kuna mazingira ni mazuri hutaamini kuwa uko Tanzania. Nimependa sana ile nchi mwili unafaa kusisimka aisee nikikumbuka kule mahala
Ludewa Mkuu sio Lujewa labda Rujewa iliyoko Mbeya.
 
Nmekaa njombe pande za nyumbanitu,itulike na ibumila I had good moments...watu wa njombe wakarim sana
 
Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
Mkuu Ahsante siku moja nilikuwa nikisafiri nkapita hapo Njombe Stand aisee nilinunua nyama choma ya buku 4 aisee nilitafuna mpaka meno yakawa yananiuma kweli njombe maisha nafuu sana
 
Njombe wanawake wananunua mapazia ya dirishani na kuyashona kuwa nguo za kuvaa ikiwemo skirts na magauni,Njombe ambako muda wote wanawake wanavaa viatu vya raba(aina ya Nike) kutonana na ukosefu wa viatu vya kisasa na uchumi duni,Njombe ambako wananchi wake hawali chakula aina ya wali hadi krismas,Njombe ambako Guest house ni nyingi kuliko nyumba za makazi(pale mjini)
Kule Ludewa huwa na njaa hadi watu wanaishi kwa kunywa ulanzi tu kutokana na upungufu wa chakula.
Njombe ukilima miti kisha wazawa wanaichoma moto kwasababu ya wivu wa kijinga.Wapi pale Njombe sipajua??

Mtu anaweza kuwa duni akamudu kununua raba na mapazia na akaweza kulipia mashono kwa fundi? Hivi wali ndio kipimo cha uchumi, usukumani/ukuryani anayekula wali huonekana vipi? Ukienda Kigoma ukakutana na ugali wa lowe utasemaje? Sijui kama utafiti wako wa watu kushindia Ulanzi ulikuwa na sampo ngapi. Hivi misitu yote ya Njombe inayotoa mbao kila siku imeoteshwa kwa siku moja?

Changamoto zipo kila sehemu, lakini si kwa kiwango ulichosema. Yawezekana Njombe siijui.
 
Njombe wapi sipajui pale? Napajua kuanzia Njombe madeke,Lupembe,ukalawa,Ikondo,kuanzia Njombe town hadi Igosi,Kuanzia kibena hadi makambako,kuanzia Njombe town hadi Ludewa,lugalawa.Njombe bado sana kimaendeleo na uwekezaji pale

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Njombe wanawake wananunua mapazia ya dirishani na kuyashona kuwa nguo za kuvaa ikiwemo skirts na magauni,Njombe ambako muda wote wanawake wanavaa viatu vya raba(aina ya Nike) kutonana na ukosefu wa viatu vya kisasa na uchumi duni,Njombe ambako wananchi wake hawali chakula aina ya wali hadi krismas,Njombe ambako Guest house ni nyingi kuliko nyumba za makazi(pale mjini)
Kule Ludewa huwa na njaa hadi watu wanaishi kwa kunywa ulanzi tu kutokana na upungufu wa chakula.
Njombe ukilima miti kisha wazawa wanaichoma moto kwasababu ya wivu wa kijinga.Wapi pale Njombe sipajua??
Hiyo njombe nyingine....itakua malawi!umechanganya
 
Njombe wapi sipajui pale? Napajua kuanzia Njombe madeke,Lupembe,ukalawa,Ikondo,kuanzia Njombe town hadi Igosi,Kuanzia kibena hadi makambako,kuanzia Njombe town hadi Ludewa,lugalawa.Njombe bado sana kimaendeleo na uwekezaji pale

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Tatizo uelewa...ndio maana hatuwez kubishana sana...hata maeneo uliyotaja yanaashiria huijui njombe...muulize ole sendeka
 
Mkuu pamoja na fursa zote ila kiukweli Njombe Ngoma inauwa sana ivyo maeneo yenu uko sio pahala salama kwa macheck Bob tatizo sijua hasa ni nini?
 
Njombe wapi sipajui pale? Napajua kuanzia Njombe madeke,Lupembe,ukalawa,Ikondo,kuanzia Njombe town hadi Igosi,Kuanzia kibena hadi makambako,kuanzia Njombe town hadi Ludewa,lugalawa.Njombe bado sana kimaendeleo na uwekezaji pale

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app

Sasa unalinganisha Njombe na wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom