Tatizo uelewa...ndio maana hatuwez kubishana sana...hata maeneo uliyotaja yanaashiria huijui njombe...muulize ole sendeka
Sijui mwenzetu analinganisha Njombe na wapi sijui.
Tatizo uelewa...ndio maana hatuwez kubishana sana...hata maeneo uliyotaja yanaashiria huijui njombe...muulize ole sendeka
KamweneNjombe wanawake wananunua mapazia ya dirishani na kuyashona kuwa nguo za kuvaa ikiwemo skirts na magauni,Njombe ambako muda wote wanawake wanavaa viatu vya raba(aina ya Nike) kutonana na ukosefu wa viatu vya kisasa na uchumi duni,Njombe ambako wananchi wake hawali chakula aina ya wali hadi krismas,Njombe ambako Guest house ni nyingi kuliko nyumba za makazi(pale mjini)
Kule Ludewa huwa na njaa hadi watu wanaishi kwa kunywa ulanzi tu kutokana na upungufu wa chakula.
Njombe ukilima miti kisha wazawa wanaichoma moto kwasababu ya wivu wa kijinga.Wapi pale Njombe sipajua??
Wewe si unasema Njombe ni pazuri,Mimi nakwambia Njombe bado sana kimaendeleo,hapalingani hata na Ifakara pamoja ya kuwa Njombe ni mkoa na Ifakara ni wilayaniSasa unalinganisha Njombe na wapi mkuu?
Ole sendeka kenda mwaka jana kuwa RC Mimi nimeishi Njombe kwa miaka zaidi ya 10Tatizo uelewa...ndio maana hatuwez kubishana sana...hata maeneo uliyotaja yanaashiria huijui njombe...muulize ole sendeka
Duh...mzee njombe unaifahamu kweliWewe si unasema Njombe ni pazuri,Mimi nakwambia Njombe bado sana kimaendeleo,hapalingani hata na Ifakara pamoja ya kuwa Njombe ni mkoa na Ifakara ni wilayani
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Uliondoka liniOle sendeka kenda mwaka jana kuwa RC Mimi nimeishi Njombe kwa miaka zaidi ya 10
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Kwake mahali penye maendeleo ni kuona maghorofa. Fursa za uwekezaji katika kilimo, zinataka sifa kama za Njombe, sijui jamaa ni wa wapi huyo.Sasa unalinganisha Njombe na wapi mkuu?
Unataka maendeleo ya kujengeka makazi??? Huyo jamaa anazungumzia fursa za kuwekeza katika kilimo mkuu. Na sehemu ambayo watu bado hawajaamka sana ndiyo kuzuri kuwekeza. Au wewe unataka kuona maghorofa mengi???Wewe si unasema Njombe ni pazuri,Mimi nakwambia Njombe bado sana kimaendeleo,hapalingani hata na Ifakara pamoja ya kuwa Njombe ni mkoa na Ifakara ni wilayani
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Ooghh basi kuna kituo cha Afya nilienda kufanya kazi huko kinaitwa Lujewa kipo kama 50KM kutoka Njombe, ukifika pale Njombe Regional Hopsital kwa mbele kuna bara bara inaingia kulia kwako basindio unatembea nayo hio hadi unafika hukoLudewa Mkuu sio Lujewa labda Rujewa iliyoko Mbeya.
Wale wanavaa raba sababu baridi inapasua miguu. Nahisi na kuepuka funza.Njombe wapi sipajui pale? Napajua kuanzia Njombe madeke,Lupembe,ukalawa,Ikondo,kuanzia Njombe town hadi Igosi,Kuanzia kibena hadi makambako,kuanzia Njombe town hadi Ludewa,lugalawa.Njombe bado sana kimaendeleo na uwekezaji pale
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Kuvaa laba sio ukosefu wa viatu bora, nikwasababu ya mfumo wamaisha ya kupambana.nenda hata kwenye maduka ,utakuta mwanamme kakaa,Mke ndie anahudumia Wateja bila kujari bidha zimepangwa upande gani.kumbuka kuna kupandisha ngazi, humo madukani, je akivaa skuna ataweza? Pia kuna wale wanao tembeza bidhaa,huwezi kushinda unatembea na mzigo huku umeva viatu vyenye visigino virefu.Njombe wanawake wananunua mapazia ya dirishani na kuyashona kuwa nguo za kuvaa ikiwemo skirts na magauni,Njombe ambako muda wote wanawake wanavaa viatu vya raba(aina ya Nike) kutonana na ukosefu wa viatu vya kisasa na uchumi duni,Njombe ambako wananchi wake hawali chakula aina ya wali hadi krismas,Njombe ambako Guest house ni nyingi kuliko nyumba za makazi(pale mjini)
Kule Ludewa huwa na njaa hadi watu wanaishi kwa kunywa ulanzi tu kutokana na upungufu wa chakula.
Njombe ukilima miti kisha wazawa wanaichoma moto kwasababu ya wivu wa kijinga.Wapi pale Njombe sipajua??
Lakini ndivyo kinachotakiwakila mtu akianza kuupa promo mkoa wake patakalika hapa? ila hongereni wana njombe
Ndio maana unasifia wali, kumbe kwenu Tanganyika masagati, nilijiuliza huyu mpaka aifahamu Madeke,Lupembe. Hv unaweza kulinganisha Njombe na Ifakara kweli? Ifakara nimefika kaka, zaidi ya mpunga na mitiki na migomba ya Mbingu kuna nn ambacho Mbena manga na Mbunga na Mpogoro anaweza kufanya?Wewe si unasema Njombe ni pazuri,Mimi nakwambia Njombe bado sana kimaendeleo,hapalingani hata na Ifakara pamoja ya kuwa Njombe ni mkoa na Ifakara ni wilayani
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Uwe na akili ni kweli njombe bado na ndio maana kunatangazwa fursa ila hiwezi kuifananisha njombe na ifakara si ifakara tu bali hata mkoa wa iringa si sawa na njombe, uliza wakati wanatakiwa kuiacha njombe kua huru kwann iringa ilikua inaleta vikwazo mpaka kucheleweshwa kua mkoaWewe si unasema Njombe ni pazuri,Mimi nakwambia Njombe bado sana kimaendeleo,hapalingani hata na Ifakara pamoja ya kuwa Njombe ni mkoa na Ifakara ni wilayani
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app