Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Kuna mtu aliniambia waliwekewa kuku kiwete nilicheka kweli...
yani wale kuku sio wamelala bali wamekesha.
Kuna mtu aliniambia waliwekewa kuku kiwete nilicheka kweli...
Ohoo! Jamani kuna strawberry hapa ngoja nije nazoHata usifikiria kuanza hizo triki zako . Hazita fanya kazi..
masaa 23 yamebakia..
Ohoo! Jamani kuna strawberry hapa ngoja nije nazo
Me nilikua 84 jana wale kuku wa chako n chako wabovu kweli siku hizi.
Nitakuja navyo vyote...ila barua mmhhyaaammmm Usisahau na chocolate ..
nkutengenezee kitu kitamu ..
lakini uje na hiyo barua. MUHIMU SANA usisahau.
Nitakuja navyo vyote...ila barua mmhh
Labda unipige na rungu nizimie halafu uchukue mkono wangu uandike barua nimegoma kuandika....lol...
:eyebrows::eyebrows:Ha ha ha, chezeya mjasiriamali.
You made my day
:eyebrows::eyebrows:
Lol....hatujafungiwa tulikuwa kwenye nyumba ya ibada....where the boss at??leo mmefungiwa wapi, ombeni PO kama kwenye kombolela basi
Ukifika Nitafute nipo central polisi......tutafutane Mkuu!!Dah! Yamekuwa hayo
:lol::lol::lol: Nipe hint ya kesi kabla sijafika huko kwanza...lolUkifika Nitafute nipo central polisi......tutafutane Mkuu!!
Dah kesi nikuwadanganya wajumbe wa mkutano mkuu ulioisha wa magamba kuwa tuwavua magamba sugu!!:lol::lol::lol: Nipe hint ya kesi kabla sijafika huko kwanza...lol
Lol....hatujafungiwa tulikuwa kwenye nyumba ya ibada....where the boss at??
Hahaha! LolTehe tehe tehe TF upo mwenyekiti!
Naomba uniwekee ulinzi wa kutosha Maskini Jeuri asirudi peke yake tena palee...lolThread closed! Mgeni kasharudi kwao. Lol.
Hahaha! LolTehe tehe tehe TF upo mwenyekiti!
Thread closed! Mgeni kasharudi kwao. Lol.