nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 654
- 523
Karibu sana mzeeSawa mkuu napajua njombe Pana fursa nyingi za kiuchumi
Karibu ndugu yangu...nimewekeza pia kwenye mashamba piaNimeishi Njombe na mwaka huu naja kuwekeza rasmi
Asante mkuu, Nami nataka niwekeze kwenye sekta hiyoKaribu ndugu yangu...nimewekeza pia kwenye mashamba pia
Karibu sana...muwahi watu wanabumburukaAsante mkuu, Nami nataka niwekeze kwenye sekta hiyo
Nitaweka as soon as possible kwa sasa nipo hometuwekee na picha wengine hata hatujui
Vijiji vya luponde,igoma,uliwa,lupembe,ludewa,igominyi hivyo ndio navijua vyenye ardhi nzuri ya kilimo kwa ajili ya mahindi na viazi parachichi hata miti ukipenda...Hebu mtoa mada kuwa muwazi.ni vijiji gani njombe unaweza kupata ardhi ya kupanda miti na bei kiasi gani kwa ekari?
Kuna ekari tsh 100000 na kuendelea....Hebu mtoa mada kuwa muwazi.ni vijiji gani njombe unaweza kupata ardhi ya kupanda miti na bei kiasi gani kwa ekari?
Ushirikina hakuna...ni dhana iliyojengwa tu na watu wasioielewa njombeVipi biashara na ushirikina? Wageni watapaweza?