Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,258
- 10,505
Naomba uniwekee ulinzi wa kutosha Maskini Jeuri asirudi peke yake tena palee...lol
nina walinzi wa pakistan, wanajilipua na mwizi.
Naomba uniwekee ulinzi wa kutosha Maskini Jeuri asirudi peke yake tena palee...lol
Itakuwa katoroka, kaonekana maeneo ya area D anatanga tanga
Lol...Itakuwa katoroka, kaonekana maeneo ya area D anatanga tanga
nina walinzi wa pakistan, wanajilipua na mwizi.
Haaaa haaaaa,Kuna mshtuko wa moyo, mshtuko wa roho na mshtuko wa masaburi
Mie nshastuka sana kati ya ivo kwa sentesi za MJ
Mmmmmh!Peke yangu Cantalisia na mizigo yangu
Nimekuletea zawadi nyingi sana zaidi ya hizo ila wakati wakuja kuzichukua uje peke yako..:eyebrows::eyebrows::eyebrows:Mmmmmh!
Haya bwana,
Vp umetuletea zabibu?
Haaaa haaaa!Nimekuletea zawadi nyingi sana zaidi ya hizo ila wakati wakuja kuzichukua uje peke yako..:eyebrows::eyebrows::eyebrows:
Aisee!!! Hizo sehemu zote tulipita na mwenyeji wangu Maskini Jeuri
Niko hapa Holiday Inn Hotel najua sio mbali na ofisini kwako....:eyebrows::eyebrows:Haaaa haaaa!
Usijali najiamin wala sihitaji kusindikizwa,
Na hivi cku hizi umejaa upako lol,
Nipe location tafazali niibuke!
Haaaa haaa haaa,lol!Niko hapa Holiday Inn Hotel najua sio mbali na ofisini kwako....:eyebrows::eyebrows:
Okay ngoja nichukue lift kabisa nishuke chini fasta tukapige stori hapo kwenye coffee loungeHaaaa haaa haaa,lol!
Nipe kd 15 nitakuwa hapo,
Tukutane mapokezi tafadhali!
Nina aleji na na lifti na ngazi huwa sipandi kbs lol!
Ok,mie nishafika tayari,Okay ngoja nichukue lift kabisa nishuke chini fasta tukapige stori hapo kwenye coffee lounge
:lol::lol: Majibu ninayo tayari...lol:eyebrows:Ok,mie nishafika tayari,
Najua hapa kuna watu wakisoma ujiandae kujibu maswali lol!
Khaaaaa!:lol::lol: Majibu ninayo tayari...lol:eyebrows:
Lol....zote za kwako hizo lakini taratibu usije ukaenda kuzigawa na wewe...hicho kinaniii bei ghali kweli...Khaaaaa!
TF,ni kweli au naota?
Inamaana mazawadi yote haya ni kwa ajiali yangu?
Okay ngoja nichukue lift kabisa nishuke chini fasta tukapige stori hapo kwenye coffee lounge
:lol::lol: Majibu ninayo tayari...lol:eyebrows:
Khaaaaa!
TF,ni kweli au naota?
Inamaana mazawadi yote haya ni kwa ajiali yangu?