Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,033
Ni PM mkuuMathematics ni lazima au
Ni PM mkuuMathematics ni lazima au
yeah ndo mm # prince[/QU
Widhi wa majjinnaa
Naomba namba zako nataka nikuulize jamboKama kawa tupo likizo now!!?
Njoo nit coz ya markerting ipo full package,utasoma na public relation pia ambayo itakusaidia both side yan markerting na public relation unlike vyuo vingine vinatoa markerting na madude fulan ambayo hayakupi full package ya marketing, mie ngazi ya degree pale... Karibu sana marketing bonge la proffesionHivi nit na mocu wapi wapo. Vizuri kwenye issue za marketing msaada jamani
Chuo chetu kipo karibu na soko maarufu dar es salaam kama "Mahakama ya ndizi" hence huo unaoita uchafu....Majengo chakavu ni serekali ya mkuu baba kiongoziz wa malaika kuweka nguvu nyingi kwenye bombadia na chato international airport na kusahau elimu,Elimu bora inapatikana hapa amini....au unataka majengo mazuri alafu elimu iwe mbovu....?sisi tumechagua kinyumeMbona chuo chenu ni kichafu sana kama magofu? yani kimekaa kama soko vile....
Pia kozi gani hapo inato watu wanaouzika?
Hizo course ni separate. Utasoma Aútó mechanics kama ww ni beginner kwenye ufundi magari na pia itabidi usomee na udereva. Ila hakikisha una leseni clàss D yenye miaka 2 kabla hujasoma uderevaNataka kusomea mambo ya magari short course lakini... Nipewe cheti cha udereva af niwe fundi wa gari... Course gan itanifaa
1,000,000/- AdaPia naomba kujua gharama za course hii ya logistics kwa ngazi ya cheti
Pass 4 au "D" 4 na kuendelea exclude masomo ya dini kwa form 4Kwa walio maliza form 4 wanachaguliwa kwa vigezo gan,katika course ya logistics?
HapanaMathematics ni lazima au
sina leseni yoyote nianze na ipi?Hizo course ni separate. Utasoma Aútó mechanics kama ww ni beginner kwenye ufundi magari na pia itabidi usomee na udereva. Ila hakikisha una leseni clàss D yenye miaka 2 kabla hujasoma udereva
Aircraft and Mantainance EngineeringYap! ni kweli lile jengo zuri sanaa.. swala la usalama likoje hapo? maana chuo kimepakana na Manzesa na upande wa kule hauna uzio kabisaa ambapo kuna hostel za Men and Girl...
Pia kozi gani, inayotolewa hapo ni marketable zaidi..>
Alafu Best student hua wanapewa favour gani hapo?
Mkuu habari? Nawezaje kujiunga na hii program ya CILT? Nimejaribu kufuatiliwa hapa Tz lakini naona baado changamoto.Mpaka sasa tuna wizara ya uchukuzi,
tuna chombo maalum cha kusimamia usafiri wa majini na nchi kavu, SUMATRA,
Tuna kitu kinaitwa IATA- international air transport Association,
tuna kitu kinaitwa CILT- chartered institute of logistics and transport, UK, ukisoma hii na ukawa registered, basi shughuli za logistics hazikusumbui..
Kwa kifupi ni kamba mkuu, logistics ni multi-purpose, hakuna sehemu unayoweza kukosa kazi kwa sababu, course hii kwa kifupi ina-deal na production from point of extraction to consumption..
Kama kampuni ina magari na aina zozote za carriers, basi logistician ndie atakuwa responsible kusimamia hivi vitu;
mfano, fuel management, fleet availability, usability, fleet control nk.
Kuna sehemu mbalimbali za upatikanaji wa ajira, mfano tu nimeonesha hapo juu..
ila kwa kuongezea, logistician anaweza fanya kazi jeshini (hawa wanatakiwa sana tu kwa sababu historia ya logistics imemezwa sana na mambo ya vita),
Logistician anahusika sana na Umoja wa mataifa, UN. hii ni kwa ajili ya kupanga supply ya misaada kwa wakimbizi na watu wenye uhitaji.. UN na mashirika yake itakuhitaji sana katika kusimamia magari yake na mizigo inayosafirisha..
Bandari zote duniani zinahitaji watu wa logistics-- Imagine planning za shughuli za bandari kama hujui logistics utakuwa na efficiency ndogo sana nakwambia..
Viwanda vingi sana vinahitaji watu wa material handling... Logisticians are considered.
Mkuu, ukitoka kwa hii course ni rahisi pia kujiajiri, elimu inayotolewa NIT si ya kitoto, njoo usome.
Mpaka sasa, kuna wanafunzi zaidi ya 50 wameshafukuzwa chuo kwa sababu ya kufanya upumbavu (cheatings), we dont care about your 1.5 million, we are ''excellenting logistics''.
KARIBU NIT.