Karibu Dom .........The Finest

Karibu Dom .........The Finest

mshangao wangu nildhani tokana na ugeni wangu nikajua ushamba sielewi somo.
 
Makamu wa wife yuko Dodoma.......ngoja nimrejeshe Dar.....hii si khabari nzuri kwangu :eyebrows::eyebrows:
 
Chako ni chako saa hizi? labda mwanga bar

By ze taimu anaingia hapa mujini..........CNC watakuwa wako operational!

Mpwa TF wea are you? hukuaga nn? mbona................:A S embarassed:
 
hivi mlengwa ni me ama ke? Labda nitaelewa

Mbona unaleta ubaguzi wa kijinsia?

Karibu nawe pia!:tongue:

Makamu wa wife yuko Dodoma.......ngoja nimrejeshe Dar.....hii si khabari nzuri kwangu :eyebrows::eyebrows:

Kizuri kula na nduguyo yakhe.......!

Tena mwelezee kuwa tupo Chako ni Chako jioni asisite kujumuika nasi!


Yeye peke yake au na mwenzie?
Vinginevyo utapata maswali tata hapa?

Na wenzake woooooooooooote!

Cantalisia untaka kuongoza naye?

Karibu nawe pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom