Huna hata haja ya kumiliki vichomi ,we vipitie tu halaf vitupie kuleee.Nimemwomba Mungu kabla hajanichukua basi nimiliki pisi ya aina hii
Hahaha ila bwashee tusake pesa hakuna asiye penda wanawake wazuriHuna hata haja ya kumiliki vichomi ,we vipitie tu halaf vitupie kuleee.
Utamiliki vingapi.
Unaanzaje kutamani kumiliki Liability? Hizo ni high maintenance expense figures. You dont need, just use them
HIzo unatakiwa kujua unachofanyaVijana wanatafuta kujiaibisha tu bwashee
Ni kweli ,sijakataa. Ndio maana nimesema hao huna haja ya kuwamiliki. Uwe na pesa kuwatumia tu, maana wako wengi. Utamiliki wangapi?Hahaha ila bwashee tusake pesa hakuna asiye penda wanawake wazuri