Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Asante sana TF,Lol....zote za kwako hizo lakini taratibu usije ukaenda kuzigawa na wewe...hicho kinaniii bei ghali kweli...
Agawe nani?
Nitawapa zabibu tu,hiki kinaniii wala hatakiona mtu,
Dah,hivi Dom cku hizi kuna maduka yanayouza mpaka hivi?
Nataman nikijaribie hapa hapa lol!