Karibu Njombe,Virgin Southern land

nandembako

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
654
523
Nakukaribisha Njombe uwekeze,sehemu pekee ambayo kuna wafanya biashara na wakulima....sehemu pekee ambayo utajifunza kubana matumizi ya pesa(ubahili)...

Mahali ambapo parachichi linalohitajika sokoni linastawi vizuri
Mahali ambapo miti ya mbao aina ya pains inapandwa na watu na ndio dhahabu ya wananjombe....sehemu ambayo njaa tunaisikia tu...ila usipokuwa na akili maisha sio rahisi ila hili nadhani kote...

KARIBUNI NJOMBE NCHI YA AHADI...
 
Hebu mtoa mada kuwa muwazi.ni vijiji gani njombe unaweza kupata ardhi ya kupanda miti na bei kiasi gani kwa ekari?
 
Njombe hahahahhahahaaa Nimefika hadi Lujewa, dah kuna mazingira ni mazuri hutaamini kuwa uko Tanzania. Nimependa sana ile nchi mwili unafaa kusisimka aisee nikikumbuka kule mahala
 
Hebu mtoa mada kuwa muwazi.ni vijiji gani njombe unaweza kupata ardhi ya kupanda miti na bei kiasi gani kwa ekari?
Vijiji vya luponde,igoma,uliwa,lupembe,ludewa,igominyi hivyo ndio navijua vyenye ardhi nzuri ya kilimo kwa ajili ya mahindi na viazi parachichi hata miti ukipenda...
ccd9ad7076736bc7e4b00e3df8bfbec3.jpg
716775b93d806af7ea6f6233a84fdedc.jpg
3bc329e6ab4f10287d22e62241990d1a.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom