young believer
Member
- Oct 16, 2015
- 13
- 1
nani anauelewa wa malipo ya hii coz mpya ya aircraft maintanance Engineering mbona ada yake kubwa sana hivi heslb watatoa kiasi gani?
Habari,
Kwa ambae atapenda kuja kusoma NIT, nipo tayar kujibu maswali yenu.
ila cna uelewa mzur na upangaj wa grades za ufaulu za mwaka huu
karibuni.
kunahi course ya bachelor degree in education with mathematics and information technology mbona haipo kwenye prospetus? na niyamiaka mingapi?
Hiyo ni course mpya kwa hapa chuoni lakini kwa ufahamu nilonao ni nzuri mkuu. Karibu NIT
majina nit yametoka na mimi ni mojawapo ya majina yalotoka
majina nit yametoka na mimi ni mojawapo ya majina yalotoka
Kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Chuo cha Usafirishaji cha Taifa kimepewa dhamana ya kuendesha mafunzo ya kozi mbalimbali kuhusu usafiri na usafirishaji pamoja na kozi kuhusu wahudumu wa ndege kuanzia ngazi ya cheti hadi ngazi ya juu.
![]()
Ukiwa mwanafunzi wa NIT unaweza kuwa sehemu ya kukisaidia chuo kuwa na mafanikio bora. Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Chuo cha Usafirishaji cha Taifa.
======================================
======================================
Tovuti ya Chuo: Home